The ONE thing you Love Most!

napenda sana nywele zangu za kichwani

Hio itanifanya nijue it is you hapo kwenye Avatar.... kikubwa na-admire ktk hiio Avatar ni nywele.. kwa sie wamama inakufanya uonekane original... yaani sio fake.... Hongera kwa nywele nzuri Blaki Womani.
 
asante ADii ......mchina No
 
Perseverance
sijui kama ndo zaidi na internal structure yangu aise naipenda sana
Mhhh don judge me please

Rocky uwe na such a quality ambayo ni nzuri alafu uwe judged kwa misingi gani.... labda kama nimekosea kuelewa... it is a strong trait kua nayo... Hongera bana for yaelekea wajitambua.....lol
 
yeah najitambua na ndo maana naisemea bana
Umeeleweka vyema na wala hujachakachua kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom