The Rise and Fall of Paul Makonda (Dar RC)

The Rise and Fall of Paul Makonda (Dar RC)

Tattizo ni kuwa hakuna strategies wala plan zozote zile

What strategies. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Hata mimi sipendi tabia ya RC wa Dar ila sina chuki binafsi dhidi yake kama uliyoonesha katika andiko lako.

Tuna wizara inayoshughulikia mazingira. Ipo idara ya mipango. Lipo jiji. Mambo yote hayo uliyosema Makonda hayashughulikii yanaangukia na ni majukumu ya taasisi nilizozitaja.

Pengine yapo madudu anayofanya uliyoshindwa kusema katika andiko lako; yaseme.
 
Tumezoea kufikiri Kwa mipaka...[emoji12]

Uchambuzi mzuri ni ule ambao mtu anakiachia kichwa kijivinjari far and wide, hata maoni yako mwenyewe unayasubject to a critical analyisis ukijua wasomaji watakuwa na perspectives zao pia kuhusu topic husika! mchambuzi hatakiwi kuruhusu maoni yake yawe jawabu! That is a subjective approach ambayo haikubaliki kamwe!
 
What strategies. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpe. Hata mimi sipendi tabia ya RC wa Dar ila sina chuki binafsi dhidi yake kama uliyoonesha katika andiko lako.
Tuna wizara inayoshughulikia mazingira. Ipo idara ya mipango. Lipo jiji. Mambo yote hayo uliyosema Makonda hayashughulikii yanaangukia na ni majukumu ya taasisi nilizozitaja.

Pengine yapo madudu anayofanya uliyoshindwa kusema katika andiko lako; yaseme.

Nimeipenda hiyo!
 
Wivu wa kijinga huo.

Wewe unaejiona unafaa umefanya nini zaidi ya kuhororoja na kubwabwaja JF?
Haya mwambie apande boti aendelee na ziara katikati ya jiji
1479903485108.jpg
 
If you want to test a man's character give him power

ABRAHAM LINCOLN

Unaccommodated man is no more but such a poor bare,
forked animal
KING LEAR : Act III, scene iv
​

Sipendi kuandika political obituaries lakini kwa huyu mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam (Paul Makonda ) Sidhani kama atamaliza ngwe yake na Magufuli let alone kama atamaliza miezi 12 mayo katika jiji la Dar es salaam kama mkuu wa mkoa kwa sababu naamini kabisa kuwa Rais Magufuli kashaona kuwa Makonda isnt up to the job na mbaya zaidi Magufuli kashashtuka na hataki tena haya mambo ya kusifiwa sifiwa na kupambwa badala yake anataka kuona results baada ya kumpa cheo kuongoza jiji lenye watu karibu milioni 10.

Maguli alimpatia ukuu wa Mkoa wa Dar baada ya Makonda kuonyesha kumpa illusion kuwa ni mchapa kazi lakini ukweli usiopingika ni kuwa Makonda has failed na sasa hivi tumeishia kupewa PR stunts, na maneno mengi yasiyo na substance.

Jiji hili ambalo lina historia na ambalo limetoa vigogo wa kila namna linahitaji mkuu wa mkoa ambaye anaendana na dunia na karne hii tuliyonayo.

So far jiji bado ni chafu, ombaomba wako palepale, foleni na traffic lights zisizofanyakazi, hakuna law wala order, marengo yanajengwa bia mipangilio huko kwenye Central Business District (CBD), kodi zinakusanywa lakini wana Dar es salaam hawaambiwi wala kuonyeshwa mchanganuo wa matumizi wa kodi zao, hakuna transparency, jiji halina strategies wala policies za mambo ya climate change, hakuna strategies za kuongeza nyumba kwa wakazi wa hili jiji (na affordable) na kuondoa ma chaka na slums ya Buguruni, Mwananyamala kinondoni, Ilala, temeke, etc.

Makonda kashindwa kutuletea alternative Transport strategy na policy (kakuta DART) na hajaja na mango wowote wa kuendeleza usafiri walau Dar ikawa na network ya light rail kama walivyofanya Addis au kuongeza na kuboresha barabara zilizopo ili ziendane na ukuwaji wa watu kwenye hili jiji, na usafiri hapa nazungumzia za waenda kwa miguu, baiskeli na magari.

Paul Makonda kashindwa kuja na mikakati yoyote ile ya kusaidia kuwa na Dar es salaam ambayo in hewa safi kwa wakazi wake. Hivi how hard is it for him kushirikiana na January Makamba (waziri wa mazingira) ili kuwepo kwa comprehensive strategies za kutunza mazingira? Mfano jiji la Dar halina power points za ku chat magari ya umeme, hakuna operesheni ya kueleweka ya kupada na kutunza mimi, Makonda kashindwa kuwahizimisha na kutoa incentives ma wajenzi kutumia umeme mbadala wa solar na wind.

Mbali na hayo hana strateges zozote zile kuvuta wawekezaji wa viwanda kama vya ku assemble Solar na vinginevyo kwenye hili jiji wala hana mipango yoyote ile ya kuvutia watalii kwenye hili jiji ambalo watulii hutumia kukaa kwa siku moja kisha wanaenda zao Arusha au Zanzibar. Hili ni jiji ambalo lina historia na vivutio kem kem na linaweza kuongezewa vivutio vingi zaidi ili wall mtalii on average awes ku spend more days hapa Dar na kutumia wastani wa dollar 100 per day hapa. In addition, Makonda amefeli kwenye kuboresha Ulinzi na usalama wa hili jiji kwani sasa hivi wakazi wa Dar hawajiskii salama kutoka nje usiku na hata aliyoko ndani ya gari anaogopa kusimama kwenye traffic lights kwa kuogopa majambazi.

Hivi kuna ubaya gani wananchi wakawa organised na kuambiwa wachangie kwenye mambo ya neighbourhood policing? Mrema aliweza na police posts in the 1990's sasa sielewi leo haya mambo yanashindikana. Wananchi kila wakiona polisi ni ama watakamatwa na kusingiziwa kesi na hivyo wananchi wa hili jiji police badala ya kuwa rafiki wa wananchi wanaonekana kuwa wanashirikiana na majambazi.

Hapo zijazungumzia vikosi veytu vya zimamoto ambavyo haviko up to standards. Zimamoto zinatakiwa kuwepo kwenye kila kata ya hili jiji lakini hakuna mipango hiyo na hata habari Mkaonda hana.

Ofisi yake pia imeshindwa kushirikiana na kampuni mbali mbali za teknolojia wakaweka super fast Free Wifi maeneo mbali mbali..

Kuhusu Culture na nisiseme kwani sasa hivi the only cultural thing ambacho ofisi yake inakifanya ni matamasha ya fiesta na nyama choma. Ofisi yake haina habari na vituo vya sanaa na haina mipango ya kuwezesha wawekezaji kujenga Cultural Centres.

Miwsho zaidi Makonda hana habari kama jiji hili indigo walk wawekezaji na walipa kodi wakubwa. Sasa sielewi why mpaka leo hajafanya mkutano awa wafanya biashara wakubwa ambao wanalipa kodi kubwa na kuajiri watu wengi zaidi. If anything Makonda comes across as the most anti business RC kuliko wote ambao jiji hili imewapata. Hivi anashindwa vipi kushirikiana na private sector wenye hizi infrastructure projects kwa njia ya PPP?

Kama kweli anataka kusaidiwa aseme lakini tatizo hasemi. Sisi wana Dar hatupendi kulipa kodi lakini sababu ni hatupewi wala hatuonyeshwi namna kodi zetu zinavyotumika. Tunachokitaka ni kuona tax system ya Dar inakuwa overhauled,increasing taxpayer compliance while pledging that the Local Govt (LG) chini ya ofisi ya RC Makonda will be accountable for how tax money is spent. Naamini kuwa ofisi ya RC Dar wangekuwa honest na transparent, annual tax revenues zitapanda tutu na mana yake ni kuwa hizi pesa za ziada zitatumika kumaintain barabara, kusafisha jiji, kuongeza na kuimarisha ulinzi na usalama, ange weza kuintroduce new public transit options into kwenye hili jiji ambalo watu wanatumia zaidi ya masa 5 kwenye foleni na kwa kuboresha transport systems

Sidhani na siamini kabisa kama Magufuli is impressed na yanayoendelea kwenye hili jiji. Maana huyu Makonda Hana any Strategic Plan ya hili jiji.

Makonda angeweza sana kufanikisha haya mambo kwa kushirikiana na sect binafsi wakafanya kazi kwa njia ya Public Private Partnership (PPP)

In my opinion, its fair to say kuwa Makonda is not up to the job. Tuletewe mtu mwingine,
Mkuu, wahenga walipata kunena kuwa ukiona giza usilaumu wenzio, leta mwanga....hapa walimaanisha badala ya kumlaumu aliyezembea taa zisiwake kwa sababu mbalimbali wewe onyesha werevu wako kwa kuzifanya ziwake hata kwa kuja na taa mbadala. like wise, badala ya kumshambulia Makonda na lawama kibao, wewe tulia, andika mtizamo wako na mwelekeze the way foward utakuwa umesaidia kuliko kushambulia au kubeza kila analofanya. Frankly speeking the man is trying his level best, mapungufu mtu yeyote hakosi kuwa nayo...wewe andika mawazo yako ili yamsaidie yeye n timu yake kuleta hayo mabadiliko kwa faida yetu sote. Mawazo yako yalenge pia kuwaamsha wabunge na madiwani wa mkoa huu ambao wengi (more than half) ni UKAWA. Anaonekana yeye tu, wabunge, wakurugenzi, madiwani wako wapi?
 
Mkuu wa Mkoa ni Rais wa Mkoa. Sasa tafakari majukum ya Magufuli then yahamishie kwa Makonda kwa ajili ya Dar tu.
Viongozi wengi wanasumbuliwa na tatzo la kutojua kipaumbele ni kipi.

Kuna vitu wanaweza wakafanya ukahisi labda wapo 'compitent' sehemu hizo lakini nako bila bila.

Mfano,kuna kipindi walikomalia swala sukari na wakawaandama wanaoficha sukari ndani kwa ajili ya kusubiria bei ishuke. Lakini hapo hapo unasikia kesi wakulima wa miwa huko mtibwa wanalalamika kwamba wafugaji wamelisha mifugo yao kwenye mashamba ya miwa ya takribani hekari 300.

Sasa unajiuliza,hiki nini?

Mara wanaanza kushikiria kidete swala la shisha. Mtu anatoka hadharani bila aibu na kusema kwamba "kuna watu walitaka kunihonga milioni 5 kila mmoja ili niruhusu wafanye biashara ya shisha,ila nikawakatalia" Sasa unajiuliza,aliwaripoti takukuru? Au amewachukulia hatua gani?

Yani ukurupukaji umekuwa mwingi sana. Alafu ukiangalia vizuri utagundua kila sekta kwa namna moja au nyingine inaharibu utendaji kazi wa sekta nyingine.

Mfano:

1. Aliyewabana waficha sukari akashindwa kuwaangalia wakulima hadi mashamba ya miwa yanavamiwa na mifugo.

2. Anayesimamia kampeni ya kuzuia shisha alishindwa kuwachukulia hatua watoa rushwa,hivyo kupelekea kampeni zote za takukuru ktk swala la rushwa kukwamishwa.

3. Huyo huyo mzee wa shisha,alitoka hadharani na kumuongelea kwa namna isiyo nzuri kamanda Siro. Kwa mliopata kusikia alichojibu Siro,mtagundua kwamba alikuwa 'disappointed kwa kiasi fulani. Kwa style hii jeshi la polisi wanavunjika moyo maana ukurupukaji unawafanya waonekane hawana walifanyalo.

Hii Tanzania ya viwanda ina vituko vingi sana. Maana wengi wa wasiokuwa na 'experience' na nafasi wanazoshika wanatumia media kufanya kazi. Ndio maana aliyekuwaga mkuu wa wilaya alitaka walimu wavae sare na vitambulisho au alipopata cheo cha juu zaidi akatoa wazo la kupunguza wafanyakazi bila kujali hiyo sio kazi yake.

Kipaumbele viwanda,ila sijajua ni viwanda gani. Muda utatwambia

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
..tatizo la makonda ni kupingana na wabunge ,mameya, na madiwani wa ukawa.

..mapendekezo yako yangeweza kufanyiwa kazi kukiwa na ushirikiano baina ya wabunge/mameya/ madiwani wa ukawa na mkuu wa mkoa/wakuu wa wilaya toka ccm.

..makonda anataka kuwaonyesha wananchi wa dsm kwamba wabunge mameya na madiwani waliowachagua hawana manufaa yoyote.
Justify your post sir....anapingana na wabunge, mameya na madiwani wa UKAWA? Real?
 
Mambo yanayofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam asiwe Kiongozi mzuri kama ambavyo anatakiwa kuwa

1. Kupeleka kila kitu moja moja kwa Rais bila hata yeye kukifanyia kazi mpaka mwisho wake, eg kuomba kibali cha kufukuza wafanyakazi. Badala ya kuomba kibali kuwafukuza kwa nini usiombe kibali cha skill development alika trainer toka UDSM waje kukusaidia.

2. Kusema wafanyakazi hadharani kuwa watendaji wabovu bila kutoa udhibitisho wa utendaji mbovu. Kiongozi mzuri hata ukimpa watu wabaya watakuwa wazuri kwa kutumia njia mbali, kama training ,couching, empowering. RC train and emapower your people give them direction and leadership utapata matokeo.

3. Kiongozi Mzuri hufuata sheria na procedures sio shortcuts, Imagine unafukuza wafanyakazi wote kwa pamoja, hajui kuna class action ambayo hawezi kushinada na itakuwa na madhara kwa serikali ya mkoa na kutaifa.

4. Kwenye Mkutano sioni kama ana notebook kurekodi kinachosemwa ila baadaye arejee akiwa ofisini kwake na pia wakati wa kurudisha majibu yawe ni yale yale yaliyoulizwa.

5. Anapongea hana notisi kwa hiyo sio rahisi kupata plan of thoughts , matokeo mambo mengi hujitokeza na sio rahisi kuyafanyia kazi/

6. Duniani hakuna wafanyakazi wabovu hungozi ndio mbovu, wafanyakazi ni kama computer GIGO
 
Viongozi wa mwendokasi.
 
Leo nilikuwa namfuatilia vizuri clouds TV mkuu wa mkoa anachokifanya ni best of the best for the best to the best..ziara yake kwenye serikali za kata na mitaa ni nzuri sana zinatatua changamoto za wananchi, Mungu akubariki sana Mh Paul Makonda kupitia hili.
 
Makonda ndio type ya wateule wa Magufuli kwa hiyo haendi popote! Amefanikisha kampeni ya kupanda miti siku ya UKUTA hilo ni muhimu kwa serikali kuliko yote uliyoandika.
Weee jamaa ni genius.
 
Inaonekana humpendi tu makonda bila sababu, rais hawezi kumuondoa makonda kwa izo sababu zako! Unaongea kama jiji halikuwahi kuwa na mkuu wa mkoa makonda ndo 1st? Ukweli ni kwamba hakuna mkuu kama huyu aliyewahi kutokea kwenye hili jiji

Ziara zake za wilaya mfano temeke wananchi wanatoa malalamiko yao mpaka mjumbe wa serikali za mitaa anaitwa na kutoa maelezo na amri inatoka apoapo na kama mambo yakienda tofauti taarifa pelekeni sehem flan wapi ataacha kufika na nani kafanya hivyo?

Chongeni ngenga vya kutosha ili atolewe alafu mje humu kumsifia alivyokuwa mchapa kazi.au iyo nafasi tuiache wazi pasiwe na mkuu wa mkoa hakunaga mzuri kwetu
 
Mambo yanayofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam asiwe Kiongozi mzuri kama ambavyo anatakiwa kuwa

1. Kupeleka kila kitu moja moja kwa Rais bila hata yeye kukifanyia kazi mpaka mwisho wake, eg kuomba kibali cha kufukuza wafanyakazi. Badala ya kuomba kibali kuwafukuza kwa nini usiombe kibali cha skill development alika trainer toka UDSM waje kukusaidia.

2. Kusema wafanyakazi hadharani kuwa watendaji wabovu bila kutoa udhibitisho wa utendaji mbovu. Kiongozi mzuri hata ukimpa watu wabaya watakuwa wazuri kwa kutumia njia mbali, kama training ,couching, empowering. RC train and emapower your people give them direction and leadership utapata matokeo.

3. Kiongozi Mzuri hufuata sheria na procedures sio shortcuts, Imagine unafukuza wafanyakazi wote kwa pamoja, hajui kuna class action ambayo hawezi kushinada na itakuwa na madhara kwa serikali ya mkoa na kutaifa.

4. Kwenye Mkutano sioni kama ana notebook kurekodi kinachosemwa ila baadaye arejee akiwa ofisini kwake na pia wakati wa kurudisha majibu yawe ni yale yale yaliyoulizwa.

5. Anapongea hana notisi kwa hiyo sio rahisi kupata plan of thoughts , matokeo mambo mengi hujitokeza na sio rahisi kuyafanyia kazi/

6. Duniani hakuna wafanyakazi wabovu hungozi ndio mbovu, wafanyakazi ni kama computer GIGO
Naafikiana nawe
 
Its very difficult kwa watu wa Makonda kuja kujibu hizi hoja

Kitakachofuata ni mleta mada na wengine wataambiwa wako too personal au wataambiwa kuwa hawampendi au wataambiwa wana wivu na makonda

Men lie, women lie numbers don't lie

If makonda really wants to survive this abadilishe team take nzima (wapambe na image consultants) na ikiwezekana amtafute huyu mleta mada na amfanye kuwa mshauri wake otherwise this will spiral out of control
Anachotakiwa akifanye huyo rc wa dsm nikuwaomba wanaomshauri wambadilishie ushauri wanaompa,pia kuna jambo linafanywa na Mawingu kumpa kiki bwana Mako.
 
Back
Top Bottom