msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,840
- 6,148
Daressalaam ina matatizo mengi sana ya msingi ukiachana na huo upuuzi wa Shisha..Mkuu katika hili naona umekuwa too personal on the man RC Makonda. Hakuna aliye mkamilifu though, hata wewe uliyetuletea hii mada.
Na nikiangalia IN BETWEEN the lines naona umejaa
MALICE/Fitina!
WIVU
Innuendo na
INCOMPREHENSIBLE narrative kuhusu nini RC Makonda atimize katika jiji letu.
Unaposema atupe HEWA safi, SIKUELEWI Una maana gani ?Eti good Transport system kama ya Ethiopia nakushangaa zaidi!
Hata UNADAI jijini tupewe FREE WIFI kwa ajili ya MITANDAO na raha za watu kama wewe. Mimi si msemaji wake lakini mahali palipo na FITINA na WIVU lazima tuzungumze!
YOU ARE BEING UNFAIR to HIM to say the least!
Ni kweli ana mapungufu yake, hata hivyo si MAKUBWA as you want us to believe! Hayo mambo uliyoyataja yote yanahitaji HELA na kila kitu kina bajeti yake.
Sasa ndugu RC Makonda kama Makonda where will he be able kupata fedha nyingi hivyo na kutimiza hayo yote uliyo ya outline kama FAILURE yake?
Let us be HONEST to ourselves bila prejudice.
This guy Makonda ni MCHAPA KAZI. No question about that!
Na kama unavyosema eti ni ANTI wafanya biashara that is a lie/ si kweli.
Hawezi kuwa kiongozi wa Mkoa huku akipiga vita wafanya biashara. Je waliomba audience naye AKAKATAA kukutana nao?
Mimi naona hii issue ya kuzuia biashara ya UVUTAJI wa SHISHA miongoni mwa mambo mengi mazuri anayoyafanya ndo inamfanya awe na MAADUI wengi ikiwamo wewe uliyeandika mada hii.
Basi nitasema hivi:
This could be but the beginning of the RISE and RISE of RC Makonda to the greater heights! Wivu UNAUWA Achana nao!!
He is not perfect though just like you and me hold your peace!
Yani shisha mtu anavuta kwa starehe zake na kwa pesa zake unaanza kumlazimisha aisvute..
Badala ya kuhakikisha Dar inakua salama;
,kuondoa Foleni,tatizo la maji..etc..
Ni mVivu wa kufikiri tu anaeweza kudhani Makonda yupo sawa kukomaa na mambo ya shisha