The road towards 2010 Elections

The road towards 2010 Elections

Kati ya hawa nani atafaa kutuongoza 2010-2015?

  • Edward Lowassa

    Votes: 0 0.0%
  • Dr. Slaa

    Votes: 7 38.9%
  • Prof. Lipumba

    Votes: 0 0.0%
  • Mizengo Pinda

    Votes: 5 27.8%
  • Samwel Sitta

    Votes: 0 0.0%
  • Jakaya Kikwete

    Votes: 2 11.1%
  • Mark Mwandosya

    Votes: 2 11.1%
  • Harisson Mwakyembe

    Votes: 2 11.1%
  • None of The above

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    18
  • Poll closed .
Kubwajinga:

Una hoja sana kwenye posts zako. Lakini ambacho sijakupata ni kwa nini hasa wapinzani wasi-focus kwenye utais wakati uchaguzi unahusu urais, ubunge na madiwani? CHADEMA tuna uzoefu mzuri sana; chama chetu kimepata jina kubwa baada ya kusimamisha mgombea wa urais serious. Chama chetu pia kilipata idadi kubwa zaidi ya wabunge baada ya kuwekeza nguvu kubwa kwenye urais. Kwetu sisi, ushahidi tunao unaoonyesha a statistically significant correlation kati ya kusimamisha mgombea imara wa utais na kupata viti vingi vya ubunge.

Kitila,
Nafikiri wengi bado hawajanielewa. Ukisoma tena article yangu kwa utulivu utaona kuwa ninashauri kuwa Dr.Slaa aendelee kugombea ubunge na sio kuwa upinzani wasiwe na mgombea wa uraisi, kwani, sidhani kama Slaa ataweza kuing'oa CCM in 2010 akiwa kama mgombea wa CHADEMA pekee. CCM ina mizizi kila mahali, bila kuungana upinzani hawatawaweza.

Kama upinzani watajiunga pamoja na kuwa chama kimoja, hapo nitakubaliana na wazo la ku-sacrifice ubunge wa Slaa na kujaribisha uraisi. Bila ya hivyo, ni vema CHADEMA wakawa na uhakika wa kiti cha Slaa bungeni kuliko kuwapa nafasi CCM kukichukua.

Pia, akishindwa uraisi, mchango wake wa hivi sasa bungeni utakosekana na atakuwa non entity kama alivyo Mrema hivi sasa. Mrema angekuwepo bungeni, labda angekuwa ameibua mabomu mengi zaidi hasa ukitilia maanani kuwa yeye alikuwa mmoja wao.

Hii haina maana kuwa Chadema wasiwe na mgombea madhubuti, huyu anaweza kupatikana bila ku-sacrifice hizi nafasi zilizopo. Vigogo wa CCM ni moja kati ya wale wanaoweza kurubuniwa kujiunga hasa baada ya kukosa nomination za chama chao.

Kwa hiyo come 2010, kama upinzani bado watakuwa wamegawanyika, itakuwa jambo la busara kwa Chadema kumuacha Slaa katika ubunge na pia kutumia pesa yao zaidi katika chaguzi za wabunge. Wanaweza kusimamisha mgombea uraisi ambaye hana chance za kuwa mbunge au pia kutosimamisha kabisa kama ilivyofanya 2000.

Tatizo ni kuwa, tamaa ya madaraka iliyopo kwenye vyama, sidhani na maslahi mengine binafsi nafikiri yanawafanya iwe vigumu kwao kuungana maana kila kiongozi anaona ana-benefit zaidi wakibaki as they are.
 
Your right man, tunamhitaji zaidi Dr. Siraa bungeni na sio kwenye uraisi, ambako atazungukwa na mafisadi wa kila aina.
 
Mimi hawa watu wanaosema eti wapinzani bado hawawezi kushikilia uraisi wananiudhi sana. Kama uraisi wenyewe unashikiliwa na watu kama Mwinyi, Mkapa, na Kikwete,...how worse can it get?

Tatizo sio kuweza kushikilia uraisi, tatizo ni kushinda uchaguzi.

Hushindi kwa vile una mgombea mzuri zaidi ya chama kingine, in this case CCM, bali unatakiwa pia kushinda historia ya miongo mirefu ya CCM, ndio maana hata Zimbabwe wenye inflation zaidi ya 150,000%, bado MDC waliweza kupata 50% tu.

Vyama kama CCM sio rahisi kuviondoa madarakani unless kuwe na shida iliyo kubwa kupita kiasi nchini na wapinzani wawe wameungana.
 
Kitila,
Nafikiri wengi bado hawajanielewa. Ukisoma tena article yangu kwa utulivu utaona kuwa ninashauri kuwa Dr.Slaa aendelee kugombea ubunge na sio kuwa upinzani wasiwe na mgombea wa uraisi, kwani, sidhani kama Slaa ataweza kuing'oa CCM in 2010 akiwa kama mgombea wa CHADEMA pekee. CCM ina mizizi kila mahali, bila kuungana upinzani hawatawaweza.

Kama upinzani watajiunga pamoja na kuwa chama kimoja, hapo nitakubaliana na wazo la ku-sacrifice ubunge wa Slaa na kujaribisha uraisi. Bila ya hivyo, ni vema CHADEMA wakawa na uhakika wa kiti cha Slaa bungeni kuliko kuwapa nafasi CCM kukichukua.

Pia, akishindwa uraisi, mchango wake wa hivi sasa bungeni utakosekana na atakuwa non entity kama alivyo Mrema hivi sasa. Mrema angekuwepo bungeni, labda angekuwa ameibua mabomu mengi zaidi hasa ukitilia maanani kuwa yeye alikuwa mmoja wao.

Hii haina maana kuwa Chadema wasiwe na mgombea madhubuti, huyu anaweza kupatikana bila ku-sacrifice hizi nafasi zilizopo. Vigogo wa CCM ni moja kati ya wale wanaoweza kurubuniwa kujiunga hasa baada ya kukosa nomination za chama chao.

Kwa hiyo come 2010, kama upinzani bado watakuwa wamegawanyika, itakuwa jambo la busara kwa Chadema kumuacha Slaa katika ubunge na pia kutumia pesa yao zaidi katika chaguzi za wabunge. Wanaweza kusimamisha mgombea uraisi ambaye hana chance za kuwa mbunge au pia kutosimamisha kabisa kama ilivyofanya 2000.

Tatizo ni kuwa, tamaa ya madaraka iliyopo kwenye vyama, sidhani na maslahi mengine binafsi nafikiri yanawafanya iwe vigumu kwao kuungana maana kila kiongozi anaona ana-benefit zaidi wakibaki as they are.

We kubwa jinga vipi?

Mbona 'unabana halafu unaachia?'

Au unaumwa ugonjwa wa 'sitaki nataka'?

Kwani we hujui kama wapinzani wako kwenye ushirikiano?

Halafu kuna maana gani kwa CHADEMA kuweka mgombea wa Urais legelege kujaza tu nafasi? Huoni kama atapunguza kura na kuharibu taswira ya chama na kuwaaibisha hata hao wagombea ubunge unaosema wawekwe?

Halafu unasema ikiwezekana CHADEMA isiweke kabisa mgombea wa Urais 2010; unajua athari zake kwa hao wagombea ubunge unaosema eti unataka washinde?

Yani wee jamaa hueleweki kabisa. Mtu akikosoma ataona kama dhamira yako ni nzuri kumbe nia yako ni upinzani usisimamishe mgombea urais ili fisadi Kikwete na CCM yake wandelee kutawala Tanzania.

Kwanini una mindset kwamba CCM haishindiki kiasi kwamba iachiwe tu kwenye urais?

Labda nikuulize maswali:
-Unaipenda CCM?
-Unampenda Kikwete?

Kama HAPANA, na kama wananchi wengine nao wanasema HAPANA; ni vipi unadhani Chama Cha Mafisadi kitaendelea kutawala?

Asha
 
Tatizo sio kuweza kushikilia uraisi, tatizo ni kushinda uchaguzi. Hushindi kwa vile una mgombea mzuri zaidi ya chama kingine, in this case CCM, bali unatakiwa pia kushinda historia ya miongo mirefu ya CCM, ndio maana hata Zimbabwe wenye inflation zaidi ya 150,000%, bado MDC waliweza kupata 50% tu. Vyama kama CCM sio rahisi kuviondoa madarakani unless kuwe na shida iliyo kubwa kupita kiasi nchini na wapinzani wawe wameungana.

Nani kakudanganya kuwa MDC wamepata 50%? Kamwambia babu yako Mugabe, swahiba wa JK aliyemsaidia kwenye kampeni atangaze matokeo halisi yaliyopatikana awali.

CCM kama ZANU PF, KANU na wenzake wanapaswa wapumzishwe. Wamelewa madaraka wote hawa

Kwa hiyo we unataka kama wanaiba kura basi tuwasusie kwenye urais waendelee kutawala milele?

Asha
 
We kubwa jinga vipi?

Mbona 'unabana halafu unaachia?'

Au unaumwa ugonjwa wa 'sitaki nataka'?

Kwani we hujui kama wapinzani wako kwenye ushirikiano?

Halafu kuna maana gani kwa CHADEMA kuweka mgombea wa Urais legelege kujaza tu nafasi? Huoni kama atapunguza kura na kuharibu taswira ya chama na kuwaaibisha hata hao wagombea ubunge unaosema wawekwe?

Halafu unasema ikiwezekana CHADEMA isiweke kabisa mgombea wa Urais 2010; unajua athari zake kwa hao wagombea ubunge unaosema eti unataka washinde?

Yani wee jamaa hueleweki kabisa. Mtu akikosoma ataona kama dhamira yako ni nzuri kumbe nia yako ni upinzani usisimamishe mgombea urais ili fisadi Kikwete na CCM yake wandelee kutawala Tanzania.

Kwanini una mindset kwamba CCM haishindiki kiasi kwamba iachiwe tu kwenye urais?

Labda nikuulize maswali:
-Unaipenda CCM?
-Unampenda Kikwete?

Kama HAPANA, na kama wananchi wengine nao wanasema HAPANA; ni vipi unadhani Chama Cha Mafisadi kitaendelea kutawala?

Asha

Mimi hapo simo
 
Kubwa jinga nafikiri zile zidumu fikra zilikuingia vizuri sana.

Tanzania mpaka sasa hivi chini ya chama cha... imekwama inaelekea kuzimu pamoja na raslimali zote, unasikia wenzako miaccount mpaka hawajui wameweka wapi, wanafanya kusomba tu. Hao hao unataka waendelee kuchukua nchi.

Kwa taarifa bila watanzania kuamua kuwa sasa wanahitaji maendeleo, kamwe hayatakuja kwa kutembea. Hata mlo mmoja kwa siku utakosa wakati waliopewa nchi wananunua visiwa

Kakindo,
Nafikiri zile enzi za zidumu fikra zilikuwa na uadilifu kwa watendaji serikalini kuliko hivi sasa. Kwa hiyo ukiniunganisha nazo inakuwa ni kama complement.

Muhimu hapa ni kwa wapenzi, wanachama na hata wale wenye ndoa kabisa na vyama, either tawala au upinzani, kuondoa ushabiki na kuangalia masuala yote kwa mtizamo wenye udadisi bila kuigomea hoja nzuri kwa vile tu inakivua nguo chama chako au kiongozi kipenzi wako. Maana TZ hivi sasa inahitaji kila ubongo na sio mashabiki wa hewala bwana.

Let JF talk.
 
Trying to win sympathy when you are generalizing but when you talk of specifics you are a propagandist of a sort! One can allude this upon analysing post after your post.

Asha
 
We kubwa jinga vipi?

Mbona 'unabana halafu unaachia?'
Au unaumwa ugonjwa wa 'sitaki nataka'?

Kwani we hujui kama wapinzani wako kwenye ushirikiano?

Halafu kuna maana gani kwa CHADEMA kuweka mgombea wa Urais legelege kujaza tu nafasi? Huoni kama atapunguza kura na kuharibu taswira ya chama na kuwaaibisha hata hao wagombea ubunge unaosema wawekwe?

Halafu unasema ikiwezekana CHADEMA isiweke kabisa mgombea wa Urais 2010; unajua athari zake kwa hao wagombea ubunge unaosema eti unataka washinde?

Yani wee jamaa hueleweki kabisa. Mtu akikosoma ataona kama dhamira yako ni nzuri kumbe nia yako ni upinzani usisimamishe mgombea urais ili fisadi Kikwete na CCM yake wandelee kutawala Tanzania.

Kwanini una mindset kwamba CCM haishindiki kiasi kwamba iachiwe tu kwenye urais?

Labda nikuulize maswali:
-Unaipenda CCM?
-Unampenda Kikwete?

Kama HAPANA, na kama wananchi wengine nao wanasema HAPANA; ni vipi unadhani Chama Cha Mafisadi kitaendelea kutawala?

Asha

Asha,
With due respect I have to question your inteligence, maana naona napigia mbuzi gitaa. Matusi hayatakusaidia kushinda hoja bali yataonyesha tu kiwango duni cha kaubongo kako.
  1. Sijasema kuwa Chadema waweke mgombea legelege, nimesema wasiweke mwenye uwezo wa kuwa mbunge including Dr.Slaa. Sababu zangu soma my previous postings.
  2. Upinzani hawajaungana, ila wanajaribu tu kujionyesha kuwa wanashirikiana. Wakiungana matumizi yatapungua, uongozi utaimarika na muungano utakuwa na nguvu. Bila hivyo wataendelea kuzikusanya tu ruzuku za CCM na kutotoa upinzani wowote kwao kama wanavyotaka. Huu nao naona inabidi uangaliwe kama sio ufisadi.
  3. Maswali mengine uliyouliza ni ya kitoto sana, lakini ningekushauri tu kuwa, usiifanye CHADEMA kuwa ni kama msahafu ambao hauna kosa. Think, read and be wise.
 
Trying to win sympathy when you are generalizing but when you talk of specifics you are a propagandist of a sort! One can allude this upon analysing post after your post.

Asha

Put it anyhow you wish as long as you get my point. I can only take you to a watering hole but can't force you to drink. Unfortunately it is your brain I am talking about.
 
Nani kakudanganya kuwa MDC wamepata 50%? Kamwambia babu yako Mugabe, swahiba wa JK aliyemsaidia kwenye kampeni atangaze matokeo halisi yaliyopatikana awali.

CCM kama ZANU PF, KANU na wenzake wanapaswa wapumzishwe. Wamelewa madaraka wote hawa

Kwa hiyo we unataka kama wanaiba kura basi tuwasusie kwenye urais waendelee kutawala milele?

Asha

Asha,
Binti mzuri kama wewe kuwa na kinywa kichafu namna hiyo kwa ajili ya CHADEMA inasikitisha.

As crippled as Mugabe is, MDC could only claim a win of 50.3%. Hii ilinishangaza sana na ndio maana naendelea kusisitiza kuwa, watu kama Asha wanaofikiria kuwa kwa vile yeye tu na anaowajua wanaichukia CCM basi CCM itashindwa uchaguzi, uliza 1995 wakati NCCR ina Mrema uone kama Chadema ya sasa ni mtoto. Wanamageuzi; United they win apart they fail.
 
Kitila,

Kwa hiyo come 2010, kama upinzani bado watakuwa wamegawanyika, itakuwa jambo la busara kwa Chadema kumuacha Slaa katika ubunge na pia kutumia pesa yao zaidi katika chaguzi za wabunge. Wanaweza kusimamisha mgombea uraisi ambaye hana chance za kuwa mbunge au pia kutosimamisha kabisa kama ilivyofanya 2000.

Je, hapa hujaamaanisha kwamba upinzani usimamishe mgombea Urais legelege ambaye hata nafasi ya Ubunge hawezi kushinda? Wale wenye uwezo wa walau kuweza kushinda ubunge, je humaanishi hapa kwamba wasigombee ubunge?

Nimejaribu tu kufafanua ulichoandika. Hebu kisome tena mwenyewe

Asha
 
Asha,
Binti mzuri kama wewe kuwa na kinywa kichafu namna hiyo kwa ajili ya CHADEMA inasikitisha. As crippled as Mugabe is, MDC could only claim a win of 50.3%. Hii ilinishangaza sana na ndio maana naendelea kusisitiza kuwa, watu kama Asha wanaofikiria kuwa kwa vile yeye tu na anaowajua wanaichukia CCM basi CCM itashindwa uchaguzi, uliza 1995 wakati NCCR ina Mrema uone kama Chadema ya sasa ni mtoto. Wanamageuzi; United they win apart they fail.

Asante

Mugabe ni Mzee wa miaka karibu ya 80; je hastahili kuwa babu yako?

Asha
 
Asha,
With due respect I have to question your inteligence, maana naona napigia mbuzi gitaa. Matusi hayatakusaidia kushinda hoja bali yataonyesha tu kiwango duni cha kaubongo kako.
  1. Sijasema kuwa Chadema waweke mgombea legelege, nimesema wasiweke mwenye uwezo wa kuwa mbunge including Dr.Slaa. Sababu zangu soma my previous postings.
  2. Upinzani hawajaungana, ila wanajaribu tu kujionyesha kuwa wanashirikiana. Wakiungana matumizi yatapungua, uongozi utaimarika na muungano utakuwa na nguvu. Bila hivyo wataendelea kuzikusanya tu ruzuku za CCM na kutotoa upinzani wowote kwao kama wanavyotaka. Huu nao naona inabidi uangaliwe kama sio ufisadi.
  3. Maswali mengine uliyouliza ni ya kitoto sana, lakini ningekushauri tu kuwa, usiifanye CHADEMA kuwa ni kama msahafu ambao hauna kosa. Think, read and be wise.

Hilo la kusimamisha mgombea legelege umelisema. Nimekuonyesha wapi umelisema. Hapa umelirudia tena kwa staili nyingine "Nimesema wasiweke mwenye uwezo wa kuwa mbunge". Sasa mgombea Urais asiye hata na uwezo wa kuwa mbunge ni mgombea gani kama sio legelege?

Naomba unijibu hayo maswali yangu ya kitoto jamani? Au hoja zikikosekana majibu huja ya vioja?

Asha
 
Asha,
With due respect I have to question your inteligence, maana naona napigia mbuzi gitaa. Matusi hayatakusaidia kushinda hoja bali yataonyesha tu kiwango duni cha kaubongo kako[/LIST]

Jamani nionyeshe tusi basi nililotukana ili nikuombe radhi. Unajua wakati mwingine huwa ukinipasha kama ulivyonipasha nami huamua kuandika mipasho. Lakini asiliani siandiki matusi

Asha
 
Tatizo sio kuweza kushikilia uraisi, tatizo ni kushinda uchaguzi.

Hushindi kwa vile una mgombea mzuri zaidi ya chama kingine, in this case CCM, bali unatakiwa pia kushinda historia ya miongo mirefu ya CCM, ndio maana hata Zimbabwe wenye inflation zaidi ya 150,000%, bado MDC waliweza kupata 50% tu. Vyama kama CCM sio rahisi kuviondoa madarakani unless kuwe na shida iliyo kubwa kupita kiasi nchini na wapinzani wawe wameungana.

Ndio uzuri wenyewe, kwamba tulipewa uwezo tofauti wa kuona mambo. Sasa utashindaje kama unataka watu imara na wazuri wasigombee urais?

Halafu tunaongea kwenye anga tofauti sana ndio maana hatuelewani. Wewe mwenzetu unaamini kwamba CCM haiwezekani kuishinda katika urais. Sisi tunaamini kwamba ni vigumu lakini inawezekana. Na kwa sababu ni kazi ngumu ndio maana tunaifanya. Wengine hatuamini katika kufanya mambo rahisi tu; mambo rahisi kila mtu anaweza kuyafanya.

Zaidi ya yote siasa haijawahi kuwa kazi rahisi na ni sababu hiyo ndiyo maana wengine tupo huko. Ni kwa sababu ya kurahisha kazi ya siasa ndio maana wenzetu wa CCM wamejikuta wanafikiri kazi ya siasa ni kujichumia na kujiondokea zako, matokeo yake wameingia huko wasio wanasiasa na walio wanasiasa wapo nje ya fence wamejikatia tamaa.

So, man we know it is hard and difficult to uproot CCM out of power and that is exactly why we're doing it. You don't consider yourself to have made an achievement by doing an easy task that everybody can do; an achievement is attained by accomplishing a difficult task such as removing CCM from power! Next please!
 
Kitila,

  1. Kwa hiyo come 2010, kama upinzani bado watakuwa wamegawanyika,
  2. itakuwa jambo la busara kwa Chadema kumuacha Slaa katika ubunge na
  3. pia kutumia pesa yao zaidi katika chaguzi za wabunge.
  4. Wanaweza kusimamisha mgombea uraisi ambaye hana chance za kuwa mbunge
  5. au pia kutosimamisha kabisa kama ilivyofanya 2000.

Je, hapa hujaamaanisha kwamba upinzani usimamishe mgombea Urais legelege ambaye hata nafasi ya Ubunge hawezi kushinda? Wale wenye uwezo wa walau kuweza kushinda ubunge, je humaanishi hapa kwamba wasigombee ubunge?

Nimejaribu tu kufafanua ulichoandika. Hebu kisome tena mwenyewe

Asha

Nisipokutafunia naona inakuwa vigumu kwako kumeza. Nimeweka conditions za proposition yangu.

Soma tena. Kumbuka tu sikusema awe lelemama, nimesema awe yule ambaye ubunge sio rahisi kwake kupa. Hii haina maana kuwa atakuwa lelemama.
 
Ndio uzuri wenyewe, kwamba tulipewa uwezo tofauti wa kuona mambo. Sasa utashindaje kama unataka watu imara na wazuri wasigombee urais? Halafu tunaongea kwenye anga tofauti sana ndio maana hatuelewani. Wewe mwenzetu unaamini kwamba CCM haiwezekani kuishinda katika urais. Sisi tunaamini kwamba ni vigumu lakini inawezekana. Na kwa sababu ni kazi ngumu ndio maana tunaifanya. Wengine hatuamini katika kufanya mambo rahisi tu; mambo rahisi kila mtu anaweza kuyafanya. Zaidi ya yote siasa haijawahi kuwa kazi rahisi na ni sababu hiyo ndiyo maana wengine tupo huko. Ni kwa sababu ya kurahisha kazi ya siasa ndio maana wenzetu wa CCM wamejikuta wanafikiri kazi ya siasa ni kujichumia na kujiondokea zako, matokeo yake wameingia huko wasio wanasiasa na walio wanasiasa wapo nje ya fence wamejikatia tamaa.

So, man we know it is hard and difficult to uproot CCM out of power and that is exactly why we're doing it. You don't consider yourself to have made an achievement by doing an easy task that everybody can do; an achievement is attained by accomplishing a difficult task such as removing CCM from power! Next please!

Kitila,
Ndio maana nimetoa shauri mbalimbali ili kuupa upinzani nguvu. Kama vile;
  1. Vyama kuungana
  2. Kuondoa makunyanzi yanayolalamikiwa na wapenzi wake
  3. Kuimarisha wagombea ubunge
  4. Kuwa na mgombea mmoja kupambana na CCM
Bila ya kuwa na mikakati kababe ya kuing'oa CCM na kutegemea tu kuwa hizi kelele za ufisadi na umaarufu wa Zito na Slaa vimeijenga Chadema kuipiku CCM, itakuwa ni kujidanganya, sawa na kusubiri nazi ambayo haijakauka ianguke.

Back
Top Bottom