The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

Duuh! Sasa JF itafungiwa!

Suala la kufungiwa siyo suluhisho. Ni bora uweke sehemu ya kujua wananchi wako wanafikiria nini.

Unajua watu tumechoka kila siku MAFISADI, MAFISADI kila mahala. Na hao hao ndio viongozi tunaowategemea wawaondolee eti matatizo watanzania. Nafikiri hata ndani ya chama tawala wengi hawakubaliani na upuuzi huu.Kuna siku alipo tajwa, mzee John Marecela alishauliza bungeni kuwa wanataka kusema Chenge anayeheshimika anaweza kusainisha mikataba mibovu. Nafikiri Mzee John sasa atakuwa amepata majibu yake.

JK ambaye alipewa dhamana na watanzania kama ameshindwa kazi hakuna haja ya wananchi kugive up. Waziri Mkuu ameisha tamka kwamba Suala la UFISADI limeshindikana lakini hao hao kila kukicha wanapandisha gharama za maisha.

Sasa itafika wakati wananchi tujichukulie kasheria mkononi. Mtu kama Chenge nafikiri anawashinda viongozi wenzake lakini siyo watanzania au nguvu ya Umma. Watanzania wakiamua Chenge aondoke ataondoka tu.

Na kizuri chenge ni Mzito hawezi kuongea na wananchi wa kawaida hata siku moja nafikiri yeye itabidi atupishe tu aende kukaa na Lawyer wake huko USA maana makosa aliyo nayo ni mengi anaweza kuishia Segerea milele siku za usoni.

Kauli Mbiu ni kwamba: 'MAFISADI wataondoka Tanzania kwa nguvu ya Umma'
 
dawa yake ni kumtafuta na kumlamba bakora za kutosha tuu huyu kwani ana kiburi sana huyu pamoja na mramba wamezidi kwa kiburi sijui ni kwa sababu ya pesa za kifisadi .
 
Alikuwepo ila sasa hivi amestaafu toka jeshini. Anaitwa Kyaro - mtu wa Musoma aliyekuwa karibu kabisa kumtoa Mwinyi.

Duuuh! Ndugu zangu, tarrtib!
Aaah! unajua nini, poa tu! Na mimi roho inaniuma ile mbaya.
 
Huyu Chenge inaonekana ana mihela sana, huyo lawyer wa Cleveland OH naye analipwa kiasi gani?

Kuna mtu yoyote humu ameshaona lile bungalow lake kijijini kwao?

La nani...Chenge? Huyo ni jirani yangu pale Bariadi....
 
Hivi hapa Bongo kama Muungwana kashindwa hakuna MTU JESHINI anayeweza kurudisha nidhamu?

Jeshini sizani labda kama utakusanya sungusungu wanaweza kumdunga mmoja mmoja ,yaani hawa mafisadi ni watu wa kufa tu ,jamani wandugu na wazazi wetu ni masikini wa kutupwa kabisa ,maana siku niliona ile picha ya wazee wa Pinda Huyu waziri mkuu mpya basi nilijawa na machozi kabisa na kuona hii ni pure taswira ya wazazi wa Kitanzania na kuweka matumaini makubwa kwa huyu Mh.Pinda na kusema kama atawaona jinsi wazazi wake walivyotoka kijijini na kuja kumpongeza apo mjini DODOma na kwa bahati mbaya au nzuri mapaparazi wakawawahi kuwapiga picha kabla awajabadili manguo mazuli mazuli ,nikajisemea moyoni hapa huyu Waziri Mkuu Mh.Pinda ameonyweshwa kilio cha WaTanzania mbele ya macho yake ye Uwaziri Mkuu alioupata ataweza kuufanyia kazi kwa ajili ya WaTanzania wote au ndio atasahau kila kitu kuwa hali ile waliyokuwa wazazi wake ndio iliyopo kwa watu wengine hivyo atakapopigania hali ya kuwainua na kuwatunza wazazi wake kimaisha ndivyo hivyo hivyo wanavyohitaji watanzania wengine walioweka matumaini kwake kuwa sasa wamepata kiongozi ambae hataogopa mtu wa sura, Mheshimiwa Pinda wapindishe mafisadi na kuwaelekeza kwenye makao ya wezi huko Keko ,usiwaonee haya wala kuwapa muda wa kujitayarisha kujibu mapigo ambayo yatalenga kuwachafulia nia na lengo lenu mlilokusudia ,kwani kukaa na kuwabembeleza watu ambao wanahusika wazi wazi kwa wizi ni kuchelewesha maendeleo kwa nchi na Taifa na badala ya kujenga nchi sasa tumekaa na kujadili mafisadi ,hawa watu wakamatwe na kuwekwa ndani mara moja, kama wana maswali ya kujitetea watajitetea wakiwa huko rumande sio kuwekwa nje na kila siku wanazua hili na lile na kurudisha nyuma maendeleo ,wajitete wakiwa rumande na sio bungeni ,kama wamekamatwa kimakosa basi itaeleweka baadae na kuwa somo kwa wengine kuwa wawe wawazi katika masuala yanayohusu uchumi wa Taifa na mtu awepo tayari kujiuzulu ikiwa kuna nguvu inamlazimisha kufanya ufisadi ,vyombo vya habari vipo tele toa habari ya kujiuzulu kwa sababu hukubaliani na jambo fulani na jambo fulani weka barua mezani ondoka WaTanzania tutajua na kufahamu nani ni mbaya lakini leo hao waliojiuzulu kama walikuwemo au hawamo hatukusikia kusema wala kutoa matangazo hadharani na yaliowakuta ndio faida ya kuficha uchi au maradhi , NASEMA KWA KINYWA KIPANA KAMA HAYO YALIOWAKUTA YANASTAHILI YAWAPATE kwa kukaa kimya katika mambo yanayohusu TAifa na wananchi wake ,kama hawakuhusika na wizi BASI walitaka kutuibia hivyo wameshiriki kwa njia moja au nyengine ,wapelekwe rumande wataenda kusemea huko nani na nani alikuwemo. Lakini sio Bungeni hapo ni kuturudisha nyuma.
 
Nashidwa kuelewa kwa nini watanzania tumekuwa makondoo hivi. Ina maana hakuna njia yoyote ya kuwawajibisha mafisadi? imekuwa ni Hadithi tuu.. Unajua Watanzania tunajidanganya kuwa tuna amani ila sii amani ni ujinga. Hivi kweli mtu mmoja anakuwa na hela nyingi kama Chenge halafu eti zipo nje ya nchi. Sii bora hata angejenga viwanda ili ndugu zetu waweze kuajiriwa huko? Mtu mwenyewe hata akifa hawezi kuondoka na hela zote, kwa nini tusifunge account zote za nje za hawa waheshimiwa? hizo hela nyingi wanazopata hadi kuweka nje wamepata wapi?

Mimi kwa kweli sina imani na JK wala Pinda kama wataweza kukabiliana na hawa watu. Mtu pekee ambaye anaweza kukabiliana na hawa watu ni Dr. Slaa pekee. Kwani kama ameweza kusema watu ambao serekali imewaogopa basi tukimpa serekali atawafikisha wote rumande. Mimi naungana na Mwiba. Wote waliotajwa wawekwe rumande siku ikithibitika kuwa wapo safi waachiwe. Kwani hao ndugu zeru wanaokamatwa na askari wanawekwa rumande kwa miaka hata 5 bila kosa kwa nini wasiachiwe hawa Mafisadi waingie?
 
Jamani acheni kumuonea Huyu Chenge ana mikopo bank. Kuna article niliiona inaonyesha anadaiwa $63,000 na NBC bongo. Sasa kwa nini hamjiulizi kabla ya kumshutumu kuwa endapo ana deni la $63k bongo anaweza akawa na madeni bank nyingine? Pia ana biashara ya kusafirisha Prawns. Acheni kuwahukumu watu kabla hawajahukumiwa.

Kama mnataka article inayoonyesha kuwa anadaiwa $63k na NBC kama ushahidi semeni niilete hapa.
 
La nani...Chenge? Huyo ni jirani yangu pale Bariadi....

Mkuu kumbe huyu FiSADi ni jirani yako? Je mnaangaliana usoni? najua unatumia ukomavu wako. Mimi unajua huwa sihitaji kulea magonjwa angelikuwa jirani yangu nimeisha mpasha tu.

Unajua sasa hivi chenge naye atakuwa anasema eti anachafuliwa, hiki kinatumika kama kisingiziao. Wengine hapa hata huyo chenge tunamuona kwenye TV lakini makosa yake tunayajua tu. kwa hiyo wanasiasa wa Tz kueni wasafi tu hakuna anaye wachafua hila mumechafuka. Hivi na Uk wanachafua watu? kuna watu haelewani nao huko?

invisible inatakiwa maswala kama ya chenge yanayogusa Taifa moja kwa moja yasirusiwe kwenda mbali yakae juu mpaka aondoke.

Najua siku zake pale infrastructure zinaesabika, tumemchoka.
 
Hivi jamani naomba tena niulize swali inakuaje RAiS wetu kila rafiki yake anakasoro (amechafuka)?

Wale mashabiki wa chama changu (CCM) hili liko je?

Zamani babu yangu aliniambia mjukuu wangu ukionekana unatembea na majambazi nawe utaitwa jambazi hivi huyu Jk (mwenyekiti wetu) amekosa marafiki?
 
kakindomaster said:
Hivi jamani naomba tena niulize swali inakuaje RAiS wetu kila rafiki yake anakasoro (amechafuka)?Wale mashabiki wa chama changu (CCM) hili liko je?

Zamani babu yangu aliniambia mjukuu wangu ukionekana unatembea na majambazi nawe utaitwa jambazi hivi huyu Jk (mwenyekiti wetu) amekosa marafiki?

Kama rafiki zake JK wote, tena wale wa karibu kabisa, sio safi, tunategemea kweli yeye atakuwa safi? He seems not to care or being interested at all in serving the walalahoi. But very much at easy, himself and the madam, in wondering around the globe, at TZ govt cost.
 
Chenge ana Change tu! Muulizeni muungwana naye kama ana hela ufukweni mwa bahari-I mean offshore! Yaani ana jua sheria haimbani, Mwanasheria?
 
Kama rafiki zake JK wote, tena wale wa karibu kabisa, sio safi, tunategemea kweli yeye atakuwa safi? He seems not to care or being interested at all in serving the walalahoi. But very much at easy, himself and the madam, in wondering around the globe, at TZ govt cost.



Nawafahamu baadhi ya marafiki zake. Ukweli sio wote wachafu. Wachafu wanajipendekeza kuwa ndio marafiki. Ebo!
 
Please read this. These so called leaders smell ufisadi no matter what. Why can't these people go to hell for God sake? How long can somebody work in Tanzania to have this much money in their savings account?

BAE corruption investigation switches to Tanzania
· Focus on £28m radar deal with East African state
· SFO's new director due to take over this month

I can't believe this!!!! This is sick!! He just need to go to hell!
 
I Posted this yesterday in the thread Chenge Jiuzulu if am not mistaken.

Admin please merge
 
Jamani acheni kumuonea Huyu Chenge ana mikopo bank. Kuna article niliiona inaonyesha anadaiwa $63,000 na NBC bongo. Sasa kwa nini hamjiulizi kabla ya kumshutumu kuwa endapo ana deni la $63k bongo anaweza akawa na madeni bank nyingine? Pia ana biashara ya kusafirisha Prawns. Acheni kuwahukumu watu kabla hawajahukumiwa.

Kama mnataka article inayoonyesha kuwa anadaiwa $63k na NBC kama ushahidi semeni niilete hapa.

Mkuu,

Kwanza ningekuomba uwe unasoma thread mwanzo mpaka mwisho kisha unachangia. Ni ombi tu. Kasome pia The African ya jana, yenyewe badala ya kusema east african country minister limesema Chenge!. Wametafsiri hii article hapa chini:

BAE corruption investigation switches to Tanzania
* Focus on £28m radar deal with East African state
*SFO's new director due to take over this month


David Leigh and Rob Evans The Guardian, Saturday April 12 2008

Following the uproar over its halted Saudi investigation, the Serious Fraud Office is expected to decide whether to bring fresh corruption charges against arms manufacturer BAE within six weeks, over a second arms deal, this time with Tanzania.

A minister from the east African state has denied that more than $1m (£507,500) in his offshore accounts came from BAE.

Investigators involved in a three-year inquiry after the controversial deal to sell Tanzania a £28m radar system identified the money in Jersey accounts controlled by the poverty-striken country's infrastructure minister, Andrew Chenge.

Tanzania's anti-corruption bureau, which has been working with authorities in the UK, Switzerland and Jersey, wants to establish if the money is linked to multi-million pound secret commission payments made by BAE.

Chenge does not dispute the money in his Jersey accounts. But he told the Guardian: "The obvious inference [of the investigations] is that I have received for my benefit 'corrupt payments' from BAE. This is untrue."

He said he was only involved in minor aspects of the radar deal, which was promoted by other ministries and approved by the Tanzanian cabinet. His bank records, he said, would show investigators that "there is no connection to the BAE Tanzanian radar deal".

His US lawyer from Cleveland, Ohio, J Lewis Madorsky, added: "While the matters in question took place a number of years ago, we can state ... that any and all allegations of illegality, impropriety, misconduct and unethical behaviour made against our client are categorically and vigorously denied".

Investigators say Chenge could be a valuable witness. The target of their investigation is not him but BAE. The arms company made the commission payments to a local agent in Tanzania to promote the £28m radar sale, through an elaborate chain of offshore companies and a Swiss bank.

The agent has now left the country and is wanted by Interpol.

These developments come at a key moment in the BAE saga. A landmark high court ruling on Thursday said that the decision to drop the SFO's Saudi inquiry was wrong.

In a huge embarrassment for the British and Saudi governments, the court rejected the claims that the inquiry had to be closed down for reasons of national security and because lives would be at risk.

And it took the extraordinary step of naming Prince Bandar, the crown prince's son, as the man behind what it said could be characterised as an attempt to pervert the course of justice.

Former prime minister Tony Blair caused uproar by personally forcing a halt to investigations into the Saudi deal. The Guardian subsequently disclosed that £1bn had been paid into accounts controlled by Prince Bandar during the deal. Bandar says the payments were not improper.

Inspectors from the Organisation for Economic Co-operation and Development (OECD) grilled British officials in London last week about their failure to get results from any of their BAE investigations. Britain signed up to an international treaty to outlaw bribery, but there have never been any prosecutions.

The Tanzania deal, although smaller in cash terms than the Saudi deals, is equally controversial: Tanzania is one of the world's poorest countries, and the UK government is paying more than £100m this year to help the heavily-indebted country's budget.

It was Blair again who forced the radar deal through the British cabinet, despite protests from the then international development secretary, Clare Short. She said the sale, for which Tanzania had to borrow yet more from a commercial bank, was corrupt and "stank".

A lengthy SFO investigation in the UK subsequently discovered that 31% of the deal's contract price had been diverted via Switzerland.

BAE transferred the money to a subsidiary, Red Diamond Trading, registered anonymously in the British Virgin Islands.

Red Diamond then moved the cash to a Swiss account in the name of a Panama company, Envers Trading Corporation. This entity had two Panamanian nominee directors. But it was secretly controlled by a Tanzanian middleman, Shailesh Vithlani, according to Dar es Salaam court papers.

Investigators are now checking whether Vithlani arranged to pass any money in turn to Tanzanian politicians and officials.

Sources said the bank in Jersey had promptly frozen transactions and filed a suspicious activity report when the Tanzanian inquiries began.

Vithlani, who is of Indian extraction but holds a British passport, is listed as wanted by Interpol.

He has been charged by the Tanzanian anti-corruption bureau with lying to investigators, but has left the country. His whereabouts are unknown.

According to the charges, Vithlani falsely denied he was the owner of the Panama company, and falsely claimed he had only handled a separate commission of 1% on the deal.

The SFO's new director, Richard Alderman, former head of UK tax investigations, is due to take over this month. The SFO refused to comment yesterday.

BAE, which has previously denied wrongdoing, also declined to comment, or to explain its chain of offshore payments, other than to say "BAE Systems continues to fully co-operate with the SFO investigation".

The company has recently launched an extensive public relations campaign and last week unveiled a report commissioned from a commercial consultancy, Oxford Economics, which claimed BAE was of key value to the UK economy.

http://www.guardian.co.uk/world/2008...ystemsbusiness
 
A minister from the east African state has denied that more than $1m (£507,500) in his offshore accounts came from BAE.

Investigators involved in a three-year inquiry after the controversial deal to sell Tanzania a £28m radar system identified the money in Jersey accounts controlled by the poverty-striken country's infrastructure minister, Andrew Chenge.

http://www.guardian.co.uk/world/2008...ystemsbusiness[/B]

Sasa Slave, kama ukikopa Usd 63K unapata faida ya more than Usd 1Million, kwanini uwe mbunge au waziri?

Jamani hii ni nchi yetu, tusifikirie kwa #@%$&*(^%$#$, tufikirieni kwa kichwa na tutumie MOYO pia kuwaonea huruma wananchi walalahoi.
 
Hapana. Hana share, soma topic ya TRL utaeelewa. Mikataba mikataba kaka/dada
 
Back
Top Bottom