The ONE thing you Love Most!

The ONE thing you Love Most!

Sijui ndio kuzeeka?? Nahisi sijasoma vizuri hapa!! .lol
Internal architecture kuna mbili kuna READY DESIGNED halafu kuna THE ONE WE DESIGN OURSELVES, PA don't ask me more questions case closed lol!!
 
I love my ambitions, self development without spending too much time in clasess and tenacity to make sure I reach the goals I set
 
huyu jamaa hapendeki kabisa..labda akija kuwa soft kidogo.
Ngoja siku ukiingia kwenye anga zake ndio utajua..

Ndio mana bana!! kumbe ushawahi ingia anga zake.....lol... Pole, mie nampenda kwamba hata nikifanya kosa akani-Ban nitakubali kwa roho nyeupe.
 
Internal architecture kuna mbili kuna READY DESIGNED halafu kuna THE ONE WE DESIGN OURSELVES, PA don't ask me more questions case closed lol!!

I am Proud of you.... Thats a good one; yaani hata ningetumia Specs nisingeona maana yake.... Nice one PA... (Ongeza kidogo...lol)
 
ungesema ninachochukia ni yule baba yenu aliyenipiga chini,

ninachopenda more nitarudi.
 
Ndio mana bana!! kumbe ushawahi ingia anga zake.....lol... Pole, mie nampenda kwamba hata nikifanya kosa akani-Ban nitakubali kwa roho nyeupe.
Hatuhawahi kukabana....unanifanya nianze kumpenda!
 
Yaani Tanmo Umenimaliza.... Is it really you??

Oh, Yeah...
Kwa jinsi haya maisha yalivyo mababe, kiburi dhidi yake hakiepukiki..
Mpaka mwisho wa siku mnajikuta mnaongea nayo lugha moja..
Surprisingly, ni kwamba ukimwekea mtu kiburi kama alitaka kukuibia haki yako basi atalazimika ku reason na wewe!

Try that, halafu uje kuniambia....
 
I love my ambitions, self development without spending too much time in clasess and tenacity to make sure I reach the goals I set

Loving your ambitions is one of the secrets leading to major Success!! Best of Luck and keep up the SPIRIT!!
 
ungesema ninachochukia ni yule baba yenu aliyenipiga chini,

ninachopenda more nitarudi.

Dah! baba akiiona hii post atajua kweli bado wampenda.... na I wonder huko kama apendwa kama hapa... Pole saana. Hata hivo nasubiri jibu....lol
 
Next time tukionana nitacheki na kucha zako

usijali..na nikikuona tu ntaweka mikono mbele km namsubiri mwalimu wa usafi apite..kucha tamu aikwambie mtu

lakin unaikoma wakat wa kufua...lakin ahh sjui kuna madhara lakin ndo ivo nishazoea kuzitafuna so siwez kuacha..AFU NAKUWA SINA GHARAMA YA KUCHA..SALOON...KUBANDIKA z ol manicure n pedicure is on/within my mouth..
 
Oh, Yeah...
Kwa jinsi haya maisha yalivyo mababe, kiburi dhidi yake hakiepukiki..
Mpaka mwisho wa siku mnajikuta mnaongea nayo lugha moja..
Surprisingly, ni kwamba ukimwekea mtu kiburi kama alitaka kukuibia haki yako basi atalazimika ku reason na wewe!

Try that, halafu uje kuniambia....

What an insight!!! lol.... Dah! Umeiweka logically mpaka naweza jaribu pia....lol... I will Do Something!!
 
Mie napenda kudekezwa (Wifi sitaki maswali sana tafadhali)

hahahaha..... Wifi acha kunibania bana!! hebu niambie pleeeease; (la sivo kakako ataipata....lol)
 
there is only one thing a man must be proud of throughout his life...a confidence,

Mradi isiwe over- ila confidence naunga mkono with it waweza fika mbali kuliko without it.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom