The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Hongera Turkey kwa kutumia vizuri kura ya turufu issue nzima ya majeshi ya NATO
 
nimesoma post zenu hapo juu nimeona nyote mnawafurahia wamagharibi, dah siamini ninayoyasoma ya karne hii ya mwisho. lnamaana mnafurahia vita? inamaana unaona hao mnaowafuraia ndiyo wakombozi wa bala lenu? wameacha mabara yao wanakuja kuuwa ndege kwenye mashamba yao kweli siamini ninachokiona karne hii. lnamaana tunapitisha mapinduzi ya kiasi kwa serikali zetu za africa kwausaidizi wa wakoloni wanaorudi tena? msifuraie maana kama kunachochote kwenye ardhi yenu watawafata na kufanya kitu kunachoitwa dividen rule nakisha watasupport upande mmoja ten kwisha kazi ukigoma unaitwa dictetor then vita then unaanza kujenga nchi upya na mikopo mingi kisha unawalipa rasilimali zako.
ninachotaka kuwaulizeni sasa nivita kati ya waasi na serekali au us, france na uk wanaipiga libya. je hii ndiyo kuzuia watu wasiuliwe na kwenda kumuua Ghadafi kwa kulipua makazi yake. na je nini maana ya kupitisha azimio lao la no free zone, je nikuanza kuuwa na kulipua majengo, na wanajeshi wa aridhini? kweli nimechoka. NAWANAO WASHABIKIA HAO WA MAGHARIBI WOTE WATALAANIWA.
WAAFRICA WANAENDA KUFANYA KAZI LIBYA SEHEMU TULIVU KISHA WAASI HAO WANAOSAIDIWA NA HAO MASHETANI wakiwaona watu weusi wanataka kuwauwa maana eti wanamsaidia Ghadafi. SASA SWALI LANGU YUPI MTU MBAGUZI NA MBAYA KATI YA HAO WAASI NA GHADAFI ANAEKARIBISHA KILA MTU AKAFANYE KAZI HUKO? FIKIRIENI MARAMBILI KAMA NCHI YAKO HAINA PAKUTOKEA USIIUMIZE YA WENZIO. IRAN, ERITREA, UGANDA SUDAN NA LIBYA KUTOKANA NA NEEMA WATAWAFATA TU NA KWENGINE WAMESHAANZA KUINGIA.
NAWAOMBA JALI NCHI YAKO NAMSIWAHUSUDU SANA HAO MNAO WAFURAHIA, MAANA NOTHING SPECIAL FOR THEM ZAIDI YAKUPIGANA KAMA ZAMANI ILI KUWA NA MAKOLONI MENGI IWEZEKANAVYO. JAMANI TUNARUDI ENZI ZA UKOLONI ONA NCHI ZINAVYOCHUKULIWA KWA NGUVU. NITARUDI BADAE
 
Yule bwana alokua akijifanya chizi kwa kuua watu wake kila kukicha, amepata akili baada ya kuchezea kichapo kutoka France, US na UK. BBC wameonyesha live viongozi wa jeshi wakitoa amri kwa vikosi vyote kusitisha mashambulizi ya aina zote kwa hao waliokua wanawaita 'rebels' wametoa amri kwamba badala ya kushambulia watu wahakikishe watu wote wako salama, hakuna ruhusa kushambulia mtu yeyote...Hongera Obama and the co, kumbe huyu bwana akili anayo ule uchizi ulikua wa kujifanyisha

Unajua wewe mwehu nini!! uanshangilia ujinga wa mijitu isokuwa na urafiki wa kweli isipokuwa unawafaidisha!!
kama wanauchungu wa watu kufa/kuuliwa,why Ghadaf na si Alshabaab Laurent Ghagbo,Darfu?
 
Haaaaa haaaa.....! Imeshakuwa ni vita ya kidini? Waislamu akili zao huwa ziko twisted kwani wakishindwa hoja huwa wanakimbilia kwenye udini! Nani asiyejua kuwa Gaddafi alikuwa anashusha makombora dhidi ya raia zake? Twisted minds wanadai eti ni mambo ya "western media!"
you have spoken my mind ndugu!!!Waambie QATAR nao wanapeleka madege kumuadabisha Gadaff.Haiwezekani jeshi liuwe raia afu dunia ikae kimya.Kuna watu walidai Gadaff anaweza kupigana na nchi yeyote sasa hapo kazi anayo.
Nataka Gadaff aendeleze mapigano kama yeye ni kidume.
Alikuwa anapigana na wamachinga wasiojua hata mbinu za kijeshi akajiona mbabe sasa wanaume wenzie wametia timu anajidai kucease fire.
 
Unajua wewe mwehu nini!! uanshangilia ujinga wa mijitu isokuwa na urafiki wa kweli isipokuwa unawafaidisha!!
kama wanauchungu wa watu kufa/kuuliwa,why Ghadaf na si Alshabaab Laurent Ghagbo,Darfu?
nI JUMUIYA YA KIARABU NDIYO ILIYOPELEKA RASIMU YA NO FLY ZONE UN,sasa wafaransa na washirika wake wanasaidia kutekeleza azimio lililopitishwa.
 
Kama ametulia ni strategy tu - hashindwi kiurahisi Gadafi.
endelea kuamini hivyohivyo.
America haina lengo la kumn'goa Gadaff bali inamlazimisha aache kuwauwa raia so soon ahueni itapatikana na maisha Libya kama kawa under Gadaff akiwa na nidham kama kiongozi wa umma na anayeweza kuwajibishwa in case.
 
Hongera Turkey kwa kutumia vizuri kura ya turufu issue nzima ya majeshi ya NATO
Turkey ni nchi safi yenye democrasia inayoeleweka.
Turkey imewaambia viongozi wa uarabuni waache habari za ufalme wakagoma.
Turkey ni nchi ya kupongezwa
 
mkuu... siungi mkono taifa huru kuvamiwa

wangeanza na israel kama wako fair
hata kama rais anageuka chizi jaman aachiwe kuuwa?nani kiongozi wa israel anayewachinja waisrael kama afanyavyo Gadaff kwa raia wake?
 
kwa kweli tokea mwanzo gaddafi hakuuwa raia wake na tokea hotuba ya mwanzo anasisitiza hilo. haiingii akilini mtu aliesimamia mabadiliko ya wananchi wake kwa miaka nenda leo awauwe.

waliokuwa na nia ya kuipindua serikali yake kwa kutumiwa na hao madhwalimu ndio aliokuwa napambana nao. tujiulize mbona sehemu yote ya libya imetulia isipokuwa sehemu isiofija hata 10% ya land ndio kuwe kuna machafuko halafu museme Gaddafi anauwa watu wake?

tunajua nn makusudio ya vita hivi, na tunajua jinsi gani propaganda za hao madhwalimu zinazofanya kazi kuhalalisha dhuluma yao
 
UPRISING ilizizima karibu libya yote isipokuwa hapo Tripoli jamaa akazima kwa vitisho vya jeshi .Wale waliogoma kusikia vitisho ndiko alikoendesha mapigano so walibya hawamtaki Gadaff.
ubaya ni pale jeshi linapotumika kuuwa maraia.Afadhali ingekuwa vita ya kikabila isiyojumuisha jeshi.
pili umoja wa waarabu ndio uliopeleka rasimu ya no-fly zone kupitishwa na UN, sasa hapo unataka nini tena kama sio mabavu kwa rais asiyewaheshim raia?
 
kwanza kusema kuwa jeshi liliuwa raia waliokuwa wakiandamana sio kweli huo ni uongo na fitna za kijinga zinazoenezwa na hao madhalim, mapambano yameanza Bengaz na huko walioanzisha ni hao waasi kwa kusaidiwa na madhalimu. kama kuua Misri iliua, Tunisia na nchi nyengine mbona hakuna hatua kama hizo zilizochukuliwa?

kuhusu jumuia ya waarabu na waaarabu kwa ujumla inajulikana ugomvi uliopo kati ya waarabu na gaddaf, jamaa akienda kule huwaambia ukweli na hilo ndilo linalowauma, kwa hio wamepata nafasi ya kumshikisha adabu ndio anaitumia, na nnaamini gaddafi akitoka salama atawapa kweli yao na huenda akajitoa kabisa
 
ufaransa ilikata kumpokea ben alli wa tunisia,America ilimwambia Hosni lazma uondoke na hawa wawili hawakuuwa kwa namna hii tunayoshuhudia Libya.Gadaff haondolewi madarakani ila anafunzwa nidhamu kuwa hawezi achwa awafanye raia vitoweo.Kama ni mafuta mbona makampuni ya magharibi ndiyo wachimbaji wakubwa wa hayo mafuta?
 
Aende zake tu bado Mugabe wote hawa hawatufai kabisaaaaa kama Ghadafi alileta wanajeshi waje kuja kupigana alongside na wanajeshi wa NDULI IDD Amin dhidi ya Tanzania wewe leo unamwona mtu mzuri huyooo!!!

Mbona Somalia hawaendi kusaidia raia wasio na hatia miaka na miaka wanauawa?
 
hata kama rais anageuka chizi jaman aachiwe kuuwa?nani kiongozi wa israel anayewachinja waisrael kama afanyavyo Gadaff kwa raia wake?

wale wapalestina wanaouwawa ni kuku? raia wa kituruki na wafanyakazi wa melini waliuwawa na waisrael walikuwa njiwa?
ama kwako kufa ni mpaka awe muisrael?
 
endelea kuamini hivyohivyo.
America haina lengo la kumn'goa Gadaff bali inamlazimisha aache kuwauwa raia so soon ahueni itapatikana na maisha Libya kama kawa under Gadaff akiwa na nidham kama kiongozi wa umma na anayeweza kuwajibishwa in case.

kama unakubali kuwa Gadhaf ataendelea kuiongoza libya baada ya kichapo,hao waasi weney kumiliki ndege za kivita nao watakuwa wanaongoza eneo gani?
 
Either Gadafi is right or wrong lakini Mataifa ya AMrekani na France hayana sababu za msingi za kuivamia Libya.
Ivory cost mbona machafuko yanaendelea na Gabgo anauwa raia lakini hamna aliyeenda 'kuokoa'
America wapo kimaslahi zaidi. lengo ni mafuta tuu.
 
kama unakubali kuwa Gadhaf ataendelea kuiongoza libya baada ya kichapo,hao waasi weney kumiliki ndege za kivita nao watakuwa wanaongoza eneo gani?
hawana ndege hao unaowaita waasi.Watalazimishwa waweke bastola chini mara mmoja ili amani irejee libya chini ya Gadaff atakayekuwa na nidham ya hali ya juu.
 
Either Gadafi is right or wrong lakini Mataifa ya AMrekani na France hayana sababu za msingi za kuivamia Libya.
Ivory cost mbona machafuko yanaendelea na Gabgo anauwa raia lakini hamna aliyeenda 'kuokoa'
America wapo kimaslahi zaidi. lengo ni mafuta tuu.
ikiwa ccm imejaa mafisadi basi tusimseme Chenge kwa kuwa hiyo ndiyo desturi yao?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom