RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,382
- 1,851
Nimeona hiyo video. Hayo mambo yote Range Rover inayafanya vizuri kabisa bila shida yeyote. Kumbuka Range Rover ni moja kati ya magari yenye uwezo mkubwa saana offroad kuwahi kutengenezwa. Point hapa ni kwamba nani anapeleka Range Rover lake offroad? Ndio tunachoongelea hapa. Sio kwamba gari ni baya au halina uwezi. Ila muonekane wake, na features zake zimepishana na legacy ya gari linaloli replace.mbona gari ni ya kazi hiyo......actually imedevelop zaidi kuliko ya zamani....kupitia YouTube account ya drive tribe wanasema landrover took 10 yrs to develop the whip on different areas and landscapes kama winter,dessert na sehemu zenye maji maji....shida gari hili inakuja kwamba kwa sisi wabongo kutengeneza ndo tabu but bado the thing is very hardcore....