Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
hata yeye hayuko seald.
Je unajua kwa nini Sir. Elton John amealikwa?
kwa nini dada Elton kaalikwa?
hata yeye hayuko seald.
Je unajua kwa nini Sir. Elton John amealikwa?
Facebook watu wengi wanasema kuwa harusi ya leo ni ya ki Masonic, hawatoi sababu ila wanaongelea mavazi, mapambo na alama eti zilikuwa za Kimasonic.
Wewe unaonaje?
Ubalozini hapo?
![]()
Day marked by celebrations in Dar-es-salaam.
hata yeye hayuko seald.
Je unajua kwa nini Sir. Elton John amealikwa?
Jamani msi entertaina hayo mawazo. 15 years? na wewe unaji expose kabisa mtu mzima mtoto akuone, jamani najua kweli yanafanyika but pleease....
Hakika vitu sealed vimeisha angesubiri mpaka chwee
Ni kweli mkuu. Hawa watakuwa wamechakachuana vya kutosha. Hata wanapokwenda mwezi wa asali haina maana yoyote maana walishajuana tayari.
hamkawii kusema kuwa hata kunywa maji safi na salama ni mpango wa freemason. Ndiyo si ndio huko tunakoelekea!