The new Landrove Defender

Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
11,455
Points
2,000
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
11,455 2,000
Shida ya hizi Hari za land rover ni spare. Ukiua spare mpaka uagize . Aahhh
 
pureView Zeiss

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Messages
2,785
Points
2,000
pureView Zeiss

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2016
2,785 2,000
Aisee hawa jamaa wanatutamanisha kwelikweli.
Ngoja nichek features zake Kwanza
 
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
999
Points
1,000
RugambwaYT

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
999 1,000
Hehehee, hii kitu tuliwahi kuisema humu. Jamaa naona wameunganisha Toyota Rush na Raum wakabandika nembo ya Land Rover. Hiyo gear lever sasa, mmh! Kama minivan :D:D:D
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
46,213
Points
2,000
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
46,213 2,000
If thats so yale matumiz yetu kwa defender yatapungua sana... Maana haina sura ya kazi tena
Gari almost zote mpya zina umeme na teknolojia kubwa sana.

Nadhani ndio maana hata ile ya mwanzo wameamua kuachana nayo.

G Wagon wamebaki na muundo uleule ila humo ndani wamejaza umeme wa kufa mtu.
 
Offshore Seamen

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Messages
824
Points
1,000
Offshore Seamen

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2018
824 1,000
Hii si ya kazi ngumu na shurba kama matoleo ya awali.
 
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
11,455
Points
2,000
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
11,455 2,000
Kuna dealership mkuu. Pale CMC Motors.
Tofauti kabisa na magari ya Toyota, Nissan, Mitsubishi (Japan) ukiua spare unaenda dukani na kuhudumiwa. We Tz nzima tukiua spare mpaka kwa dealer ?!.
 

Forum statistics

Threads 1,335,156
Members 512,245
Posts 32,497,406
Top