The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

Mapenzi kati ya jack na audley naona bado yapo.

Cheaf of staff ambaye ndo mume wa audley anahofia kupokonywa tonge na jack ndo maana alimuru cia wamuue jack.
 
Ngumu kutabiri hasa ukizingatia Langley Key Staffs wamesambaratishwa huku na huko!!! Hata hivyo, am afraid Majid Javadi lazima awageuke CIA hasa ukizingatia Lockhart's ambition ya kui-control Iran... now with full power from IRGC, and probably, presidential office, Majid can do anything against CIA and US as a whole. Na since, Senator Lockhart ambae ni new CIA Director, was not happy with Carrie Mathison and Saul... Majid atakavyowageuka CIA ndipo Senator Lockhart atakapokuja kugundua umuhimu wa Carrie... by that time, with her kid... sipati picha itakuwaje... ni kama namuona mtoto wa Carrie akiwa kidnapped na Majid's men na kuwa kama bargaining chip... it's hard to tell but time will display everything out!

Kama ulikuwa kwenye akili yangu, ila kwa kuongezea inawezekana Saul na carrie wakawa wanaendesha operations zao behind the Langley permission.
 
Personally naisubili kwa hamu saana hii


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Habari wakuu,
Samaani naomba kuuliza ilikuwaje jack akanza kutafutwa na Russian na wamarekani wenzaka na ipo kweye season pi sababu mm nimeona ya mwisho jack anaachiwa atoroke na madam president naoba kujua season ya mwisho ilishia wap,sababu alibaba na hizi dvd zaka anatupoteza sana
 
Saaafi, nimepata cha kukeshea Ijumaa hii. Nitaanzia episode 1 kwenye saa 4 usiku hivi na kuendelea!
 
Back
Top Bottom