Killuminati
JF-Expert Member
- Apr 24, 2007
- 329
- 39
Hell NO.
Inafaa amalize kazi aliyoianzisha...
Inafaa amalize kazi aliyoianzisha mambo mawili yanasubiriwa katika macho ya WATAZANIA la kwanza jahazi lifike lilipokusudiwa kutia nanga. au la pili ni kuachiwa jahazi liende mrama,tuwe wakeli mathalan tujalie jahazi limekwenda mrama, jee upondo unaweza kusimama na dharba ya bahari kuu ?? (wakoloni wanasema Money talk)
Kwa hiyo ukipiga kura hutakiwi kutoa maoni?
As far as I understand,Watu wengi mmekua mkimpinga jk kutokana na udhaifu wake, na sasa jk ameanza kampeni yake kutumia wazee.
Je swali ni nani kati ya hawa awe badala ya jk.
Andindile,
Mimi siku zote hu vote kutokana na logic pia kuwepo kwa jawabu.. Sasa ikiwa swali lenyewe ni Je, Kikwete anastahili kugombea kipindi cha Pili?..
Jibu langu nni NDIYO!..
Ndiyo kwa sababu ni Ujinga mkubwa kufikiria sitting President hafai KUGOMBEA urais... haingii akilini kabisa kwani ni kinyume cha katiba na kinyume fikra huru kwa sababu sioni sababu ya msingi asigombee urais..He is -THE President, kwa nini asigombee au hafai kugombea!.
Isipokuwa swala gumu linakuja kama awe mgombea pekee wa chama CCM.. Hata hilo nawaachia wanaCCM wenyewe kwa sababu Kikwete ni mwakilishi wa chama hicho kikatiba ktk uchaguzi mkuu na nitasema tena Kikwete hafai kuendelea kuwa rais wa nchi kwa awamu ya pili kwa sababu ameshindwa kutatua matatizo sugu na muhimu ya Taifa letu acha mbali yale aliyo ahidi wananchi mwaka 2005...
kwanini hujamuona dr. Migiro.. She is by any account better than the current president..muweke.. Haiwezekani ukatuambia u dont see any woman fit.. That is an insult to a lot of capable women.. The only thing is that some of them are crooks and the rest are vitanda maalum.. Lakini naona huyu mama she is an academic, she is experienced, she is calm and confident.. (the only thing labda kwasababu mkulu kampa shavu hawezi kumpinga) lakini ability anayo so muweke...!
Andendile,
Hivyo hafai kuongoza nchi awamu ya pili sio hafai kugombea Urais.. hivi vitu viwili tofauti kabisa,unapotosha maana..