William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
ES
huna haja ya kuedit kitu wewe weka mkanda kama ulivyo
Issue ya Chenge kwenda London haina uhusiano wowote na SFO. Narudia, Chenge yuko London kwa mambo binafsi na SFO walishamalizana naye.
Mkuu Es ahsante kwa point nyingi ulizoweka lakini kuna walakini kidogo!!!
Issue ya Chenge kwenda London haina uhusiano wowote na SFO. Narudia, Chenge yuko London kwa mambo binafsi na SFO walishamalizana naye.
SFO hawajaribu kuisaidia TZ in any way or shape, the investigation is against BAE only. The link to TZ ends with Vithlani and it is true Vithlani had some wire transfers to mzee wa Visenti na ndio sababu ya SFO kumkomalia. Now to prove that the said money was BAE money is where Chenge atatupiga goli sababu SFO hawatakuwa na maelezo kuhusu hela za Chenge wao watawabana BAE na corruption.
Now ni aibu kwa sisi watanzania na viongozi wetu kusema eti tunasubiri uchunguzi wa SFO?? This is insane!! SFO hawachunguzi kwa kina ni viongozi gani wa TZ walipewa rushwa, wao wanachunguza kama BAE walimpa rushwa Vithlani na yeye akawapa viongozi wa TZ. Wakiprove hilo, then wanawabana BAE.
Now link ya Vithlani to TZ leaders hilo swala lilitakiwa libebwe na Usalama, DCI, Mwanasheria Mkuu wa Tanzania, DPP na kamati za bunge.
Hapa tunachezewa shere!!
Ni hayo tu wakuu.
According to the dataz, Chenge sasa yupo London akiwa chini ya ulinzi wa makachero wa UK, akiwasaidia kuhusiana na uchugnuzi wa Radar. Habari nyeti nilizozipaata jana ni kwamba Chenge aliondoka kwa siri hapa nyumbani bongo kuelekea London, majuzi usiku ambako alikuwa akitakiwa kisheria na wachunguzi wa huko ambao ndio walioibua kashfa ya zile "Vijisenti". Huko London, alipokewa na makachero hao mara tu alipofika kwenye uwanja wa ndege, ambao walimpokea na kutokomea naye kusikojulikana.
According to more dataz, ni kwamba Muungwana was approached na makachero hao wa UK, hata kabla ya kikao cha CCM Butiama, na kwamba hata alipokuwa anachagua baraza la mawaziri tayari alikuwa anazo habari za Chenge na "Vijisenti", lakini hakutaka pupa. Dataz hizo zinasema kuwa hata kabla ya kwenda India, muungwana alikuwa tayari ameshawapa makachero wa UK, kibali cha maandishi cha kumshika, na kum-search Chenge, as much as they wanted or see fit!
Kabla ya kwenda Butiama, Chenge was approached na makachero hao wa UK lakini akawajibu kijeuri sana kuwa yeye ni mtu mkubwa sana hawezi kutishwa na wakoloni, ndipo wazungu walipomuonyesha warrant maalum iliyoandikwa na kusainiwa na Muungwana, Chenge almost fainted, lakini akakubali na kuchukuliwa na makachero hao, walioi-search nyumba yake upside down kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa mbili suiku, na kupata ushahidi mwingi waliokuwa wakiutafuta na kuondoka nao, na muungwana alimpa order ya kuendelea kuwasaidia hadi watakapomaliza uchunguzi wao, na baada ya kujiuzulu Chenge aliambiwa ajitayarishe kwenda UK kushiriki kwenye kuwasaidia zaidi makachero hao wakizungu, ambako ndio alienda rasmi majuzi na yuko huko bado.
Halafu dataz zaidi pia zinasema kuwa mapesa mengi na mali za mafisadi zimeszuiwa na serikali kwa siri kubwa sana, the matter of fact hata nyumba za mafisadi wengi zilizoko SA ikiwemo ya Mkapa pia zimeshikwa na serikali tayari, ikiwa ni pamoja na mapesa yao yote yaliyopo hapa bongo.
Mafisadi wengi wamejaribu kumfuata Mkono ili awasadie, akiwemo Chenge pia, lakini according to the dataz hata Mkono amewaruka wote, baada ya kupewa a very strong warning na muungwana kuwa akae mbali nao, now mnyonge anyongwe, lakini haki apewe on this.
....More Dataz to Come Soon....
Mi pointi yako ya nguvu.
Na mtu insane wa kwanza hapa ni Waziri Simba aliyesema Chenge anachunguzwa kabla ya Tanzania kuanza uchunguzi wake. UK hawawezi kutuchunguzia Chenge! And they most likely don't give a rat's a##!
Ni Chenge ndio alianza kusema "Mimi nachunguzwa..." ili watu waridhike kuona yuko kwenye matatizo, kana kwamba watu hatuelewi mambo ya Jurisdiction za kimataifa.
Na ni Tanzania peke yake ndio polisi wanamkamata shahidi. Sio Uingereza bwana. Halafu, toka lini Rais akampa mgeni search warrant against Waziri wake? Tafadhali bwana!
Mkuu Tuandamane,
Heshima mbele, ndio hasa maana ya dataz huwa ni kwa ajili ya werevu tu ku-figure out ukweli!
Kama hali ndivo basi mie naanza kuisi kwamba muda si mrefu tutasikia kwamba bwana Andrea Chenge aka Vijisenti aliondoka hapa Dar hivi karibuni kuelekea katika medical checkup huko kwa bibi lakini akagundulika ana tatizo fulani hivo amelazwa katika hospitali ambayo serikali haijaifahamu bado.Another Balaaa la Mali!
Kwanini usimpigie Kikwete simu umuulize hilo swali?
Ama kwasababu Chenge yuko huko Uingereza and so unataka nini?
Chenge alianza kusema kwamba anachunguzwa? Mmmmmhhhhh!!!! toa dataz mkuu. Toka lini fisadi akawa na ujasiri wa kusema anachunguzwa?
Too much speculations.Labda ngoja tusubiri hizo data.Otherwise kichwa cha habari hakiendani na yaliyoandikwa hapa.Naona JF inataka kuwa kama Gazeti la Alasiri
Mtanzania,
Lilipoibuka hili skandali Chenge hakukataa kuliongelea kwa sababu anachunguzwa, akiongea na BBC akiwa China? Na alipofika Airport hakurudia mimi nachunguzwa na nitashirikiana na vyombo husika? Halafu Waziri Simba naye alivyo kuwa mchovu aka pick up from there akasema tusubiri uchunguzi. Halafu baadae Serikali ikasema imeanzisha uchunguzi wake? Unakumbuka hii sequence? Wakwanza kusema nachunguzwa ni yeye fisadi mwenyewe akiongea na Charles Hillary wa BBC.
Link ya BBC iliwekwa hapa JF na sasa hivi naisaka kwa udi na uvumba. Nikiikosa nitakupa print quotes, ambazo zilijaa magazetini.