Naikumbuka hiyo Mkuu. Alitamani ardhi ichimbike apotelee huko. I wish Tanzania tungepata kichwa japo kimoja tu kama cha Bauer. Hakika viongozi wangenyooka.
Nilisikitika na maneno aliyoambiwa na Secretary Healler (Baba wa Audley) kama Bauer kila mwanamke atayekuwa nae anaishia kwenye mateso tu.
Jack Bauer ni balaa mkuu.
Nilisikitika na maneno aliyoambiwa na Secretary Healler (Baba wa Audley) kama Bauer kila mwanamke atayekuwa nae anaishia kwenye mateso tu.
Jack Bauer ni balaa mkuu.