The Rise and Fall of Marcio Maximo...Discuss.

KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Marcio Maximo amesema atatumia ujio wa Kombe la Dunia kuwajenga kisaikolojia wachezaji wa timu yake watambue kuwa na wao wanastahili kutwaa kombe hilo.

Alikuwa anasubiri nini siku zote?
Exaud,

Naomba ubadilishe title ya thread yako iwe kama hivi hapa chini....:

THE RISE AND FALL AND RISE AGAIN OF MARCIO MAXIMO
 
BANTUGBRO,
Kwanini tittle ibadilishwe hivyo mkuu?
Unazo data za kutosha kwamba kuna Rise of Marcio Maximo?
 
Hivi soka ni deoxynucleic acid (dna) au ni kocha huko brazili wanafanyaje??
Watoto wetu wenyewe tunawaambia waache michezo wasome soka litatokea wapi tanzania??? Tunasoma ili tujikwamue kiuchumi wenzetu wanasakata kabumbu ili kujinyakua kiuchumi. Nafikiri tutafute tima muafaka wa hili swala. Maximo alikuwa mjasiria mali kashachuma .naona kocha wa pwani ya ndovu anataka kuleta miujiza baada ya maximo kuondoka
 
Hoja yako ni kali mkuu.
Naamini wadau watakujibu changamoto hii.
 
Kwani?

...takwimu za ubora na kiwango cha soka letu ni vipi?
Tuanzie na FIFA ranking kunaznia miaka kumi iliyopita. Tumepanda kisoka au tumeshuka?

...tukimaliza hapo, tuangalie viwango vya Vilabu vyetu.
Wale tunaowaita top four, wakiwemo Young Africans na Simba Sports Club. Maximo na ujuzi wake wote hawezi kuchagua wachezaji nje ya hao tulionao.

...ubora na kiwango cha wachezaji wetu vinaanzia kwenye vilabu vyao. Maximo yeye huchukua hapa na pale tu kuunda team ya taifa. Labda kwanza lawama tuzielekeze kwa FAT, na vilabu kutokuwa na U-13, U-15, -U-18 na hata U-21 Academies.

Takwimu za FIFA hizi hapa tangu "MAXIMO" Achukue timu;

http://www.fifa.com/associations/association=tan/ranking/gender=m/index.html
 
Mkuu MBU,
Nitazipitia hizi data zako nione kama zinatuelkeza kwenye kunyakua kombe la dunia hivi karibuni.
 
...Bw Makyao,

...nadhani realistic challenge kwa siku za karibuni ni fainali za mataifa ya AfriKa. BTW, hivi unajua ni nchi saba (7)tu! zilizowahi kutwaa hilo kombe la dunia kati ya nchi 196 hapa duniani?

Brazil - *5, Italy - *4, Germany - *3, Argentina - *2, Uruguay - *2, France - *1, na England * -1966.
...tuendelee kujifunza kwa Maximo imewezekana vipi Brazil waweze kuchukua World Cup mara tano, ilhali wengine waishie washangiliaji tu.
 
Ujinga wetu tuna dought uwezo wa Maximo vis a vis timu ya Taifa bila kujiuliza vilabu vyetu ambako Maximo ana fetch talents vimefanya nini. Usimba na Uyanga ndio ambavyo vinaua soka letu Tanzania, face it!...
 
Dah $15,000 American money kwa kila siku 30 on its making....na tusubiri tuangalie...kwani tumeshatazama $15000/month ngapi zikiteketea before? Afadhali ya hizi kidogo tunapata burudani ingawa sio ya kiwango cha TBS ya dunia lakini naliwe, kuliko zile zinazotumika kwa mambo mengine binafsi ya mapapa wala watu wa nchi hii.
 
Hebu lipeni mtanzania milioni kumi na tano muone kama atafanya madudu... ataleta hadi mkewe na wazazi wake kuandaa program ya timu ya taifa, ataajiri wasaidizi hata kwa hela ya mfukoni na kulipa wachezaji motisha kutoka mfukoni...

we can do better na local, provided anapewa same status na respect kama wageni!!! Rwanda has proven it
 
Hii kali.
 
Back
Top Bottom