The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton

The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton

Nilikuwa najaribu kufikiria kama Prince William angekuwa ana date na mtu kama Kim Kardashian hivi sijui ingekuwaje lol

Kihistoria future King uwa anatafutiwa mke kutoka family zenye uroyal fulani, nadhani yeye ndiye wa kwanza kuoa mtu kutoka family ya kawaida na hii nadhani ni fundisho kutoka kwenye ndoa ya Diana kwani Camilla walimkataa cause siyo wa royal family
 
That's what I thought too. But best believe there will be tons of tongue action later on tonight.
wewe nawe kwa udaku.....yaani midume mizima mnakaa kitako kushabikia harusi za wenzenu....mtaja olewa na nyie....
 
ROYAL-WEDDING.jpg



The Kiss!.

Ni harusi kubwa sana na ya kifahari lakini hawana jipya sana kutupita sisi walala hoi. Night style zilezile mlala hoi anafanya. Hayo ni ya kwangu tu!
 
Ni harusi kubwa sana na ya kifahari lakini hawana jipya sana kutupita sisi walala hoi. Night style zilezile mlala hoi anafanya. Hayo ni ya kwangu tu!

Mie sina la kusema zaidi ya kuwaombea maisha mema ,
 
Hafla hii inanikumbusha jambo moja ambalo wadau wakinifafanulia itasaidia kupitisha weekend yangu... Wakati huku Afrika kuna kamjadala ka kujadili km kuna umuhimu wa kuendeleza utawala wa kifalme km ilivyo Swaziland kwa Bw. Mswati kutokana na raslimali nyingi za nchi kutumikia ufalme huku wananchi wakikabiliwa na matatizo mengi ya kijamii. Lakini wakati huo huo kuna utamaduni wa Umalkia/ufalme unaoendelea huko Uingereza lakini sijashuhudia km kuna malalamiko kama hayo ya kwa Mswati, na kama yapo sijayasikia. Swali ni kwamba kuna tofauti gani ya uendelezawaji wa tamaduni hizo na faida ama hasara zake kwa jamii husika?
 
Dah!ilipendeza sana..
jamaa cjui alipiga nyagi kwanza kuondoa haibu!!?
 
Acha umbeya mtoto wa kiume wewe. Eti umesikia...umesikia toka kwa nani? Gea Habib au Husna Abduli?
bwa ha ha ha ha mwenyewe FMES kasema.......afu nani kakuambia mie mtoto wa kiume?
 
Back
Top Bottom