The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton

The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton

ROYAL-WEDDING.jpg



The Kiss!.
 
Mchizi should have gone for a long juicy one lol!!
 
Lazima afurahi ndo siku yake na kuolewa kwnye royal family ni bahati kubwa..fikiria dunia nzima wanafwatilia shehere hii na unavyowajua waingereza kwa publicity....

Siyo tu kuolewa, yeye atakuwa mke wa mfalme pindi jamaa atakapochukua madaraka.
Kisa cha hii harusi kuwa popular ni sababu ni ya future KING, kuna royal weddings nyingi tu huwa zinatokea lakini hawazikuzi kihivyo bse wahusika uwa ni watu wa kawaida tu kwenye royal family, hata Pr Harry hatofanyiwa kama hii, ya mwisho ilikuwaga ya mama yao; Pr DI
 
Mchizi should have gone for a long juicy one lol!!

Btw, i thought they'll be screening this in 3D to accommodate technological changes since the last grand royal wedding 30 yrs ago btn Diana and Charles...!!!
 
basi wacha nielekee bustanini kwangu..........
 
Perhaps the niceties of royal decorum don't allow for that to happen in public.

I thought so too. Same for the procession at the cathedral... no tongue-tongue, no tomasa-tomasa kinda action!!! lolest
 
Haya sasa royal wedding imeisha...mlioko kwenye ndoa dumisheni ndoa zenu, mnaotafuta endeleeni kutafuta...!
Weekend njema waungwana
 
It goes well that ends well...; jamaa tu asije akawa kiwembe kama babake
 
Back
Top Bottom