+255
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 1,939
- 762
Hizo torrents hata mimi huwa zinanizingua jaribu hii link tumia IDM Multiupload.nl - upload your files to multiple file hosting sites!Daah mi kwangu sijui tatizo ni network au ni aina ya simu nnayotumia.
Episode ya kwanza nimetumia zaid ya masaa 12, tena sim haikuwa busy kabisa mana nilitumia line mpya na kifurushi cha kutosha.
Episode ya 2, sikumbuki ilitumia muda gan lakin ni masaa mengi sio hizo dk tatu
Na sasa ni Episode 3, toka saa tisa mpaka sasa bado, imedownload 20%.
Huwa naDownload kwa kutumia sim then ndo naweka kwenye PC / Watching
Ni mara yangu ya kwanza kutumia hii kickassTorrent