The new Landrove Defender

mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
16,599
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
16,599 2,000
Aaarh wapi mkuu hata jeshi la mgambo haliwezi kutumia gari hili,ki ukweli wame-mess up big time.
Hehehee! Hawa jamaa wamezingua. Hivi kweli hili gani litatumika tena jeshini? Wamekosea saana.
 
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
14,271
Points
2,000
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
14,271 2,000
Mimi ninayo Freelander ilinitesa . Ukiua spare mpaka kuagiza . Wafanye spare zao ziwe kama Toyota. Anytime, anywhere unapata huduma. Siyo mpaka dealer bhuaana
Mkuu ukiwa na uwezo wa kumiliki gari kama hilo, maana yake huna gari moja. Ikisumbua unaendelea kutumia nyingine then unaagiza spea.

Wenye magari kama hayo wana magari mengi, na moja likisumbua spea, inaagizwa huku akitumia nyingine.
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
16,599
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
16,599 2,000
Mimi ninayo Freelander ilinitesa . Ukiua spare mpaka kuagiza . Wafanye spare zao ziwe kama Toyota. Anytime, anywhere unapata huduma. Siyo mpaka dealer bhuaana
K series engine ziliwatesa sana wenye freelander.
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
46,213
Points
2,000
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
46,213 2,000
Yeah. lakini naamini nado zitakuwa na uwezo wa kuhimili shida za kiafrika kuliko hii landrover ninayoiona hapa...
Sijakataa.

Ila inaweza jazwa umeme na teknolojia za kufa mtu.

Najaribu kuhisi kutakuwa na hybrid version ya LC.
 
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
11,455
Points
2,000
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
11,455 2,000
Mkuu ukiwa na uwezo wa kumiliki gari kama hilo, maana yake huna gari moja. Ikisumbua unaendelea kutumia nyingine then unaagiza spea.

Wenye magari kama hayo wana magari mengi, na moja likisumbua spea, inaagizwa huku akitumia nyingine.
Mangi bado nasema wazilete na spare zipatikane kirahisi. Wewe upo safarini gari inaleta hitilafu mpaka ubadili gari ?!. Gari haitakuharibikia nyumbani bali safarini .

Cruiser mahali popote huduma unapata . Siyo mpaka dealer
 
F

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Messages
1,389
Points
2,000
F

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2017
1,389 2,000
Alie kuambia manual haipo nani?
Kumbuka hizi zinatoka kwa order unasema unataka nini unatengenezewa
Labda kama car enthusiast watakua wameisha duniani,wameijaribu steptronic lkn imeshindwa ku-replace manual.
 
F

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Messages
1,389
Points
2,000
F

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2017
1,389 2,000
Mkuu ukiwa na uwezo wa kumiliki gari kama hilo, maana yake huna gari moja. Ikisumbua unaendelea kutumia nyingine then unaagiza spea.

Wenye magari kama hayo wana magari mengi, na moja likisumbua spea, inaagizwa huku akitumia nyingine.
Muulize alokuwa na Frelander ya mwaka gani?
CX othiambo cairo
 
Mzee Kigogo

Mzee Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Messages
2,248
Points
2,000
Mzee Kigogo

Mzee Kigogo

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2018
2,248 2,000
Nimeangalia hapo nikaona Automatic Transmission hamu yote ikaisha

Sijui kwanini napenda gari za Manual Transmission
Wamechemka sana! Moja ya sifa ya defender ni Manual transmission sasa hawa jamaa wamekuja kuweka gia kama ya fun cargo Au porte
 
Southern Highland

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Messages
5,468
Points
2,000
Southern Highland

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2017
5,468 2,000
Wabongo katika sehemu hatuelewani ni hapa. Yan mnataka kitu kilekile kila siku hamtaki mabadiliko. Hizi landrover defender zimeshafanyiwa mabadiliki na makampuni kibao na zinakua na mwonekano mzuri kama hamjui ingia google tafuta kwa majina haya Arkonik, khan defender, pamoja na Chelsea truck company hizo ni baadhi ya kampuni zinazofanya modificatication ya ya hizo defender 110.

Haya sasa mwingireza mwenyewe ambaye ndio founder mnataka atoe kitu kile kile ambacho wameshafanya hao wengine.? Hebu jaribuni kufatilia, binafsi mimi ni mpenzi wa haya mandinga na nimeifuatilia kiundani sana ingieni youtube watu wanazifanyia review, yeye hajataka kufanana na wengine ila amekuja ki ruxury zaidi japokuwa ni gari ya kazi siyo kama wengi mnavyo amini. Mabondeni inatembea, milima inakanyaga kwenye lami ndio usiseme. Naona hasa amekuja ku compete na G class Mercedes.
67404213_1234608960033821_8477097341188433667_n-jpeg.1204992
 
New Nytemare

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
2,945
Points
2,000
New Nytemare

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
2,945 2,000
Rand roverwana gari series chache ila wanaishiwa ubunifu...
Wana
RANGE
FREELANDER
DEFENDER
DISCOVERY
zote wakija kwenye toleo jipya sura zina fanana..
Maoni hii defender wangeboresha bila kubadili sura kama wanavofanya G WAGON benz...
 

Forum statistics

Threads 1,335,150
Members 512,245
Posts 32,497,085
Top