The Rise and Fall of Marcio Maximo...Discuss.

me nahisi mpira si fani yetu, nadhani tujikite zaidi kwenye riadha maana imeshaonekana mpira hata hela ikiwa nyingi na facilities zikiwepo bado hamna kitu mfano Canada, japan, qatar,na nchi nyingine hamna mpira huko lakini angalia Brazil mambo mswano
Washauri wajikite zaidi kwenye fani ya lundenga labda huko tunaweza fanikiwa kiasi....kwikwikwikwi.
 
hivi jamani, ishu ni kwa vile analipwa na serikali au? kwa wafuatiliaji wa soka, Maximo kazidiwa kidogo sana na Santana aliyetimuliwa South, ni aina ya makocha ambao wanatengeneza 'make-shift' like teams, au kwa wale ALCHEMISTS, kwamba anatengeneza dawa, tester mgonjwa!!!...kwa mwendo huu hatufiki..nionavyo mimi huyu bwana apewe timu za vijana, labda ndio atatengeneza timu...otherwise, itakuendelea kuwa ni shauku tu na si mikakati...
bila shaka jamaa ni mwanasiasa
 
Jf wana Sport,

Napenda kuwalinganisha makocha hawa wawili kwa uwezo wao wa ufundishaji, ili tujue nani hasa kamzidi mwenzake.

Ingawa Phiri anafundisha Simba Sports "Wekundu wa Msimbazi" at club level na Maximo "The Taifa Stars" at National level lakini bado unaweza kulinganisha uwezo wao wa ufundishaji katika mambo yafuatayo:-

MAXIMO VS PHIRI

1) Team selection
2) Team perfomance based on ten last ten games
3) Tactics
4) Manager confidence to his players and virse versa
5) Team organisations / Future focus / Technical aspects
6) Resources and Management Support given to the team
7) Combinations / formations
8) Team Preparations and Winning strategies
9) Dressing room preparations (Team spirit)
10) Fun's Support.
 
..Kwa nini Simba isingewakilisha Tz kwenye challenge lazima wangerudi na kombe!!! Phiri yuko juu!!..utawasikia sasa hivi wale wa homa ya manjano!!!!!!!!!!!!!!
 
Ulinganisha uhai na kifo? Death and life are far apart!
Kaka leo unaongea kidokta dokta sana. Mimi naogopa kufananisha kifo na maisha, unajua kwanini? Kifo kiko nje nje zaidi ya uhai zaidi
 
..Kwa nini Simba isingewakilisha Tz kwenye challenge lazima wangerudi na kombe!!! Phiri yuko juu!!..utawasikia sasa hivi wale wa homa ya manjano!!!!!!!!!!!!!!

Kama kawaida yako unaendeleza nonsensical issues! nakuongezea kwenye list yangu ya watu wa Kuignore kwenye hii forum! I am sorry mate ila ndo ukweli
 
CECAFA imetuonyesha MAXIMO ni nani, WaTZ mnasemaje? Hii sio aibu ya nchi? Uzalendo na nidhamu anavyotoa kama vigezo vya kuwakataa wachezaji hawa mbona yeye vimemshinda? Ni jana tu amelimwa barua ya utovu wa nidhamu na CECAFA. Kocha gani huyu mhuni. Mie binafsi nimemuona kwenye TV baada ya mechi na RWANDA akimshambulia wazi wazi kwa matusi kocha wa Rwanda. Je, kocha wa Rwanda alikuwa anacheza au alikuwa Refa. Mpira umeisha matokeo yamipatikana kutokana na maelekezo yake au aina ya uchezaji alitaka. Sio hapo tu TZ ni timu iliyoonyesha nidhamu ya hali ya chini sana. Kufunga kumechangiwa na kuwa na wachezaji pungufu kutokana na wachezaji kutojua kuwa makosa au rafu zisizo na maana uwanjani zinaigharimi timu. Haya kila mechi TZ walikuwa wakimaliza mpira wakiwa pungufu. Jamani mnakubali kuwa refs walikuwa wanatuonea kama sio reflection ya quality ya COACH. PIMA NA TOA UAMUZI.
 
Maximo ni mpiga kelele anaendesha soka kiswahili-swahili kuliko waswahili wenyewe, nimeamini kweli wabrazil wengi ni matokeo ya biashara ya utumwa wa Afrika mashariki, yaani kitabia anafanana sana na ndolaga, Rage na Waendesha soka wengine hapa Dar es salaamaambiliki, ni kiziwi na mtu anayepigania sifa ambazo mwisho wa siku tumekua mabingwa wa kushinda mechi nyingi za krafiki kuliko za kimashindano.
Maximo hawezi kuleta jipya aliyoleta katika soka letu yanatosha kwa uwezo wake kiufundi ,kimawazo na kiakil.
 
Maximo ni mpiga kelele anaendesha soka kiswahili-swahili kuliko waswahili wenyewe, nimeamini kweli wabrazil wengi ni matokeo ya biashara ya utumwa wa Afrika mashariki, yaani kitabia anafanana sana na ndolaga, Rage na Waendesha soka wengine hapa Dar es salaam aambiliki, ni kiziwi na mtu anayepigania sifa ambazo mwisho wa siku tumekua mabingwa wa kushinda mechi nyingi za krafiki kuliko za kimashindano.
Maximo hawezi kuleta jipya aliyoleta katika soka letu yanatosha kwa uwezo wake kiufundi ,kimawazo na kiakil.
Anatabia zote za aliye mleta
 
CECAFA imetuonyesha MAXIMO ni nani, WaTZ mnasemaje? Hii sio aibu ya nchi? Uzalendo na nidhamu anavyotoa kama vigezo vya kuwakataa wachezaji hawa mbona yeye vimemshinda? Ni jana tu amelimwa barua ya utovu wa nidhamu na CECAFA. Kocha gani huyu mhuni. Mie binafsi nimemuona kwenye TV baada ya mechi na RWANDA akimshambulia wazi wazi kwa matusi kocha wa Rwanda. Je, kocha wa Rwanda alikuwa anacheza au alikuwa Refa. Mpira umeisha matokeo yamipatikana kutokana na maelekezo yake au aina ya uchezaji alitaka. Sio hapo tu TZ ni timu iliyoonyesha nidhamu ya hali ya chini sana. Kufunga kumechangiwa na kuwa na wachezaji pungufu kutokana na wachezaji kutojua kuwa makosa au rafu zisizo na maana uwanjani zinaigharimi timu. Haya kila mechi TZ walikuwa wakimaliza mpira wakiwa pungufu. Jamani mnakubali kuwa refs walikuwa wanatuonea kama sio reflection ya quality ya COACH. PIMA NA TOA UAMUZI.
Kwanza ni kichekesho kusema eti mtu kama Chuji hana uzalendo!!!!! tuacheni masihara jamani, hivi hapa TZ kuna mchezaji anayejituma uwanjani kwa kumuacha chuji mbali? ni uzalendo gani anaozunguzmia kwamba Chuji na Boban hawana uzalendo? Hivi ni utovu wa nidhamu gani uliovuka mipaka kiasi hicho alionao Chuji, Boban na kaseja kiasi kwamba wasiwe na thamani yoyote ile? inauma sana, na leo naomba bara watunguliwe hata 10, maana ni upuuzi huu! ndio, upuuzi? kwanini anataka kuwafanya wachezaji wawe wanacheza kwa tension? sio siri, siku hizi wachezaji wetu wanapenda sana kuchezea stars, lakini kwa upuuzi huu watashindwa kujiamini uwanjani kwavile wanajua wakifanya kosa tu, watatemwa kikosini. hivi ni wendawazimu kiasi gani kwa timu yetu isione umuhimu wa chuji na boban? Anyawa, mi sio mfuatiliaji sana wa soka la ulaya nikilinganisha na la hapa nyumbani. Hivi yule jamaa anayeitwa sijui Ruuni (Roney) sijui nani sijui, mbona limekaa kisharishari tu?hachezeagi england yule jamaa? Hivi Chuji au kaseja au boba amefikia kiwango cha Paul Ince? hivi yule jamaa alikuwa hachezei england yule? Hivi utovu wa nidhamu anaozungumzia maximo ni wa nje ya uwanja au ndani ya uwanja? naogopa usije ukawa ni utovu wa nidhamu wa kutaka kula anavyokula bosi manake nasikia hata Rijicard(spell it correctly, nishasema sijui lolote kuhusu soka ya ulaya, ila aka kajamaa kalikua kanufundisha barcelona, au manchester? lol) alim-mind yule jamaa wa kucheka cheka (sijui anaitwa Ronadinhyo) baada ya kumparamia binti yake , lol! ni utovu gani anaozungumzia maximo? Zanzibar, bamiza hao jamaa 10-0 ili tuhashimiane!! Hivi baada ya miaka 3 hii atajivuna nini? au kuipeleka CHAN? kama Sudan wasingefanya mchezo wa kuweka vijana wa shuleni unafikiri hata huko CHAN tungeenda? kama mara mbili mfululizo anashindwa hata kuleta Challenge, ataweza kombe gani huyu bwa mdogo? hivi ktk afrika hii kuna eneo lolote ambako soka ipo chini zaidi ya ukanda wa wana-CECAFA?Sasa kama kashindwa hata kuwa tishio kwa wachovu wenzetu, tutakuwa tishio kwa nani? Hivi, ni kweli kocha hawezi kuingiliwa maamuzi yake hata kama anaharibu? Hivi ni kweli soka limekua kutokana na ujio wa maximo au participation ya mkulu wa kaya na wafadhili kumeongeza morali? hivi miela yote inayomwagwa imesaidia nini? Pamoja na kwamba Patrick Phill simpendi kv anapenda sifa (jitu gani kila akiichukua simba inafanya vizuri, ebo!) naaamini Phill(sikupendi lakini) ni bora kuliko maximo! Hivi kweli huyu jamaa (maximo) alikuwa kwenye technical bench ya timu ya vijana huko kwao au ilikuwa ni timu ya vijana wa kike? Hapa alipo anatamani kishenzi kumuita Ivo, lakini anaogopa atalaaniwa kila mahali.Dah, nina mihasira na si ajabu nishatoka nje ya mada lakini NO EDITING especially znz piga hao wabara waje kula miharage huku!
 
znz piga hao wabara waje kula miharage huku!
punguza hasira...na mchukie maximo siyo Taifa/Kilimanjaro star ila siyo siri weekend itakuwa imeenda vizuri kama Tanzania visiwani watashinda gemu la kesho..maana alisha waambia soka hawaliwezi leo hii wote wanatafuta mshindi watatu pamoja na kwamba yeye anapewa kila kitu..
 
kocha mzuri hasemi sana lakini Maximo bora angelichukuwa timu katika UMISETA leo tungelikuwa na la kusema, miaka minne sio masihara kwa kocha anaelipwa mihela ya wadanganyika wanaolipa kodi halafu hata kombe la mchangani anashindwa,
Kweli wachezaji wanayonafasi ya kulaumiwa lakini nani aliyewateua? jee wale ndio best Tanzania? hivi tuna mfumo gani wa gemu tunaocheza? hebu kama yupo mcezaji humu kwenye JAMII FORUM ambae amewahi kuchaguliwa kwenye dream team aje atupe huyu jamaa anafundisha nini kule?

Mwisho kwa mpira wetu wa Afrika sio siri kwa makocha wa Brazil kuweza kufundisha hapa tupate kutoka UK, Germany au France ndio mfumo unalingana
 
Mungu ibariki Zanzibar wapate uanachama FIFA tuone bara watatokea wapi. Huyu kipa aliyemchukua timu za mchangani Msumbuji alikuwa kituko kweli kweli. mara mbili au tatu anarudia makosa ya kukinga mikono na mpira unamgonga na kuingia ndani. Pamoja na ubovu wa timu kipa alikuwa mbovu kuliko makipa wote waliowahi kuchezea timu ya Taifa ya MAXIMO. Simpendi KASEJA lakini hapo asingeruhusu upuuzi hule. Masikini PESA yetu!!!!!
 
asiye na nidhamu ni yule aliyechukua demu wa mwenzake ambaye ni mtangazaji wa chanel 1 sifuri, na huyu(mwanahabari ) kama walivyo wengine wengi naye hana nidhamu kwa maana ameeliingiza taifa katika mzozo unaotokana na viuno vyao
 
Back
Top Bottom