bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,880
Haya basi mnavojipenda wenyewe!hahahah sio kujipendelea hapo ila unasema kile ambacho ni kweli kabisa
Haya basi mnavojipenda wenyewe!hahahah sio kujipendelea hapo ila unasema kile ambacho ni kweli kabisa
Kwa niaba ya AshaDii nataka kujua vyote lolok Asha D nimerudi..
wataka kujua kitu gani..??
niki maanisha physical appearance , personality au ??
Miss PerfectionistHaya basi mnavojipenda wenyewe!
Haya basi mnavojipenda wenyewe!
Kwa niaba ya AshaDii nataka kujua vyote lol
Hebu taja yako bana!! (ila Mikela nami kanishangaza!!)
Kitu gani wapenda kuhusu wewe??
If I could have a chance to have that time and space I could build a castle in air to commemorate your dignity
Let me think which to write down herewe siiunajua kila kitu ...
mmhh
The compassion and passion in me lol!
Ucheshi wangu.
we unajuaje km hcho kipilipili ni chake kweli? Km vip tukutane ili uhakikishe.tuonyeshe angel black kaonyesha kipilipili chake tumekikubali,usituuzie mbuzi kwa gunia loh
Jina la dada yangu hilo! Sijui ndiyo wewe...lol