Dr Slaa alivyosimama Mwembeyanga na kuwataja MAFISADI wakuu 11 wengi walidhani ataogopa, Hakuishia hapo Dr Slaa alikuja mpaka KLH News na Bongo Radio na kuendelea kuwasha moto. Wakati huo hawa Majambazi wa CCM walikuwa hawaishi kuitisha mikutano na waandishi wa habari wakitishia kumshitaki, leo majambazi yote ya CCM bado yako kimya. Tunahitaji Rais mwenye courage, conviction na vision kama Dr Slaa.
Mazee GQ soma pm yako please!
CCM wampitishe Dr Shein kuwa mgombea upresident mwaka 2010 na Upinzani wampitishe Prof Lipumba!..... hili ni pendekezo tu.
Nimekupata mwk pouwaa pouwaa.
Mwandosya - Based on Maendeleo aliyesaidia kuyaleta jimboni kwa kipindi kifupi tu, ujenzi wa madaraja, barabara, kueneza umeme jimbo zima (zimebakia sehemu mbili au mmoja nguzo nimeziona zinawekwa), minara ya simu jimboni (mawasiliano), Kujenga shule (na kuhakikisha zina waalimu na wanamaliza shule hawa vijana) na mengine mengi...so he can deliver because we have seen on the ground. Ni msomi anayechangia jitihada za maendeleo hata akiwa mwanasiasa, bado anaendelea kuandika mada na publications za sector mbalimbali za maendeleo. Hii argument ya kusema wasomi wasiingie kwenye siasa ni kitu cha ajabu sana, mbona ame deliver sana tena mpaka Upinzani kule walimwambia aendelee na Ubunge akapita bila ya kupingwa.
Simply Mwandosya on the list. when we speak of vision, imsure if he chose to run(unlikely) he will say what his vision isfor the country. What has Salim done for the people lately (tusiseme kwasababu alikuwa nje, angeomba arudishwe nyumbani asaidie)
SLAA/SALIM NDIO TICKET YA KUWAKOMBOA WATANZANIA WOTE!
mkuu heshima yako...
mi nakukumbusha tu maendeleo ya jimbo tofauti na maendeleo ya taifa. jombo ni sawa na tone, ila taifa ni sawa na bahari je huyo mwandosya ataweza?
kipimo chake kikubwa ni katika hili janga la kitaifa la ufisadi, je yeye kakemea nini? au uufisadi ye kwake si dhambi?
turudi kwa huyo salim...
ok kipindi kingi alikuwa nje ya nchi ila je kwa sasa yupo wapi?
na uozo unaofanywa na wenzie wa CCM ina maana hauoni? au ni unafiki tu?
Mbona Freeman hayumo humu? Ama CCM wamefanikiwa kumbomoa?1.M.Pinda
2.J.P Magafuli
3.S.Salim
4.Zitto Kabwe
5.Dr Slaa
6.Prof. Mwandosya
8.Idd Simba
Naomba tuwe na List ya Maana
Mbona Freeman hayumo humu?
Ama CCM wamefanikiwa kumbomoa?
1.M.Pinda
2.J.P Magafuli
3.S.Salim
4.Zitto Kabwe
5.Dr Slaa
6.Prof. Mwandosya
8.Idd Simba
1)tuanze na pinda...
mpaka sasa hana jipya alilolifanya, na hata huko nyuma hajafanya kitu cha kupelekea tumuite shujaa...hafai
2)john pombe magufuli...
ana kashfa ya kumuuzia mdogo wake nyumba, hivyo anaweza kuja kumalizia kuiuza nchi...hafai
3)salim a. salim...
alikuwa AU muda mwingi lakini je alifanya nini alipokuwa huko cha kuinufaisha nchi yake?...hafai
4)zitto kabwe...
ni shujaa, ila kwa sasa anatakiwa atafute viatu vya sokoine ndo aweze kutawala... tumpe muda wa kujijenga zaidi.
5)prof. mwandosya...
ni msomi namuheshimu, ila anautumiaje usomi wake kukemea maovu ya wadogo zake kielimu ambao wako nae katika zizi moja la CCM?...mwoga hafai
6)iddy simba...
sihitaji kumzungumzia, nadhani mnakumbuka kile kilichomfanya ajiuzuru uwaziri wa viwanda...hafai
7)DR wilbroad slaa...
nazani alishushwa toka mbinguni kuja kuongoza taifa hili, ni shujaa, sio mwoga, anakubalika, ni mtendaji, anajua mwongozo wa katika ya nchi, anajua sheria na hazipindishi, ana uelewa wa mapema, huyu anaweza kututoa shimoni tulikotumbukizwa...ANAFAA
Freeman hafai?I think this is the best analysis so far!
mkuu heshima yako...
mi nakukumbusha tu maendeleo ya jimbo tofauti na maendeleo ya taifa. jombo ni sawa na tone, ila taifa ni sawa na bahari je huyo mwandosya ataweza?
kipimo chake kikubwa ni katika hili janga la kitaifa la ufisadi, je yeye kakemea nini? au uufisadi ye kwake si dhambi?
turudi kwa huyo salim...
ok kipindi kingi alikuwa nje ya nchi ila je kwa sasa yupo wapi?
na uozo unaofanywa na wenzie wa CCM ina maana hauoni? au ni unafiki tu?
Mwandosya - Based on Maendeleo aliyesaidia kuyaleta jimboni kwa kipindi kifupi tu, ujenzi wa madaraja, barabara, kueneza umeme jimbo zima (zimebakia sehemu mbili au mmoja nguzo nimeziona zinawekwa), minara ya simu jimboni (mawasiliano), Kujenga shule (na kuhakikisha zina waalimu na wanamaliza shule hawa vijana) na mengine mengi...so he can deliver because we have seen on the ground. Ni msomi anayechangia jitihada za maendeleo hata akiwa mwanasiasa, bado anaendelea kuandika mada na publications za sector mbalimbali za maendeleo. Hii argument ya kusema wasomi wasiingie kwenye siasa ni kitu cha ajabu sana, mbona ame deliver sana tena mpaka Upinzani kule walimwambia aendelee na Ubunge akapita bila ya kupingwa.
Simply Mwandosya on the list. when we speak of vision, imsure if he chose to run(unlikely) he will say what his vision isfor the country. What has Salim done for the people lately (tusiseme kwasababu alikuwa nje, angeomba arudishwe nyumbani asaidie)
Mwanahabari,
Mimi nimeacha kumpigia debe prof. Mwandosya mpaka wimbi la rada, ndege ya rais yapite. Kama atatoka salama huko basi nitakuwa mpiga debe namba moja maana najua jamaa ana uwezo na kweli ka deliver kule jimboni kwake.
Kukiwa tu na dalili ya ufisadi hapo mimi simo tena. Siwezi kuwa sawa na wale jamaa wa Bariadi ambao wanampokea fisadi kwa mbwembwe.
Mbona hamna anayejibu hili swali?Freeman hafai?