Dua,
Mbona mkuu tunarudi nyuma tena.. ya Salim tulikwisha yajadili sana na namfahamu alikotoka...Salim hakupendwa na wengi tu kwa sababu moja kubwa.
Aliipenda sana nchi yake utadhani ni mali ya baba yake!..
Hiii ilikuwa ni kosa kubwa kwa kiongozi ambaye yupo radhi kufa maskini, kama tulivyomwona Abraham Babu hakuna hata siku ya kumkumbuka isipokuwa kina Karume!.
Mkuu Salim anakubalika kwa wananchi both visiwani na Bara isipokuwa tu kinachowatisha wengi ni UJAMAA wake...Akiwa PM huweizi kabisa kunipa maovu yake mkuu hata Zitto kisha wahi kuja hapa na kuweka record sawa.
As a fact hata mimi binafsi namuogopa kwa hilo hasa ktk dunia hii ya leo. Lakini kutokana na yote haya yaliyokwisha tokea nipo radhi kuanza mwanzo na najua hna muda mrefu wa kutawala - umri tena, kwa muda huu anaweza kusafisha njia kwa viongozi wengine watakao fuatia..