Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,150
- 137,132
Union Jack imetawala lakini pia nimeona Stars and Stripes, ya Brasil, Spain, na zinginezo....
jamani wana jf kwa yeyote aliye karibu na tv basi a tune chanel 10 ajionee vimbwanga ya hii harusi ya kifalme. Ijumaa njema wapendwa!!!!
Hahaha! apo ungekuwa ww au Michelle najua kudadadeki UK waTZ wote tungekuwa tunatinga bila VISA wala 'is was' sentence zetu zisingekuwa kigezo cha kutunyima kuingia London...si twaend a kwa shemeji bana?.
Lete alone Man Utd na Arsenal bongo ingekuwa kama uwanja wa nyumban, kila pre season wanakuja kucheza na simba na yanga...lmao!
Mlizubaaje na nyie?
You never know you could be the next Camilla!!!!
Haya bana BJ lolAcha tu kamanda, kuna watu wanaishi ulimwenguni na wengine kusindika tu duniani kwenye haya maisha!!..huyu royal ningemwonea wapi wakati ukoo wangu hata siyo wa kichifu🙂)
Ila ulivyosema nimetafakari, mbona ingekuwa rahaaa..in our dreams of course!!!
Mi na Michelle tutabaki kushabikia timu zao, huwezi jua Walcott anaweza nasa:-)
Mimi mwenye nimeiangalia nikasema huyu Branson balaahiyo circle hapo juu ni balaa
Huwezi jua kunaweza kukawa na ka-royal break up mbeleni.
Hahah naona commentator wa ITV (UK) amepiga dongo hapa anasema William and Kate wako well behaved maana huwasikii wakigongana club na kina Paris Hilton.
He he..that will be a life bonus🙂
Hivi unafikiri kama ninavyofikiria kuhusu hawa maharusi leo? mmh, I think kazi kubwa wanayo baadae wakiwa wawili!!he he
Lol!!!Naona amemsahau kichaa Harry... nimesoma pahala yeye ndiye anaye organise stag party... humo lazima misumari iwe smuggled ndani, watu wakapulize kidogo... lol
Sichelewi kusikia wabongo wakitaja Freemasons... maana tangu neno hilo litambulike limekuwa wimbo sasa!!Mzee Virgin aka Sir Richard Branson kafaidi na hii harusi....