The reason to why I didn't marry you!

The reason to why I didn't marry you!

Kabisa Mkuu lakini ME pia wanahusika baadhi. Utasikia mie nataka kukuoa lakini sitangazi ndoa hadi upate mimba. KE anajiachia mimba hiyo jamaa linasepa! Lakini hakuna DNA ya mimba inaweza kabisa isiwe ya huyo anayetaka kuoa.
Inaweza ikawa yake na akaiacha vilevile sasa sijui mnatakaga wadada pia nao wawatelekeze watoto wao sababu wakiamua kulea ni kusemwa tu
 
Ukweli ni kwamba, unaweza kuwa na ndoto nzuri, mipango mizuri kwa ajili ya kuijenga kesho yako, ila ukikutana na mtu asiye na mlengo sawa na wako, (na kwa kuwa huwezi kuota) basi jua umekwisha!

Kwa mnavyonipiga mawe utasema nyie wote ni watakatifu...hebu semeni ukweli hapa, St. Anne na mwenzako, Nani amekuwa na mpenzi mmoja tu (yaani aliyekubikiri ndiye huyo aliyekuoa/kumuoa) na kama unajua ume-date zaidi ya mwanaume/m/mke mmoja basi hauna tofauti na mimi sema tu wewe haujazalisha,singiziwa/zalishwa baaaas...lakini mengine mengi tunakuwa kwenye ukurasa mmoja tu

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Hakuna mahala niliposema mimi ni mtakatifu sana.
Kutokuwa watakatifu haimaanishi tusiuseme ukweli..
Huo ndio ukweli brother na ili upone inabidi urekebishe hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kumbe ni kweli watu mmeliwa humu, akikulenga unistue mkuu... nilidhani chai tu.

Basi nami nataka, ukinipea mimi sitaambia mtu.
Sio kila mtu ana hyp bahati mkuu,... kama uko jf miaka mitatu ujapata ata demu umu nkupA pole
 
Mkuuu....Kuna Mambo huwezi hata hadithia mtu....yanasikitisha Sana...Sijui kurogwa kupo.... Inawezekana NAMIMI.nilirogwa....kuna maamuzi unafanya baadae unajiuliza hivi kweli.mimi niwakufanya maamuzi kama Yale....

Inasikitisha Sana.....lakini sisi tunao Amini Allah...Tunasema Mitihani na Furaha zote hutoka.kwa Allah..... Na Tunasema Alhamdulilah....

Ila kwa mtihani nlopitia.. kwa maamuzi yangu yakipumbafu.... Najutia nalia nakusaga meno...

Nawaombea Vijana wafanye maamuzi ya busara....Maamuzi ya leo.Matokeo ya kesho.......
Pole sana, kwa kuwa unaamini katika allah, nakushauri kabla hujafanya maamuzi katika jambo zito uswali swalat istikhaara na/ au ufunge.
 
Ukweli ni kwamba, unaweza kuwa na ndoto nzuri, mipango mizuri kwa ajili ya kuijenga kesho yako, ila ukikutana na mtu asiye na mlengo sawa na wako, (na kwa kuwa huwezi kuota) basi jua umekwisha!

Kwa mnavyonipiga mawe utasema nyie wote ni watakatifu...hebu semeni ukweli hapa, St. Anne na mwenzako, Nani amekuwa na mpenzi mmoja tu (yaani aliyekubikiri ndiye huyo aliyekuoa/kumuoa) na kama unajua ume-date zaidi ya mwanaume/m/mke mmoja basi hauna tofauti na mimi sema tu wewe haujazalisha,singiziwa/zalishwa baaaas...lakini mengine mengi tunakuwa kwenye ukurasa mmoja tu

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
I feel you G'Man.....uko xawa na katika maisha haya ya zigzag Nadra xana Mtuu kudate na mpenz mmoja Maisha yako yootee..coz ni Bahati kukutana na Mtu sahihi.....

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Ulikua unampenda mary with all your heart yet ukaenda kumlipia mahari mwanamke ambae bado ulikua humjui vizuri na at the same time akili yako ndio iliamua though moyo ulikua kwa Mary, ungejipa muda kidogo wa kutafakari na kupata uhakika wa maamuzi unayotaka kuchukua

Kila mahusiano unayoingia unatia mimba au unabambikiwa mimba, ni kama you did not learn from the past ukachukua tahadhari badala yake ulikua inarudia kosa hili hilo, lets say wote wangekua na mimba zako, how could you describe your fatherhood to the kids au kwa kizazi chako? Being a farther is not about providing the needs its more than that

Kama utaendelea hivyo you will end up with unsettled life kwa sababu hata mwanamke utakaemuoa bado atakua na usumbufu wa kuwaza watoto wa nje, i mean hamtakua na utulivu wa kufocus kwenye famikia ila mtajikuta mnaanza kuwaza na watoto wa nje ambao they need equal rights na hao wa ndoani, hapo hujahesabia usumbufu wa mama zao
Angejipa muda kusingekuwa na story hii...acha amwage vitu.🤫
 
Pole sana, kwa kuwa unaamini katika allah, nakushauri kabla hujafanya maamuzi katika jambo zito uswali swalat istikhaara na/ au ufunge.
Nshawai Swali Istikhara Mkuu...Kuna Jambo Lilinitatiza sanaaa... Nikaswali...nanikapata majibu...

Nakuhusu kuswali na Swali swala tano...nakosaga Mara machache Sana...Napo Ni sheitwani TU...

Pia hua najitahidi kuswali Tahhajud... Japo Nina muda Sasa sijawali...

I try to live A God pleasing life... Sometimes I fail but I try my best..

I don't fast kwakweli... Nlimsikia sheikh anasema Funga ya haja...haijathibiti.. Haina dalili.katika dini
I'll sunna huwa nafunga japo SI Mara kwa mara
 
Back
Top Bottom