Hilo nalo neno... manake kv mie nimeziangalia sana hizi, hadi nikalemazwa na subtitles to the point hata kama naangalia movie/series kwenye TV, nikipitwa na kitu nakimbilia remote na "ku-rewind" kabla ya kushituka kwamba it's TV!kazi zaidi ni kufatilia kwa kuyasoma yale maandishi, mda mwingine hata picha huoni unaangalia maandishi tu na yakikupita tu lazima urudishe nyuma sasa ndo mambo gn haya