Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 373
Rev. mimi binafsi naamini kuwa CUF ilishinda chaguzi mbili zilizopita lakini kwa kuwa katiba yetu haitoi mwanya kwa Bara na Visiwani kuwa chini ya serekali za vyama tofauti, the needful was done! Sasa unamaanisha hapa kwamba by 2010 katiba itakuwa imebadilishwa na hakutakuwa na kigugumizi katika kumtangaza mshindi halali au?Opposition will win Zanzibar 2010!
It is a reality, almost a fact that CCM will have a massive win in general elections 2010!
Yes I have been one of the pundits criticizing CCM leadership and especially President Kikwete and the alleged Mafisadi, but I have to be realistic, is there a chance opposition can take over the Union Government? The answer is No, however, Opposition will win Zanzibar 2010!
For CCM to fall apart and loose 2010, the following must happen:
1. Opposition should unite and form one party.
2. Opposition must stop dependeing on Ruzuku as way and means to exist
3. Opposition needs new leadership and faces that are yet to be tarnished and compromised by CCM or the way Mtikila and Rostam deal
4. CCM fails to calm the unrest from CCM Visiwani on Muungano and Nchi issue
5. Watanzania to have change of heart and ignore CCM, however this is hard and it kind of brings me on specifics of why CCM will win.
CCM will win by;
1. Overhauling the arty image especially wagombea udiwani na Ubunge. There going to be a lot of new faces in 2009-2010 elections. Gone will be the old faces and hence Wananchi will be dillusional to see new faces forgeting that it is the same party. Part of this strategy is to rid of those who are a burden, however they will remain behind the scene to make sure their own people the new faces are fielded so that they can protect the chama. This means Mafisadi wataendelea kupeta!
2. Accomodating Zanzibar needs for Muungano issue and new katiba
3. A massive clean up in the government and CCM leadership, however this will be cosmetically done to ruse wananchi in believing that Chama kimejisafisha
4. CCM will not use any ufisadi deals, it will win clean hands down! Sadly we are waiting for another scandal, but these will befirst fair elections and CCM will come out on top. Problem is that Opposition is still not strong enough and is yet to sell itself to Wananchi and offer alternative means and better programs than CCM.
5. Wananchi are still having faith with CCM. CCM Propaganda machine has already started its work, the only matching forces is CUF and only in Zanzibar. CUF has strong loyalty in Pemba and is now spreading to Unguja. In the mainland, opposition is too weak to put up a fight.
For anyone looking for changes in Tanzania political spectrum they should start planning for 2015 and 2020, it will be a miracle if 2010 will be the year of change! If any, the changes will come from CCM itself and not through opposition!
Hapa pia inatakiwa chama kipya kabisa cha upinzani ambacho kita appeal kwa vijana.Post azimio la Arusha vijana.Hawa waje na mwamko tofauti,sio mwamko wa kutaka kuishinda CCM tu,bali mwamko wa kuleta mabadiliko.Hao vijana waliozaliwa baada miaka hio ni wengi sana.Viongozi wao pia wawe ni vijana hivyohivyo,sio kuwa na jibaba la CCM la zamani.Waanze taratibu,wasiwe na papara ya kutaka kushinda the next elections.Wawe na sera za kisasa zitakazowalenga vijana,ili ku attract vijana wengi kujoin chama chao.Waje na mwamko mpya kabisa.Hapo ndio kweli ntasema tutaanza kuona mabadiliko na mwamko mpya....real change
Ni wakati wa kufanya mabadiliko ndani ya CHADEMA ili kuruhusu wagombea mbadala (badala ya mazoea ya mwenyekiti kuwa mgombea) wakati wa kinyang'nyiro cha urais 2010. Sio kumwondoa mwenyekiti. Tena mtangazeni mapema ili nchi ijue.
Ni wakati wa kufanya mabadiliko ndani ya CHADEMA ili kuruhusu wagombea mbadala (badala ya mazoea ya mwenyekiti kuwa mgombea) wakati wa kinyang'nyiro cha urais 2010. Sio kumwondoa mwenyekiti. Tena mtangazeni mapema ili nchi ijue.
Basi usijeshangaa hizo 15 minutes zako zikiendelea hadi beyond 2010. Unakumbuka ninyi CCM mlisema nini ilipotangazwa ile orodha ya mafisadi wa aibu?Kwa vigezo vipi? au hizo one off show za "list of shame" na mkataba kusainiwa London? Hao katika siasa za Bongo wanaitwa 15 minutes performers, once their 15 minutes are over u wont heard them.
Tulikuwa nao akina Mrema, Kaburu, Marando, Tambwe, Mapalala, Makaidi, Malima, Mtikila, Mtei, Bob Makani, Lipumba... the list is endless. Hao zao zimeisha I can bet 15 minutes za Slaa na Zitto mwisho Oct 2010.
Time will tell.....
In lieu of the current Tanzanian campaign financing system,can we think of another that will avoid the temptation to steal from the public and scwandering of government funds?
Be it public or private,traditional or clean...
Are we in a position to lead our campaigns into a path that is morally just?
What choices and decisions should we make now that will make this possible then?
Specialization....Suki, I think that campaign financing is like number 3 on the list of impotrant things to do.
Specialization....
Worry out...you are terrible at sounding dismissive!Sorry mkuu, didn't want to sound dismissive.
Hivi hamjajua kwa nini wanafungua matawi ughaibuni?
sometimes ma political analysts wa JF huwa mnaniacha hoi sana
you are not one of them?
la hasha mie sina interest na petty politics za punch and judy ndio maana nina question hata the so called opposition ikingozwa na Mbowe et al