The ONE thing you Love Most!

The ONE thing you Love Most!

Badala ya kujibu swali watu wanapiga story tu inaboa sana,mi napenda bidii yangu ya kutafuta pesa hata leo ikitokea jambo la kunikatisha tamaa kesho nikiamka nakuwa na mbinu mbadala nasonga mbele
 
Sijui mpaka sasa hivi kipi zaidi..
Ngoja niendelee kuangalia...badaye nitakuwa nimeshapata jibu

Waiting... Patiently....lol.. Usiniangushe Rejao lasivo namwita PAW....
 
Mmmmmm, heb ngoja..........
Aisee, i think i love the whole me..
Sina kitu specific ambacho nakipenda kwangu zaidi ya vingine manake naona kila kitu nakipenda..
Yaani Physically, mentally, spiritually ...

Nimependa ulivojibu ila Tanmo nahisi umenikwepa.... Nitajie walau kimoja tu!
 
Badala ya kujibu swali watu wanapiga story tu inaboa sana,mi napenda bidii yangu ya kutafuta pesa hata leo ikitokea jambo la kunikatisha tamaa kesho nikiamka nakuwa na mbinu mbadala nasonga mbele

Tusamehe bure Mopalmo.... Nashukuru for sharing..... Thats the spirit maana vijana wengi sasa hivi wavivu mpaka aibu!
 
Nimependa ulivojibu ila Tanmo nahisi umenikwepa.... Nitajie walau kimoja tu!

Kwa kweli sioni cha zaidi ya vingine,
Anhaaaaa! Labda Kiburi, lol...
Manake kimenitoa kwenye mitego ambayo nisingekuwa nacho ningesafa zaidi!!
 
AD, do something,,,, tell us about yourself as well!!!

ha ha ha... Mie itakua toppings hivo nitakua wa mwisho....lol

Kwa kweli sioni cha zaidi ya vingine,
Anhaaaaa! Labda Kiburi, lol...
Manake kimenitoa kwenye mitego ambayo nisingekuwa nacho ningesafa zaidi!!

Yaani Tanmo Umenimaliza.... Is it really you?? au PW wamechakachua?? lol
 
kucha
cz naztafuna nikiwa na stress ata nikiwa in gud mud n it has gud test
nawasilisha

Yaani wee binti comments zako huwa mara nyingi zina release stress nikiwa nayo...lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom