The Rise and Fall of Paul Makonda (Dar RC)

The Rise and Fall of Paul Makonda (Dar RC)

Toka awe RC sioni chochote alichokifanya kuanzia CBD mpaka mipango miji.
iko wapi vision na mission ya hili jiji?
iko wapi strategic plan yake ya hili jiji?

He does have VISION in the sense that he constantly looks forward to attending PR stunts kama juzi kule Temeke and of course he's also looking forward to carry more favours toka kwa Magufuli (ambaye kashachoka na hizi blah blah za Makonda) and perhaps a vibrant future as cabinet minister (Tanzania ya sasa anything is possible). But having VISION and having A VISION, are two different things, though it is not certain many of his cheerleaders wanaokuja kumtetea humu Jamii Forums know the difference.

Tafadhali tuelimishe kuhusu kazi na wajibu wakuu wa mkoa vis a vis halmashauri ya jiji, manispaa, watendaji na madiwani, please do not try to super impose one over the other, they have clear and distinct roles albeit complimentary and supplementary depending on circumstances!
 
Wapo wengi tu waliopata madhara km huyo jamaa.. Kama Angekuwa smart zaid angeanzisha mfuko ajili ya watu wa aina hiyo

I agree with you on this.

Makonda has no strategic plan all he does is nothing.

halafu wanasema kuwa hawa ndio vijana wa ku take over
 
Tafadhali tuelimishe kuhusu kazi na wajibu wakuu wa mkoa vis a vis halmashauri ya jiji, manispaa, watendaji na madiwani, please do not try to super impose one over the other, they have clear and distinct roles albeit complimentary and supplementary depending on circumstances!

Iko wapi strategic Plan yake ya jiji hili?
 
Mi nadhani aliyemteua ndiyo tatizo. Hakukuwa na venting ya kutosha kubaini kama Makonda anafaa kuongoza jiji kubwa kama hili. Kisa tu ni mropokaji na hasa kwa kuwa alitumika kuwachafua wapinzani wa bwana mkubwa, basi ndiyo sifa ya kupewa jiji
woga wa kufikiri ndio tumerithishwa na wazee wetu na sasa tunarithisha hawa vijana wa leo...

Makonda is no different from other mediocre leaders that we have
 
I agree with you on this.

Makonda has no strategic plan all he does is nothing.

halafu wanasema kuwa hawa ndio vijana wa ku take over
yaani we acha tu........ angefanya mambo kwa uendelevu ingekuwa bora lakini mambo ya kuamka na kusema jambo hlafu lisiwe na mipango endelevu matatizo
 
Hivi sasa yuko busy anatatua papo kwa papo kero za wanadarisalama... zoezi hili linafanyika huku likirushwa mubashara na clouds media.
Hiyo papa kwa papa baada ya kupata habari kuwa Magufuli isnt impressed na Majaaliwa kashampa warning

basically he's on panic mode
 
Posts count: 10
[HASHTAG]#Teamkonda[/HASHTAG]

Dar es salaam inamhitaji Makonda kuliko Makonda anavyoihitaji.Ukiwa na wakazi wa Jiji wanaodhani ni jukumu la Makonda kuhakikisha jiji linabaki safi,wasiojua nani anapaswa kuandaa mipango miji,wanaoamini kuwa kazi ya kuongeza ufanisi wa Dar hauwahusu,ni viongozo aina ya Makonda tu anayelimudu.

Kila nikipita mitaa mbalimbali ya Dar nakutana na watu wanaokula chochote popote na chochote,wanatupa popote wakishikwa na kipindu pindu watalia Makonda hajatimiza wajibu wake.Tumkosoe anapokosea na kumshauri hatua za kuchukua.Ni upuuzi kudhani kila kinachoharibika ni kosa la Makonda au JPM na ni hasara yao.
 
yaani we acha tu........ angefanya mambo kwa uendelevu ingekuwa bora lakini mambo ya kuamka na kusema jambo hlafu lisiwe na mipango endelevu matatizo
Kikubwa tunamuona akiuza sura kwenye TV na baadhi ya magazeti.

No serious newspaper has anything to quote from this make-up man.
 
Dar es salaam inamhitaji Makonda kuliko Makonda anavyoihitaji.Ukiwa na wakazi wa Jiji wanaodhani ni jukumu la Makonda kuhakikisha jiji linabaki safi,wasiojua nani anapaswa kuandaa mipango miji,wanaoamini kuwa kazi ya kuongeza ufanisi wa Dar hauwahusu,ni viongozo aina ya Makonda tu anayelimudu.

Kila nikipita mitaa mbalimbali ya Dar nakutana na watu wanaokula chochote popote na chochote,wanatupa popote wakishikwa na kipindu pindu watalia Makonda hajatimiza wajibu wake.Tumkosoe anapokosea na kumshauri hatua za kuchukua.Ni upuuzi kudhani kila kinachoharibika ni kosa la Makonda au JPM na ni hasara yao.
Tanzania ni nchi ya watu waoga sana kufikiri ambayo haijawahi kutokea mahali popote ulimwenguni.
 
Personally sio shabiki mkubwa wa RC Makonda na baadhi mambo yake kadhaa siyaungi mkono, Lakini Uzi wako Mkuu naona umejaa CHUKI na mengi ambayo hayana justification yoyote kama tukitumia Logic kuyachambua. So far namwona kama Mkuu wa Mkoa bora zaidi kuliko wote nchini anaejituma kuleta mabadiliko katika eneo lake. Jifunze kutoa credit pale inapofaa.
 
naona sasa anapigana na polisi wa dar,kaanza na kamanda wao,hii kwa kweli ni hatari.

unapofanya jambo lolote katika vyombo vya dola vizuri uwe makini sana usije ukavivunja morali.

hawa watu kila siku wanakwepa risasi za majambazi,wananusurika kifo,hata kama wana tatizo,kuna njia za kushughulikia sio kuwadhalilisha hadharani.

pia sasa kahamia kwa wafanyakazi wa ofisi yake,anasema wafanyazi wote ni mzigo ispokuwa wanne tu.Nahisi hao wanne mmoja wapo ni dereva anayempeleka clouds,secretary anayechapa barua za kuxhongea watu na mlinzi wa nyumbani.

Hawa maafisa unawalaumuje kama taarifa za benki kuu zinasema hakuna pesa ya maendeleo iliyotolewa? watembee kwa miguu?watoe mfukoni pesa za kuendeleza jiji?wamfate GSM?

lets go back to the facts

Hii gari ni ya GSM

GSM ndio HOME SHOPPING CENTRE au?
 
Personally sio shabiki mkubwa wa RC Makonda na baadhi mambo yake kadhaa siyaungi mkono, Lakini Uzi wako Mkuu naona umejaa CHUKI na mengi ambayo hayana justification yoyote kama tukitumia Logic kuyachambua. So far namwona kama Mkuu wa Mkoa bora zaidi kuliko wote nchini anaejituma kuleta mabadiliko katika eneo lake. Jifunze kutoa credit pale inapofaa.
badala ya kujibu hoja kwa hoja.. unashabikia vitu hata usivyovijua.
 
Ni jambo la kushangaza sana kama unaona watanzania wanazidi kushabikia maovu ya viongozi badala kuwa kitu kimoja na kuweza kutengeneza agenda ya kuweza kutatua na kuwaondoa wabovu wanaosababisha nchini hii na raia wake kuitwa masikini!

Usitubebe mzobemzobe kushabikia ajenda yako, tushawishi kwa hoja! ........za mbayuwatu, tuache tutie na zetu! Mie sio shabiki wa Makonda hata kidogo lakini najua Makonda ana ukomo katika anayoweza kufanya kwa sababu mbalimbali, moja ni vipaumbele vya nchi, Kwa mfano madawati asingeacha kuelekeza nguvu zake huko! mbili ni bajeti finyu na tatu ni kuvuka vikwazo katika sekta mtambuka nk nk! Hata wewe ukubali kwamba vipaumbele vyako kwa mfano wifi! Sio kipaumbele cha watanzania wa kawaida, tusidanganyane, swala la kupunguza foleni, that is a megadollar project, masikini Makonda azitoe wapi pesa kama hizo bila kujaribu kuishawishi serikali kuu?! Tumuhukumu kwa kiasi lakini tuelewe mzigo aliobeba sio mwepesi kama unavyotaka tufikirie, swala la VISION (sight/kuona) na A
VISION (Maono/a dream!) Tunalielewa lakini VISION haiwezi kuovershadow vipaumbele realistic kulingana na mahitaji ya wakati hata kidogo!
 
Tanzania ni nchi ya watu waoga sana kufikiri ambayo haijawahi kutokea mahali popote ulimwenguni.

Kama una asili ya uvivu au uongo uongo lazima watu waoga kufikiri wapo Tanzania.Kundi kubwa la watanzania wanajua wanachotaka ila hawataki kuwajibika.
 
na ukiangalia ratio ya askari kwa raia,kwa Tanzania askari ni wachache.

katiba inasema jukumu la ulinzi na usalama ni la kila raia,wakiwamo mgambo cha msingi tu taratibu zifuatwe, Mawilayani kituo kina askari wawili,wanaojazia gepu la upungufu ni mgambo!!

Huyu bwana ni tatizo,bahati nzuri sirro hajamjibu

Halafu mtu kama Makonda naye ni political star, a rising "Young Turk". SMH.
 
Usitubebe mzobemzobe kushabikia ajenda yako, tushawishi kwa hoja! ........za mbayuwatu, tuache tutie na zetu! Mie sio shabiki wa Makonda hata kidogo lakini najua Makonda ana ukomo katika anayoweza kufanya kwa sababu mbalimbali, moja ni vipaumbele vya nchi, Kwa mfano madawati asingeacha kuelekeza nguvu zake huko! mbili ni bajeti finyu na tatu ni kuvuka vikwazo katika sekta mtambuka nk nk!

Tuletee strategic plan yake ya Dar tafadhali
 
Makonda alisema ni Rais wa Dar es salaam. Jiulize majukumu ya Rais ni nini..
kwani Ni nani anajali maisha ya mlala hoi. Kwao siasa ubabe na maujiko na majivuno. Haijalishi mwananchi anaishi mabondeni AMA wapi bora Ni mtanzania anahitaj msaada.
 
Kikubwa tunamuona akiuza sura kwenye TV na baadhi ya magazeti.

No serious newspaper has anything to quote from this make-up man.
instead kumekuwa na matamko matamko matamko kila uchwao..na kutumia nguvu inshort ni vurugu hakuna mipango na kama ipa haipo kimipango
 
Back
Top Bottom