The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

Habari wakuu,
Samaani naomba kuuliza ilikuwaje jack akanza kutafutwa na Russian na wamarekani wenzaka na ipo kweye season pi sababu mm nimeona ya mwisho jack anaachiwa atoroke na madam president naoba kujua season ya mwisho ilishia wap,sababu alibaba na hizi dvd zaka anatupoteza sana

Daah hata mimi niliishia hapo kama wewe ....sijui kuna jingine ziliendelea...ila hii ya sasa nmechki mpaka ep3
 
Mkuu ni kickass.to huko kwingine ni hatare!
haaahaahaa hicho kipande ni kizurii sana alicho-act Tony amelda hope watu wengi walishangaa...kwa nn alibadirikaaa

yote ilikuwa ni njia ya kumpata mtu ambaye yupo behind the murder of Michelle (mke wa almelda)

kickass.com....@torrent
 
Last edited by a moderator:
Habari wakuu,
Samaani naomba kuuliza ilikuwaje jack akanza kutafutwa na Russian na wamarekani wenzaka na ipo kweye season pi sababu mm nimeona ya mwisho jack anaachiwa atoroke na madam president naoba kujua season ya mwisho ilishia wap,sababu alibaba na hizi dvd zaka anatupoteza sana

Kwa Alibaba ni season ya 11, kwa hizi zenyewe ni season ya 8. Anatafutwa na Warusi baada ya kuwaua wana diplomasia wao pamoja na kutaka kumuua Rais wao.
 
Yeah ni torrent site kwa ajili ya ku download movies,series,books, softwares, music and others bureee kabisa hulipii hata senti 5
 
Mkuu imetoka maana mimi nimefika 5 hiyo sita imetoka nimejaribu kicks sijapata lakini katika mitandao niliyosoma ipo

kaka hyo ya sita mpaka j4 ndo inatoka hyo ya kwako itakuwa ya alibaba kweli na mitandao gani umeangalia wanakuambia tayar ipo hewan???
 
6 Tayari, yani naumia kweli kuangalia moja moja, natamani nizishushe zote then siku moja nikae nizichek, but dah!! uttorent ikiniambia tu imemaliza kudownload, hata kama niko ofisini, taratiiiiiiiiiibu natupia phone zangu masikioni, nacheki mzigo, huku mapigo yakienda mbio jinsi dakika zinavyoyoma
 
Back
Top Bottom