The reason to why I didn't marry you!

Wallah na mie ntaleta story yangu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ring Leader Mleta Thread Umekwenda Wapi Tena
Tuendelee Ama Tus~iendelee
🤣😂♧
 
Kwahiyo kuanzia demu wa kwanza hadi wa NANE kwenye maisha yako, kila mmoja ulikusudia kuoa.... naweza kusema ulikuwa na akili za kitoto sana.
 
Kwahiyo kuanzia demu wa kwanza hadi wa NANE kwenye maisha yako, kila mmoja ulikusudia kuoa.... naweza kusema ulikuwa na akili za kitoto sana.
Kwanini akili za kitoto mkuu, hao wote ilikuwa kwa nyakati tofauti tofauti...so nilikuwa na right dream kabisaaa

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa anajibu nn mkuu ,tupe hata kidogo
Nilikuwa namuona ni mkali kama mtu ambae hapendi kuulizwa, japo nilikuwa napenda nimfahamu kiundani na nilikuwa niko real lakini niliamua nifanye yangu niachane na tabia ya kujipenyeza pasipopendeka.
 
Mkuuu...Kama dhambi zangu zikihesabiwa sawa hivi ...ikashuka kiama...kuingia peponi Ni rehema za Mungu tu..... Kwakweli Mungu tunaambiwa Ni msamehevu anisamehe TU kwani....asiponisamehe ntakuwa miongoni waliopata HASARA KUUBWA SANA..
Miongoni mwa sifa za Allah ni Msamehevu (Ghafur).
 
Fumba macho tuombe [emoji1488]
 
Nilikuwa namuona ni mkali kama mtu ambae hapendi kuulizwa, japo nilikuwa napenda nimfahamu kiundani na nilikuwa niko real lakini niliamua nifanye yangu niachane na tabia ya kujipenyeza pasipopendeka.
Labda alikuwa hajapendezwa na wewe kama mlishaonana
 
Dogo hana ajira, ameamua akumbushie ya kishule shule!

AKITUMWA DUKANI, ANA BANA BANA CHENJI ILI AWEKE BANDO AJE TENA......!

haya uwanja ni wako!

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…