The ONE thing you Love Most!

The ONE thing you Love Most!

AshaDii internal structure usiijudge please hata kama ni mbaya ila aise naipenda hivyo hivyo

yeah najitambua na ndo maana naisemea bana
Umeeleweka vyema na wala hujachakachua kabisa


Nimeahirisha kua lenient... itabidi ujibu vizuri.... Ngoja nimuite PA.... lol.... Maana ndio kiboko yako!!
 
Perseverance
sijui kama ndo zaidi na external structure yangu aise naipenda sana
Mhhh don judge me please

AshaDii usiijudge please hata kama ni mbaya ila aise naipenda hivyo hivyo

yeah najitambua na ndo maana naisemea bana
Umeeleweka vyema na wala hujachakachua kabisa

Yule kimeo ataharibu mambo hapa bana wala usimuite kabisa
Mr. Steady persistence in a course of action, ngoja nikamuulize shemeji yangu najua yeye atasema ukweli tu
 
Mr. Steady persistence in a course of action, ngoja nikamuulize shemeji yangu najua yeye atasema ukweli tu

mbona unachakachua sasa mkuu
mimi huko sijafika na wala sitegemei kufika ila mbona kama unaweka maneno mdomoni mwangu
 
Yaani kutokuona kwangu siku nyingi imenibidi nikupe LIKE hali sijaelewa ulicho andika.......lol... Hebu taja basi!
Mwayego ni baada ya kuelewa mapana ya mjadala ndo ikabidi tu niitikie hivo.

Kwamba unaweza kuwa unajipenda maumbile yako, tabia yako n.k
 


SWALI: What is the One thing you Love Most about your self???
Please Share wana JF tujue walau the One thing umeridhika nalo
Katika the whole of you…..



P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)

Saying the truth always.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom