Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
hah
ahahaMakonda ni Rais wa Dar. Magifuli hawezi kumuachia waziri mkuu aongoze nchi. Hili ni jiji la Makonda. Hawezi kukwepa lolote na ndo maana alimchongea marehemu Kabwe aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji na akatumbuliwa na Rais. Ana cheo kikibwa ila yeye anahangaika na udaku na umbea huku jiji likizidi kupotea