He he..that will be a life bonus🙂
Hivi unafikiri kama ninavyofikiria kuhusu hawa maharusi leo? mmh, I think kazi kubwa wanayo baadae wakiwa wawili!!he he
Furaha ya ndoa ni ile siku ya ndoa baada ya hapo kinachofuatia unavumilia au kuachia ngazi mwenyewe He he!!!