The reason to why I didn't marry you!

Kwahiyo kuanzia demu wa kwanza hadi wa NANE kwenye maisha yako, kila mmoja ulikusudia kuoa.... naweza kusema ulikuwa na akili za kitoto sana.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kabisa Mkuu lakini ME pia wanahusika baadhi. Utasikia mie nataka kukuoa lakini sitangazi ndoa hadi upate mimba. KE anajiachia mimba hiyo jamaa linasepa! Lakini hakuna DNA ya mimba inaweza kabisa isiwe ya huyo anayetaka kuoa.
Inaweza ikawa yake na akaiacha vilevile sasa sijui mnatakaga wadada pia nao wawatelekeze watoto wao sababu wakiamua kulea ni kusemwa tu
 
Hakuna mahala niliposema mimi ni mtakatifu sana.
Kutokuwa watakatifu haimaanishi tusiuseme ukweli..
Huo ndio ukweli brother na ili upone inabidi urekebishe hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kumbe ni kweli watu mmeliwa humu, akikulenga unistue mkuu... nilidhani chai tu.

Basi nami nataka, ukinipea mimi sitaambia mtu.[emoji39]
Sio kila mtu ana hyp bahati mkuu,... kama uko jf miaka mitatu ujapata ata demu umu nkupA pole
 
Pole sana, kwa kuwa unaamini katika allah, nakushauri kabla hujafanya maamuzi katika jambo zito uswali swalat istikhaara na/ au ufunge.
 
I feel you G'Man.....uko xawa na katika maisha haya ya zigzag Nadra xana Mtuu kudate na mpenz mmoja Maisha yako yootee..coz ni Bahati kukutana na Mtu sahihi.....

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Angejipa muda kusingekuwa na story hii...acha amwage vitu.🤫
 
Pole sana, kwa kuwa unaamini katika allah, nakushauri kabla hujafanya maamuzi katika jambo zito uswali swalat istikhaara na/ au ufunge.
Nshawai Swali Istikhara Mkuu...Kuna Jambo Lilinitatiza sanaaa... Nikaswali...nanikapata majibu...

Nakuhusu kuswali na Swali swala tano...nakosaga Mara machache Sana...Napo Ni sheitwani TU...

Pia hua najitahidi kuswali Tahhajud... Japo Nina muda Sasa sijawali...

I try to live A God pleasing life... Sometimes I fail but I try my best..

I don't fast kwakweli... Nlimsikia sheikh anasema Funga ya haja...haijathibiti.. Haina dalili.katika dini
I'll sunna huwa nafunga japo SI Mara kwa mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…