Sipendi kuandika political obituaries lakini kwa huyu mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam (Paul Makonda ) Sidhani kama atamaliza ngwe yake na Magufuli let alone kama atamaliza miezi 12 ijayo katika jiji la Dar es salaam kama mkuu wa mkoa kwa sababu naamini kabisa kuwa Rais Magufuli kashaona kuwa Makonda isnt up to the job na mbaya zaidi Magufuli kashashtuka na hataki tena haya mambo ya kusifiwa sifiwa na kupambwa badala yake anataka kuona results baada ya kumpa cheo kuongoza jiji lenye watu karibu milioni 10.
You were right,
Magufuli alimpatia ukuu wa Mkoa wa Dar baada ya Makonda kumpa illusion kuwa ni mchapa kazi
Kiukweli jamaa ni mchapa kazi, mimi ni miongoni mwa tulioachangia kushauri jamaa awe RC DSM
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam na kiukweli ni mchapa kazi
Je, Tanzania tunahitaji viongozi gani?. wajinga wachapakazi, au mangi meza wenye vyeti?.
Lakini ukweli usiopingika ni kuwa Makonda has failed na sasa hivi tumeishia kupewa PR stunts, na maneno mengi yasiyo na substance.
Ni kweli jamaa ni mtu wa good PR stunt mzuri!, and that is what politicians needs, good PR stunts
Jiji hili ambalo lina historia na ambalo limetoa vigogo wa kila namna linahitaji mkuu wa mkoa ambaye anaendana na dunia na karne hii tuliyonayo.
Naunga mkono hoja, hata Chala anapwaya, hapa anastahili mtu kama Anthony Mtaka.
Makonda kashindwa kutuletea alternative Transport strategy na policy (kaput DART) na hajaja na mpango wowote wa kuendeleza usafiri walau Dar ikawa na network ya light rail kama walivyofanya Addis au kuongeza na kuboresha barabara zilizopo ili ziendane na ukuwaji wa watu kwenye hili jiji, na usafiri hapa nazungumzia za waenda kwa miguu, baiskeli na magari.
Hapa ni unamuonea bure, hii ni national level na sio regional
In my opinion, its fair to say kuwa Makonda is not up to the job. Tuletewe mtu mwingine,
You were right, ila kitu usichokijua kumhusu huyu jamaa ni mpakwa mafuta wa Bwana
Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni hivyo nikashauri
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM! hapa wizara ya habari ni kunyoosha tuu mapito, stapelekwa MHA na 2030 atakuwepo ni miongoni mwa wagombea only if YEYE hatafanya jambo kabla!
Kwa vile heading ya uzi huu ilikuwa ni rise and fall, kwa vile ni kweli ali rise aka fall, na sasa ame rise again, ulipaswa kufanya update ikawa
The Rise and Fall of... and the rise again!.
Mimi binafsi namkubali sana huyu jamaa
Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine? na kila
Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli
Hivyo 2030 this is a man to keep watching very closely!.
P