The road towards 2010 Elections

The road towards 2010 Elections

Kati ya hawa nani atafaa kutuongoza 2010-2015?

  • Edward Lowassa

    Votes: 0 0.0%
  • Dr. Slaa

    Votes: 7 38.9%
  • Prof. Lipumba

    Votes: 0 0.0%
  • Mizengo Pinda

    Votes: 5 27.8%
  • Samwel Sitta

    Votes: 0 0.0%
  • Jakaya Kikwete

    Votes: 2 11.1%
  • Mark Mwandosya

    Votes: 2 11.1%
  • Harisson Mwakyembe

    Votes: 2 11.1%
  • None of The above

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    18
  • Poll closed .
unajua tatizo la Tanzania ni collusion ya mihimili mitatu ya utawala, raisi hawezi kuwa na madaraka sana kama kila chombo kitafanya kazi kulinga na majukumu yake.

Bunge mahakama vyote vinafanya kazi kwa kumlinda raisi aliyeko madarakani hata kama hafanyi vizuri, but kama tunakuwa na wabunge wengi bungeni spika akatoka upinzani nafikiri nchi itanyoka maana hawataficha maelezo ya RA, wala hakutakuwa na hii sio issue ya bunge bali ni ya CUF na CCM
 
Ni vigumu sana kuwashinda hawa Mafisadi kwa sasa katika post ya Upresident, ukizingatia watatumia pesa za BOT kuwadanganya watanzania, na ikibidi za kina Chenge na lowassa.

Ninachoweza kushauri ni kuwa pale ambapo wapinzani wanaweza kufika inabidi wafanye nchini juu kuwaelimisha wananchi wa maeneo hayo na kushinda ubunge, hii itasaidia sana ukikuta sehemu nyingi zina upinzani, itawasaidia pia wao kuweza kupata nguvu pia za kuweza kucompete zaidi next time
Hata mimi nakubaliana nawe kuhusiana na hilo lakini pia naamini ni vizuri kwa wapinzani na wale wote wanaotaka mabadiliko nchini mwetu kujiweka sawa katika kila eneo, Nimetumia neno wale wote wanaotaka mabadiliko nikimaanisha hata baadhi ya walio ndani ya CCM, kwa sababu si wote kutoka CCM ni Mafisadi ila tu wameangukia kwenye chama chenye miongozo mibovu ya kifisadi.

Invisible,
Ahsante kwa kunifahamisha hilo Mazee na mimi nasubiri kwa hamu kuhusiana na hivyo vichwa ambavyo vitajitokeza. Lakini kuhusiana na muda nadhani huu ni muda mzuri kuanza kujiwekea mikakati kwa CCM ni chama chenye mizizi mizito Tanzania nzima na ukichelewa unaweza kujikuta wameshakupiga bao. Kwa hiyo nadhani hata wakati huu ni wakati muafaka kuanza kufikiria mrithi wa kiti cha urais.
 
unajua tatizo la Tanzania ni collusion ya mihimili mitatu ya utawala, raisi hawezi kuwa na madaraka sana kama kila chombo kitafanya kazi kulinga na majukumu yake. Bunge mahakama vyote vinafanya kazi kwa kumlinda raisi aliyeko madarakani hata kama hafanyi vizuri, but kama tunakuwa na wabunge wengi bungeni spika akatoka upinzani nafikiri nchi itanyoka maana hawataficha maelezo ya RA, wala hakutakuwa na hii sio issue ya bunge bali ni ya CUF na CCM
jamco,

Upinzani bado naamini kuwa rais wetu wa sasa ameelemewa na zigo la mijamaa yenye mifweza ambayo huenda ilim-finance wakati wa kampeni na sasa anashindwa aifanyeje. Anaamua ijifie yenyewe bila kuibeba tena maana imeiba kupitiliza ama kaigundua haina utu!

Vifo vya mende bado vinaelekea kuja zaidi. Kuna anguko moja huwa naliombea lakini naona tumepita njia ndefu sana kulifikia. Linaanza kuja taratiibu... Imani yangu ni kuwa Mungu ameamua kuliokoa taifa lake... Wapuuzi wengi walioamini kuwa wao ndio wao kwa jeuri ya fedha na ujasiri wa kifisadi sasa wataanguka vibaya.

Nawapa pole ambao wataumizwa kwa namna moja ama nyingine ikiwa ni pamoja na kusimamishwa kazi, kutishiwa maisha pamoja na kumwagiwa tindikali kwani katika mchakato huu lazima haya yatokee. Muhimu ni kushirikiana bega kwa bega kuhakikisha hili balaa tulilopandikiza ama kupandikiziwa linapungua na ikiwezekana kukata mizizi yake kabisa...

Tanzania ni yetu sote!
 
jamani sasa tutapatwa na kizunguzungu,kama mambo yenyewe ndio hivi basi kila mtu achukue kilicho chake,hakuna haja ya kuwa na viongozi.
 
Invisible,
Ahsante kwa kunifahamisha hilo Mazee na mimi nasubiri kwa hamu kuhusiana na hivyo vichwa ambavyo vitajitokeza. Lakini kuhusiana na muda nadhani huu ni muda mzuri kuanza kujiwekea mikakati kwa CCM ni chama chenye mizizi mizito Tanzania nzima na ukichelewa unaweza kujikuta wameshakupiga bao. Kwa hiyo nadhani hata wakati huu ni wakati muafaka kuanza kufikiria mrithi wa kiti cha urais.
Exactly,

Ni wakati wa kuhimizana sasa. Wale wenye nia na dhamira za kugombea nafasi mbalimbali waanze kujinoa. Tunahitaji vichwa vipya Bungeni by 2010 kuleta challenges na by 2015 Tanzania iwe imepiga hatua kubwa kimaendeleo.

Ni wakati huu wa sasa ambapo kila aliyekuwa na lengo hili aanze kuiandaa campaign team na kuweka strategies za kushinda. Muhimu ni kujulishana ili kampeni zipigwe kwa nguvu zote.

Geeque, why not you?
 
Nakuunga mkono Invisible, hiki ni kipindi cha mpito mara nyingi vipindi kama hivi kuna ambao watakuwa sacrificed, lakini Mungu atawapa njia kwani yote ni kwa nia njema kabisa ya kuliokoa taifa letu.
 
jamco,

Upinzani bado naamini kuwa rais wetu wa sasa ameelemewa na zigo la mijamaa yenye mifweza ambayo huenda ilim-finance wakati wa kampeni na sasa anashindwa aifanyeje. Anaamua ijifie yenyewe bila kuibeba tena maana imeiba kupitiliza ama kaigundua haina utu!

Vifo vya mende bado vinaelekea kuja zaidi. Kuna anguko moja huwa naliombea lakini naona tumepita njia ndefu sana kulifikia. Linaanza kuja taratiibu... Imani yangu ni kuwa Mungu ameamua kuliokoa taifa lake... Wapuuzi wengi walioamini kuwa wao ndio wao kwa jeuri ya fedha na ujasiri wa kifisadi sasa wataanguka vibaya.

Nawapa pole ambao wataumizwa kwa namna moja ama nyingine ikiwa ni pamoja na kusimamishwa kazi, kutishiwa maisha pamoja na kumwagiwa tindikali kwani katika mchakato huu lazima haya yatokee. Muhimu ni kushirikiana bega kwa bega kuhakikisha hili balaa tulilopandikiza ama kupandikiziwa linapungua na ikiwezekana kukata mizizi yake kabisa...

Tanzania ni yetu sote!

Hii nikweli mkuu maana ata mimi nafikili the same haiwezekani issue kama ya Chenge Mkuu wa kaya awe anajua halafu aondoke naye bila atreast kuweka mambo sawa, hii ni sawa na kusema kila mtu abebe mzigo wake mwenye.

Akiwaondoa kwenye madara watachukia na kutanga mambo mengi zaidi kwa wakati mmoja, hali ambayo ni mbaya kwani hata mkuu mwenyewe anaweza kujiuzuru.

Bora hawaache wafe kifo cha mende, miguu juu
 
Exactly,

Ni wakati wa kuhimizana sasa. Wale wenye nia na dhamira za kugombea nafasi mbalimbali waanze kujinoa. Tunahitaji vichwa vipya Bungeni by 2010 kuleta challenges na by 2015 Tanzania iwe imepiga hatua kubwa kimaendeleo.

Ni wakati huu wa sasa ambapo kila aliyekuwa na lengo hili aanze kuiandaa campaign team na kuweka strategies za kushinda. Muhimu ni kujulishana ili kampeni zipigwe kwa nguvu zote.

Geeque, why not you?
Nakubaliana nawe kabisa Mazee ingawa binafsi uongozi sio kitu ambacho nakipendelea lakini siku zote nitakuwa mstari wa mbele kutoa ushirikiano kwa yeyote yule ambaye atakuwa tayari kujiingiza katika vuguvugu la siasa kwa nia ya kuleta maendeleo ya kweli.

Ni kweli tumeshachoshwa vya kutosha na hawa viongozi wetu ndani ya Bongo, imefikia wakati sasa wanaona hata waibe vipi hawawezi kuguswa au kufikishwa kwenye vyombo vyovyote vya sheria.

Watu wamefanya rasilimali na mapato ya nchi kama mapato yao binafsi na kujimbikizia utajiri.
 
Pamoja na yote haya kuna baadhi ya watu (wengine humu ndani) wanaamini upinzani bado hauna kwolifikesheni za kukalia uraisi...sasa sijui ni kwolifikesheni gani walizonazo CCM ambazo wapinzani hawana?...labda ufisadi uliokubuhu...
 
Ni kweli tumeshachoshwa vya kutosha na hawa viongozi wetu ndani ya Bongo, imefikia wakati sasa wanaona hata waibe vipi hawawezi kuguswa au kufikishwa kwenye vyombo vyovyote vya sheria.

Tuna watu hawa kwanini wasiingie walau Bungeni?

GAME THEORY,

Mwanakijiji,

Mswahili,

Phillemon Mikael,

Field Marshall ES,

Mkandara,

Brutus,

Kitila,

Mwendapole,

Ogah,

Rev. Kishoka

Mnyika,

Kasheshe,

KadaMpinzani,

na wengine kibao!

Sasa ndio maana napendekeza wale wanachama ambao mna dhamira ya kufanya vile hima fanyeni hivyo! We can make a big difference
 
Pamoja na yote haya kuna baadhi ya watu (wengine humu ndani) wanaamini upinzani bado hauna kwolifikesheni za kukalia uraisi...sasa sijui ni kwolifikesheni gani walizonazo CCM ambazo wapinzani hawana?...labda ufisadi uliokubuhu...
Hahahaha Nyani Ngabu... Bado pia naamini hata wewe ukipewa fursa Bungeni unaweza kuleta changamoto huenda kuliko hata Zitto!

Misemo ya "Wapinzani hawawezi..." au "Wapinzani hawana uzoefu..." niseme ni misemo ya kifisadi. Ni upuuzi wa hali ya juu kutoa kauli kama hizi... Nani anaweza? Nani ana uzoefu? They can't fool us around like that... Muhimu ni kuwaelimisha watanzania kwa hali na mali kupitia vyombo vya habari kuwa HATA WAPINZANI WANAWEZA... Wapewe nafasi!

Pamoja mkuu...
 
Tuna watu hawa kwanini wasiingie walau Bungeni?

GAME THEORY,

Mwanakijiji,

Mswahili,

Phillemon Mikael,

Field Marshall ES,

Mkandara,

Brutus,

Kitila,

Mwendapole,

Ogah,

Rev. Kishoka

Mnyika,

Kasheshe,

KadaMpinzani,

na wengine kibao!

Sasa ndio maana napendekeza wale wanachama ambao mna dhamira ya kufanya vile hima fanyeni hivyo! We can make a big difference

Mmhhh...badhi yao sidhani kama wanaweza ku-pass background check...majina kwa sasa nayaweka kapuni
 
Hahahaha Nyani Ngabu... Bado pia naamini hata wewe ukipewa fursa Bungeni unaweza kuleta changamoto huenda kuliko hata Zitto!

Misemo ya "Wapinzani hawawezi..." au "Wapinzani hawana uzoefu..." niseme ni misemo ya kifisadi. Ni upuuzi wa hali ya juu kutoa kauli kama hizi... Nani anaweza? Nani ana uzoefu? They can't fool us around like that... Muhimu ni kuwaelimisha watanzania kwa hali na mali kupitia vyombo vya habari kuwa HATA WAPINZANI WANAWEZA... Wapewe nafasi!

Pamoja mkuu...

Mimi nitarudi kwetu Bariadi kugombea kiti cha Chenge....wewe mwenzangu je?
 
Nitaenda kuchukua kiti cha Basil Pesa Mbili Mramba ubunge wa Rombo

Ushi wa Rombo
 
Tuna watu hawa kwanini wasiingie walau Bungeni?

GAME THEORY,

Mwanakijiji,

Mswahili,

Phillemon Mikael,

Field Marshall ES,

Mkandara,

Brutus,

Kitila,

Mwendapole,

Ogah,

Rev. Kishoka

Mnyika,

Kasheshe,

KadaMpinzani,

na wengine kibao!

Sasa ndio maana napendekeza wale wanachama ambao mna dhamira ya kufanya vile hima fanyeni hivyo! We can make a big difference

This is the time,
maana tukiwa na watu kama Dr. Siraa 50 bungeni serikali yetu itakuwa accountable kwa bunge na tutaweza kuleta good governance na uchumi hautakua kwenye makaratasi ya IMF na benki ya dunia tu bali hata mifukoni mwa wananchi utaonekana.

Zile ibara za 15:1 zitakosa nafasi tena kwenye vyama maana wabunge watajua kuwa bungeni ni kutetea wananchi na sio chama
 
Tuna watu hawa kwanini wasiingie walau Bungeni?

GAME THEORY,

Mwanakijiji,

Mswahili,

Phillemon Mikael,

Field Marshall ES,

Mkandara,

Brutus,

Kitila,

Mwendapole,

Ogah,

Rev. Kishoka

Mnyika,

Kasheshe,

KadaMpinzani,

na wengine kibao!

Sasa ndio maana napendekeza wale wanachama ambao mna dhamira ya kufanya vile hima fanyeni hivyo! We can make a big difference

Naona majina mazuri lakini tafadhali sio Kada Mpinzani, huyu mtu hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba 10, siku zote mtetea Mafisadi nae ni Fisadi tu.
 
Ila tuwe waangalifu na watu wanaotumia haya majina ya bandia humu ndani...wengine ni wanafiki tu....Ninayemuona anafaa ni Kitila Mkumbo peke yake...wengine ninaguna kidogo...
 
Naona majina mazuri lakini tafadhali sio Kada Mpinzani, huyu mtu hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba 10, siku zote mtetea Mafisadi nae ni Fisadi tu.
Unamwonea KadaMpinzani...! Usimwone kuwatetea ila facts zikija hata kama anazipinga zinamwingia sana akilini.

Hawezi kuwa sawa na wao! Trust me, hapa tunafundana na nina imani kishajifunza mengi sana. He's a fast learner I assure you. That's KadaMpinzani
 
Tunachoitaji Watanzania sasa sio kumpeleka strong man kama yule ikilu, tutakuwa hatujafanya la maana kama tunataka maendeleo ya kweli na kule haendi peke yake, sisi wananchi tutampeleka kule lakini atakao wateua je watajali masirahi ya wananchi?

Yaani hapa umesema kama vile wale ambao Kikwete amechagua sasa hivi wanalinda masilahi ya nchi. Hii nchi inahitaji kiongozi mpya na chama kipya kwenye ikulu ya nchi.

We need those strong men in the parliament waweze kusaidia kuchange system iliyopo ambayo sasa hivi ni kifisadi, hata JK anaodoka leo hali itabakia ile ile maan system yote ni ya kifisadi na inaweza kubalidilishwa bungeni tu, watu waogope na kueshimu bunge badala ya sasa linaoneka kana kwamba ni sehemu ya kwenda kuchulia poso tu.

Bila kutoa ccm kwenye nafasi ya uraisi, bado hata wabunge hakuna kitakachotokea maana itakuwa yaleyale ya Kiteto.

Kikwete na ccm wameshindwa kazi na watoke haraka sana iwezekanavyo.
 
Back
Top Bottom