The Rise and Fall of Paul Makonda (Dar RC)

HNIC

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
1,898
Reaction score
2,202

If you want to test a man's character give him power

ABRAHAM LINCOLN

Unaccommodated man is no more but such a poor bare,
forked animal
KING LEAR : Act III, scene iv

C7dqeDIXkAA72Ro.jpg

Sipendi kuandika political obituaries lakini kwa huyu mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam (Paul Makonda ) Sidhani kama atamaliza ngwe yake na Magufuli let alone kama atamaliza miezi 12 ijayo katika jiji la Dar es salaam kama mkuu wa mkoa kwa sababu naamini kabisa kuwa Rais Magufuli kashaona kuwa Makonda isnt up to the job na mbaya zaidi Magufuli kashashtuka na hataki tena haya mambo ya kusifiwa sifiwa na kupambwa badala yake anataka kuona results baada ya kumpa cheo kuongoza jiji lenye watu karibu milioni 10.

Maguli alimpatia ukuu wa Mkoa wa Dar baada ya Makonda kumpa illusion kuwa ni mchapa kazi lakini ukweli usiopingika ni kuwa Makonda has failed na sasa hivi tumeishia kupewa PR stunts, na maneno mengi yasiyo na substance.

Jiji hili ambalo lina historia na ambalo limetoa vigogo wa kila namna linahitaji mkuu wa mkoa ambaye anaendana na dunia na karne hii tuliyonayo.

So far jiji bado ni chafu, ombaomba wako palepale, foleni na traffic lights zisizofanyakazi, hakuna law wala order, marengo yanajengwa bia mipangilio huko kwenye Central Business District (CBD), kodi zinakusanywa lakini wana Dar es salaam hawaambiwi wala kuonyeshwa mchanganuo wa matumizi wa kodi zao, hakuna transparency, jiji halina strategies wala policies za mambo ya climate change, hakuna strategies za kuongeza nyumba kwa wakazi wa hili jiji (na affordable) na kuondoa ma chaka na slums ya Buguruni, Mwananyamala kinondoni, Ilala, temeke, etc.

Makonda kashindwa kutuletea alternative Transport strategy na policy (kaput DART) na hajaja na mango wowote wa kuendeleza usafiri walau Dar ikawa na network ya light rail kama walivyofanya Addis au kuongeza na kuboresha barabara zilizopo ili ziendane na ukuwaji wa watu kwenye hili jiji, na usafiri hapa nazungumzia za waenda kwa miguu, baiskeli na magari.

C7dpxlGXkAEZcEE.jpg

Paul Makonda kashindwa kuja na mikakati yoyote ile ya kusaidia kuwa na Dar es salaam ambayo in hewa safi kwa wakazi wake. Hivi how hard is it for him kushirikiana na January Makamba (waziri wa mazingira) ili kuwepo kwa comprehensive strategies za kutunza mazingira? Mfano jiji la Dar halina power points za ku chat magari ya umeme, hakuna operesheni ya kueleweka ya kupada na kutunza mimi, Makonda kashindwa kuwahizimisha na kutoa incentives ma wajenzi kutumia umeme mbadala wa solar na wind.

Mbali na hayo hana strategies zozote zile kuvuta wawekezaji wa viwanda kama vya ku assemble Solar na vinginevyo kwenye hili jiji wala hana mipango yoyote ile ya kuvutia watalii kwenye hili jiji ambalo watulii hutumia kukaa kwa siku moja kisha wanaenda zao Arusha au Zanzibar. Hili ni jiji ambalo lina historia na vivutio kem kem na linaweza kuongezewa vivutio vingi zaidi ili wall mtalii on average awes ku spend more days hapa Dar na kutumia wastani wa dollar 100 per day hapa. In addition, Makonda amefeli kwenye kuboresha Ulinzi na usalama wa hili jiji kwani sasa hivi wakazi wa Dar hawajiskii salama kutoka nje usiku na hata aliyoko ndani ya gari anaogopa kusimama kwenye traffic lights kwa kuogopa majambazi.

Hivi kuna ubaya gani wananchi wakawa organised na kuambiwa wachangie kwenye mambo ya neighbourhood policing? Mrema aliweza na police posts in the 1990's sasa sielewi leo haya mambo yanashindikana. Wananchi kila wakiona polisi ni ama watakamatwa na kusingiziwa kesi na hivyo wananchi wa hili jiji police badala ya kuwa rafiki wa wananchi wanaonekana kuwa wanashirikiana na majambazi.

C7dl5BTWwAEzRcY.jpg

Hapo sijazungumzia vikosi veytu vya zimamoto ambavyo haviko up to standards. Zimamoto zinatakiwa kuwepo kwenye kila kata ya hili jiji lakini hakuna mipango hiyo na hata habari Mkaonda hana.

Ofisi yake pia imeshindwa kushirikiana na kampuni mbali mbali za teknolojia wakaweka super fast Free Wifi maeneo mbali mbali kwenye huu mji na bila kusahau wakashirikiana na navy makampuni kuifanya Dar iwe kivutio kikubwa kwa wawekezaji wa ndani na nje. Iko wapi Konza City ya Dar? Ziko wapi tech hubs za hili jiji ambazo vijana na local companies wanaweza kuonyesha kuwa Dar inaweza ikawa na digital economy. Hapa nazungumzia local companies kama akina Uhuru One, Selcom,Max malipo ambazo zingekuwa flag bearers za tech city ndani ya Dar tuitakayo. Dar inaweza ikawa East Africa’s centre of innovation and the location of choice for tech and digital companies and investors lakini hii ingewezakana kama RC wetu angekuwa na hiyo vision ya kuleta makampuni makubwa kama Google, Oracle, HP, Facebook na and pia hilo eneo pia linge provide support to local companies seeking to expand internationally kama hawa akina JAMIIMEDIA...lakini wapi!

Kuhusu Culture na nisiseme kwani sasa hivi the only cultural thing ambacho ofisi yake inakifanya ni matamasha ya fiesta na nyama choma. Ofisi yake haina habari na vituo vya sanaa na haina mipango ya kuwezesha wawekezaji kujenga Cultural Centres.

Miwsho zaidi Makonda hana habari kama jiji hili indigo walk wawekezaji na walipa kodi wakubwa. Sasa sielewi why mpaka leo hajafanya mkutano awa wafanya biashara wakubwa ambao wanalipa kodi kubwa na kuajiri watu wengi zaidi. If anything Makonda comes across as the most anti business RC kuliko wote ambao jiji hili imewapata. Hivi anashindwa vipi kushirikiana na private sector wenye hizi infrastructure projects kwa njia ya PPP?

C7bXg2QX4AA-Maj.jpg

Kama kweli anataka kusaidiwa aseme lakini tatizo hasemi. Sisi wana Dar hatupendi kulipa kodi lakini sababu ni hatupewi wala hatuonyeshwi namna kodi zetu zinavyotumika. Tunachokitaka ni kuona tax system ya Dar inakuwa overhauled,increasing taxpayer compliance while pledging that the Local Govt (LG) chini ya ofisi ya RC Makonda will be accountable for how tax money is spent. Naamini kuwa ofisi ya RC Dar wangekuwa honest na transparent, annual tax revenues zitapanda tutu na mana yake ni kuwa hizi pesa za ziada zitatumika kumaintain barabara, kusafisha jiji, kuongeza na kuimarisha ulinzi na usalama, ange weza kuintroduce new public transit options into kwenye hili jiji ambalo watu wanatumia zaidi ya masa 5 kwenye foleni na kwa kuboresha transport systems

Sidhani na siamini kabisa kama Magufuli is impressed na yanayoendelea kwenye hili jiji. Maana huyu Makonda Hana any Strategic Plan ya hili jiji.

Makonda angeweza sana kufanikisha haya mambo kwa kushirikiana na sect binafsi wakafanya kazi kwa njia ya Public Private Partnership (PPP)

In my opinion, its fair to say kuwa Makonda is not up to the job. Tuletewe mtu mwingine,

UPDATES:

If you want to test a man's character give him power

ABRAHAM LINCOLN

Unaccommodated man is no more but such a poor bare,
forked animal
KING LEAR : Act III, scene iv

Sipendi kuandika political obituaries lakini kwa huyu mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam (Paul Makonda ) Sidhani kama atamaliza ngwe yake na Magufuli let alone kama atamaliza miezi 12 mayo katika jiji la Dar es salaam kama mkuu wa mkoa kwa sababu naamini kabisa kuwa Rais Magufuli kashaona kuwa Makonda isnt up to the job na mbaya zaidi Magufuli kashashtuka na hataki tena haya mambo ya kusifiwa sifiwa na kupambwa badala yake anataka kuona results baada ya kumpa cheo kuongoza jiji lenye watu karibu milioni 10.

Maguli alimpatia ukuu wa Mkoa wa Dar baada ya Makonda kuonyesha kumpa illusion kuwa ni mchapa kazi lakini ukweli usiopingika ni kuwa Makonda has failed na sasa hivi tumeishia kupewa PR stunts, na maneno mengi yasiyo na substance.

Jiji hili ambalo lina historia na ambalo limetoa vigogo wa kila namna linahitaji mkuu wa mkoa ambaye anaendana na dunia na karne hii tuliyonayo.

So far jiji bado ni chafu, ombaomba wako palepale, foleni na traffic lights zisizofanyakazi, hakuna law wala order, marengo yanajengwa bia mipangilio huko kwenye Central Business District (CBD), kodi zinakusanywa lakini wana Dar es salaam hawaambiwi wala kuonyeshwa mchanganuo wa matumizi wa kodi zao, hakuna transparency, jiji halina strategies wala policies za mambo ya climate change, hakuna strategies za kuongeza nyumba kwa wakazi wa hili jiji (na affordable) na kuondoa ma chaka na slums ya Buguruni, Mwananyamala kinondoni, Ilala, temeke, etc.

Makonda kashindwa kutuletea alternative Transport strategy na policy (kakuta DART) na hajaja na mango wowote wa kuendeleza usafiri walau Dar ikawa na network ya light rail kama walivyofanya Addis au kuongeza na kuboresha barabara zilizopo ili ziendane na ukuwaji wa watu kwenye hili jiji, na usafiri hapa nazungumzia za waenda kwa miguu, baiskeli na magari.

Paul Makonda kashindwa kuja na mikakati yoyote ile ya kusaidia kuwa na Dar es salaam ambayo in hewa safi kwa wakazi wake. Hivi how hard is it for him kushirikiana na January Makamba (waziri wa mazingira) ili kuwepo kwa comprehensive strategies za kutunza mazingira? Mfano jiji la Dar halina power points za ku chat magari ya umeme, hakuna operesheni ya kueleweka ya kupada na kutunza mimi, Makonda kashindwa kuwahizimisha na kutoa incentives ma wajenzi kutumia umeme mbadala wa solar na wind.

Mbali na hayo hana strateges zozote zile kuvuta wawekezaji wa viwanda kama vya ku assemble Solar na vinginevyo kwenye hili jiji wala hana mipango yoyote ile ya kuvutia watalii kwenye hili jiji ambalo watulii hutumia kukaa kwa siku moja kisha wanaenda zao Arusha au Zanzibar. Hili ni jiji ambalo lina historia na vivutio kem kem na linaweza kuongezewa vivutio vingi zaidi ili wall mtalii on average awes ku spend more days hapa Dar na kutumia wastani wa dollar 100 per day hapa. In addition, Makonda amefeli kwenye kuboresha Ulinzi na usalama wa hili jiji kwani sasa hivi wakazi wa Dar hawajiskii salama kutoka nje usiku na hata aliyoko ndani ya gari anaogopa kusimama kwenye traffic lights kwa kuogopa majambazi.

Hivi kuna ubaya gani wananchi wakawa organised na kuambiwa wachangie kwenye mambo ya neighbourhood policing? Mrema aliweza na police posts in the 1990's sasa sielewi leo haya mambo yanashindikana. Wananchi kila wakiona polisi ni ama watakamatwa na kusingiziwa kesi na hivyo wananchi wa hili jiji police badala ya kuwa rafiki wa wananchi wanaonekana kuwa wanashirikiana na majambazi.

Hapo zijazungumzia vikosi veytu vya zimamoto ambavyo haviko up to standards. Zimamoto zinatakiwa kuwepo kwenye kila kata ya hili jiji lakini hakuna mipango hiyo na hata habari Mkaonda hana.

Ofisi yake pia imeshindwa kushirikiana na kampuni mbali mbali za teknolojia wakaweka super fast Free Wifi maeneo mbali mbali..

Kama kweli anataka kusaidiwa aseme lakini tatizo hasemi. Sisi wana Dar hatupendi kulipa kodi lakini sababu ni hatupewi wala hatuonyeshwi namna kodi zetu zinavyotumika. Tunachokitaka ni kuona tax system ya Dar inakuwa overhauled,increasing taxpayer compliance while pledging that the Local Govt (LG) chini ya ofisi ya RC Makonda will be accountable for how tax money is spent.

Sidhani na siamini kabisa kama Magufuli is impressed na yanayoendelea kwenye hili jiji. Maana huyu Makonda Hana any Strategic Plan ya hili jiji.

Makonda angeweza sana kufanikisha haya mambo kwa kushirikiana na sect binafsi wakafanya kazi kwa njia ya Public Private Partnership (PPP)

In my opinion, its fair to say kuwa Makonda is not up to the job. Tuletewe mtu mwingine,

Mkuu katika hili naona umekuwa too personal on the man RC Makonda. Hakuna aliye mkamilifu though, hata wewe uliyetuletea hii mada.
Na nikiangalia IN BETWEEN the lines naona umejaa
MALICE/Fitina!
WIVU
Innuendo na
INCOMPREHENSIBLE narrative kuhusu nini RC Makonda atimize katika jiji letu.

Unaposema atupe HEWA safi, SIKUELEWI Una maana gani ?Eti good Transport system kama ya Ethiopia nakushangaa zaidi!

Hata UNADAI jijini tupewe FREE WIFI kwa ajili ya MITANDAO na raha za watu kama wewe. Mimi si msemaji wake lakini mahali palipo na FITINA na WIVU lazima tuzungumze!
YOU ARE BEING UNFAIR to HIM to say the least!

Ni kweli ana mapungufu yake, hata hivyo si MAKUBWA as you want us to believe! Hayo mambo uliyoyataja yote yanahitaji HELA na kila kitu kina bajeti yake.
Sasa ndugu RC Makonda kama Makonda where will he be able kupata fedha nyingi hivyo na kutimiza hayo yote uliyo ya outline kama FAILURE yake?
Let us be HONEST to ourselves bila prejudice.
This guy Makonda ni MCHAPA KAZI. No question about that!

Na kama unavyosema eti ni ANTI wafanya biashara that is a lie/ si kweli.
Hawezi kuwa kiongozi wa Mkoa huku akipiga vita wafanya biashara. Je waliomba audience naye AKAKATAA kukutana nao?

Mimi naona hii issue ya kuzuia biashara ya UVUTAJI wa SHISHA miongoni mwa mambo mengi mazuri anayoyafanya ndo inamfanya awe na MAADUI wengi ikiwamo wewe uliyeandika mada hii.
Basi nitasema hivi:
This could be but the beginning of the RISE and RISE of RC Makonda to the greater heights! Wivu UNAUWA Achana nao!!
He is not perfect though just like you and me hold your peace!
 
Define "too personal"
 
..tatizo la makonda ni kupingana na wabunge ,mameya, na madiwani wa ukawa.

..mapendekezo yako yangeweza kufanyiwa kazi kukiwa na ushirikiano baina ya wabunge/mameya/ madiwani wa ukawa na mkuu wa mkoa/wakuu wa wilaya toka ccm.

..makonda anataka kuwaonyesha wananchi wa dsm kwamba wabunge mameya na madiwani waliowachagua hawana manufaa yoyote.
 
Its very difficult kwa watu wa Makonda kuja kujibu hizi hoja

Kitakachofuata ni mleta mada na wengine wataambiwa wako too personal au wataambiwa kuwa hawampendi au wataambiwa wana wivu na makonda

Men lie, women lie numbers don't lie

If makonda really wants to survive this abadilishe team take nzima (wapambe na image consultants) na ikiwezekana amtafute huyu mleta mada na amfanye kuwa mshauri wake otherwise this will spiral out of control
 
Hapo zijazungumzia vikosi veytu vya zimamoto ambavyo haviko up to standards. Zimamoto zinatakiwa kuwepo kwenye kila kata ya hili jiji lakini hakuna mipango hiyo na hata habari Mkaonda hana.
Washa washa yalipelekwa wapi baada ya uchaguzi au yalikuwa ya kuazima?
 
Nadhani mji kama wa Dar unahitaji mtanzania aliyekuwa exposed kidogo. Anayejua mambo mazuri kwenye mji, kwa mfano miti na chuma zinapelekwa bagamoyo road kupoteza hela wakati una barabara nyeti kama za makongo, mwananyamala, etc ambazo ni mbaya kweli kwel. Mazingira yote yaliyozunguka Mwananyamala hospital, Ilala hospital, na kinondoni yote ni machafu sana.
Makonda kwa ajili ya mbwbe zake na.show off siyo mtu anayeweza team work. Makonda kama Rais wake siyo team player kwa hiyo ni vigumu kutuletea maendeleo tunayoyataka.
Atatekeleza tu kinachoonekana na wakubwa. Sorry hii ni ukweli.
Dar ina resources nyingi lakini hatuoni zinafanya nini. Ni upande moja tu wa jiji unapata resources zote wakati sehemu zenye population kubwa ziko chafu kabisa na bado hazina basic needs kama maji.
 
Tatizo la huyu RC anataka afanye kazi zote za Mayor afanye yy, za wabunge yumo tu, madiwani yumo tu, za wakurugenzi yumo tu, za watalaamu yumo tu, za mapolisi yumo tu, hawezi kwenda hvyo HEKIMA na BUSARA inahitajika kuongoza watu hasa jiji kama la Dar
 
we we unaponda tu mbona hausemi kuwa anajali watumishi kama mwalimu,kamsaidia yule alotobolewa macho milioni kumi,vipanya road vilianza kuzuka kavidhibiti,mwacheni Mtoto wa watu afanye kazi kama mmeanza lugha za ushawishi kwa Rais wetu kipenzi amtoe hawezi anawafahamu watanzania vizuri Hamna jema.acheni majungu.
 
If you want to test a man's character give him power

ABRAHAM LINCOLN

Unaccommodated man is no more but such a poor bare,
forked animal
KING LEAR : Act III, scene iv

Sipendi kuandika political obituaries lakini kwa huyu mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam (Paul Makonda ) Sidhani kama atamaliza ngwe yake na Magufuli let alone kama atamaliza miezi 12 mayo katika jiji la Dar es salaam kama mkuu wa mkoa kwa sababu naamini kabisa kuwa Rais Magufuli kashaona kuwa Makonda isnt up to the job na mbaya zaidi Magufuli kashashtuka na hataki tena haya mambo ya kusifiwa sifiwa na kupambwa badala yake anataka kuona results baada ya kumpa cheo kuongoza jiji lenye watu karibu milioni 10.

Maguli alimpatia ukuu wa Mkoa wa Dar baada ya Makonda kuonyesha kumpa illusion kuwa ni mchapa kazi lakini ukweli usiopingika ni kuwa Makonda has failed na sasa hivi tumeishia kupewa PR stunts, na maneno mengi yasiyo na substance.

Jiji hili ambalo lina historia na ambalo limetoa vigogo wa kila namna linahitaji mkuu wa mkoa ambaye anaendana na dunia na karne hii tuliyonayo.

So far jiji bado ni chafu, ombaomba wako palepale, foleni na traffic lights zisizofanyakazi, hakuna law wala order, marengo yanajengwa bia mipangilio huko kwenye Central Business District (CBD), kodi zinakusanywa lakini wana Dar es salaam hawaambiwi wala kuonyeshwa mchanganuo wa matumizi wa kodi zao, hakuna transparency, jiji halina strategies wala policies za mambo ya climate change, hakuna strategies za kuongeza nyumba kwa wakazi wa hili jiji (na affordable) na kuondoa ma chaka na slums ya Buguruni, Mwananyamala kinondoni, Ilala, temeke, etc.

Makonda kashindwa kutuletea alternative Transport strategy na policy (kakuta DART) na hajaja na mango wowote wa kuendeleza usafiri walau Dar ikawa na network ya light rail kama walivyofanya Addis au kuongeza na kuboresha barabara zilizopo ili ziendane na ukuwaji wa watu kwenye hili jiji, na usafiri hapa nazungumzia za waenda kwa miguu, baiskeli na magari.

Paul Makonda kashindwa kuja na mikakati yoyote ile ya kusaidia kuwa na Dar es salaam ambayo in hewa safi kwa wakazi wake. Hivi how hard is it for him kushirikiana na January Makamba (waziri wa mazingira) ili kuwepo kwa comprehensive strategies za kutunza mazingira? Mfano jiji la Dar halina power points za ku chat magari ya umeme, hakuna operesheni ya kueleweka ya kupada na kutunza mimi, Makonda kashindwa kuwahizimisha na kutoa incentives ma wajenzi kutumia umeme mbadala wa solar na wind.

Mbali na hayo hana strateges zozote zile kuvuta wawekezaji wa viwanda kama vya ku assemble Solar na vinginevyo kwenye hili jiji wala hana mipango yoyote ile ya kuvutia watalii kwenye hili jiji ambalo watulii hutumia kukaa kwa siku moja kisha wanaenda zao Arusha au Zanzibar. Hili ni jiji ambalo lina historia na vivutio kem kem na linaweza kuongezewa vivutio vingi zaidi ili wall mtalii on average awes ku spend more days hapa Dar na kutumia wastani wa dollar 100 per day hapa. In addition, Makonda amefeli kwenye kuboresha Ulinzi na usalama wa hili jiji kwani sasa hivi wakazi wa Dar hawajiskii salama kutoka nje usiku na hata aliyoko ndani ya gari anaogopa kusimama kwenye traffic lights kwa kuogopa majambazi.

Hivi kuna ubaya gani wananchi wakawa organised na kuambiwa wachangie kwenye mambo ya neighbourhood policing? Mrema aliweza na police posts in the 1990's sasa sielewi leo haya mambo yanashindikana. Wananchi kila wakiona polisi ni ama watakamatwa na kusingiziwa kesi na hivyo wananchi wa hili jiji police badala ya kuwa rafiki wa wananchi wanaonekana kuwa wanashirikiana na majambazi.

Hapo zijazungumzia vikosi veytu vya zimamoto ambavyo haviko up to standards. Zimamoto zinatakiwa kuwepo kwenye kila kata ya hili jiji lakini hakuna mipango hiyo na hata habari Mkaonda hana.

Ofisi yake pia imeshindwa kushirikiana na kampuni mbali mbali za teknolojia wakaweka super fast Free Wifi maeneo mbali mbali..

Kuhusu Culture na nisiseme kwani sasa hivi the only cultural thing ambacho ofisi yake inakifanya ni matamasha ya fiesta na nyama choma. Ofisi yake haina habari na vituo vya sanaa na haina mipango ya kuwezesha wawekezaji kujenga Cultural Centres.

Miwsho zaidi Makonda hana habari kama jiji hili indigo walk wawekezaji na walipa kodi wakubwa. Sasa sielewi why mpaka leo hajafanya mkutano awa wafanya biashara wakubwa ambao wanalipa kodi kubwa na kuajiri watu wengi zaidi. If anything Makonda comes across as the most anti business RC kuliko wote ambao jiji hili imewapata. Hivi anashindwa vipi kushirikiana na private sector wenye hizi infrastructure projects kwa njia ya PPP?

Kama kweli anataka kusaidiwa aseme lakini tatizo hasemi. Sisi wana Dar hatupendi kulipa kodi lakini sababu ni hatupewi wala hatuonyeshwi namna kodi zetu zinavyotumika. Tunachokitaka ni kuona tax system ya Dar inakuwa overhauled,increasing taxpayer compliance while pledging that the Local Govt (LG) chini ya ofisi ya RC Makonda will be accountable for how tax money is spent. Naamini kuwa ofisi ya RC Dar wangekuwa honest na transparent, annual tax revenues zitapanda tutu na mana yake ni kuwa hizi pesa za ziada zitatumika kumaintain barabara, kusafisha jiji, kuongeza na kuimarisha ulinzi na usalama, ange weza kuintroduce new public transit options into kwenye hili jiji ambalo watu wanatumia zaidi ya masa 5 kwenye foleni na kwa kuboresha transport systems

Sidhani na siamini kabisa kama Magufuli is impressed na yanayoendelea kwenye hili jiji. Maana huyu Makonda Hana any Strategic Plan ya hili jiji.

Makonda angeweza sana kufanikisha haya mambo kwa kushirikiana na sect binafsi wakafanya kazi kwa njia ya Public Private Partnership (PPP)

In my opinion, its fair to say kuwa Makonda is not up to the job. Tuletewe mtu mwingine,
JF kisima cha maarifa! Kuna ile slogan iliyotengenezewa mabango makuubwa ya picha za kutengeneza kwenye Internet! Slogan ya Dar es salaam tuitakayo
Ni mapicha ya miti na minazi pambo nikajiuliza hivi tunataka kutengeneza zoo?
Kuwakuwa naye ni mpitaji huku si mbaya akakualika mkae meza moja pamoja na wataalam kwenye nyanja mbalimbali kama ulivyoainisha! Anaweza kufanya maajabu
 
we we unaponda tu mbona hausemi kuwa anajali watumishi kama mwalimu,kamsaidia yule alotobolewa macho milioni kumi,vipanya road vilianza kuzuka kavidhibiti,mwacheni Mtoto wa watu afanye kazi kama mmeanza lugha za ushawishi kwa Rais wetu kipenzi amtoe hawezi anawafahamu watanzania vizuri Hamna jema.acheni majungu.
Posts count: 10
[HASHTAG]#Teamkonda[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom