The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton

The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton

HUS AND WIFE wapo kwenye the famous Balcony!!!!!!! safi sana
 
Maharusi wamepiga KISS public hapa burudani kwa watazamaji
 
ayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!! kampiga bonge l a denda mbele ya watu tena
 
Ila sijaiona tu ASTON MARTIN.

Labda Mchungaji Masa ambaye yupo hapo Mjengoni kuwakilisha kanisa lake atatueleza kwanini AM halipo kwenye list ya magari yaliyopo hapo kwenye harusi. Watakuwa na bahati mbaya sana kama ma PM Tony Blair na Gordon Brown.....

Monarch wanafuata sana TRADITION na sio umaarufu wa gari au product.
 

attachment.php

First Public Kiss at 13:27 British Time.
 
Back
Top Bottom