The Looming Showdown in Dodoma

Kikao kimeridhika na taarifa ya kipolisi .
wajumbe wameagiza kuwa mapendekezo yaliyotolewa yafanyiwe kazi,
wanampongeza spika kwa hatua za haraka.
kikao kimempongeza kwa tabia yake ya uwazi na hatua ya kulitaarifu taifa mapema.
Kikao kimempongeza kwa kuwataka vyombo vya usalama kufanya kazi mapema .

Kikao tajwa ni cha kamati ya uongozi ya bunge.

..inaonekana kama kazi imeisha. everyone is compromised! or better,has compromised!
 
Halisi lakini swali la kuzingatia ni kuwa... hivi vitu vilionekana Jumanne, taarifa imetokea Alhamisi ndani ya siku hizo mbili Bunge limetumika na kufanyiwa usafi.. sasa Polisi wanapokuja ile Ijumaa kufanya uchunguzi na kuchukua vumbi vumbi.. walikuwa wanachukua vumbi vumbi la lini?

..la kwenda kupigia chafya! lol!
 
Maandishi ya SHOWDOWN YA DODOMA KUHUSIANA NA UNGA ULIOGEUKA NA KUWA VUMBI LISILOKUWA NA MADHARA!

Vumbi ambalo lilisemekana lina MOTIVE NA SASA HALINA MOTIVE TENA KWANI LILISHASAFISHWA SIKU YA IJUMAA BADALA YA JUMA NNE!

Na huku watu wakikanusha kauli zilizotolewa na SPIKA WA BUNGE...PAMOJA NA MAMLAKA NYINGINEZO!

Kusoma ama kusema ni vitu vinavyotegemeana...Hivyo basi...Nilishasoma before kuwa huo ulikuwa unga unga na halafu sasa ni vumbi vumbi...Pia nilishasoma yale yote ambayo sasa unasema hayakusemwa.

..bwana/bi mdogo, wakati mwingine uwe unatuliza boli.
 
Seconded. Tumeanza kupoteza wanachama makini nafikiri kwa sababu kama hizi. Simuoni Game Theory. Simuoni Mwafrika wa Kike. Simuoni Augustine Moshi, na wengine wengi. Tujirekebishe.

Ni wanachama mahiri sana hawo na bado wanahitajika sana katika kuendeleza haya mapambano.......Lakini naamini na nimeongea sana kuhusu UTAIFA...kama mtu ambaye ameweka UTAIFA mbele kuliko chochote kile basi huyo mtu hawezi kuyumbwisha na mtetemeko wowote ule.

Kama ndugu zetu hao uliwataja wameamua kutoonekana katika hii forum kwa sababu ndogo ndogo kama hizo...basi inasikitisha sana, labda kwao utaifa sio muhimu.
 
Pamoja na kwamba mara nyingi huwa napingana na Jmushi lakini kwenye hili nakubalina naye . Hoja ya unga siyo ya kijinga kama watu wanavyoilabel , mbunge kukutwa ndani ya bunge akifanya vitu vya ajabu baada ya bunge kuisha sio jambo dogo kama watu mnavyotaka kusema !

Kuna maswali mengi ya kujiuliza kabla ya kukurupuka na kukubali kila kitu kilichosemwa na polisi . Jee tunaweza kuona hiyo form inayoonyesha Chain of Custody ? Jee ni Laboratory gani waliyofanya hiyo analysis ? Which kind of analysis was done ? Nadhani tunatakiwa tujiulize haya maswali kabla ya kurukia bandwagon ya polisi !

Kwa sababu hapa naona assumption watu wengi waliochukua ni kuwa hii kesi ilikuwa fabricated na Bunge ili kushift public attention . Lakini ni lazima tuwaulize kuhusu chain of custody ....
 
kwa uelewo wangu,hakuna hata mwana jf mmoja anayekubaliana na taarifa za polisi, yani tumejawa na masikitiko ya kila tunalolitumai litakuwa haliwi, tunazugwa usiku mchana. yani tanzania imekuwa kama zimbabwe,rais wa nchi katekwa nyara na wachache,yupo jina tu,lakini wapo watu rasmi wanaoongoza nchi na wana waziri mkuu wao pia,kwa kifupi tanzania zipo serikali tatu, serikali ya mapinduzi, serikari ya muungano na serikari ya mafisadi,kibaya zaidi yale madalaka iliyokuwa nayo serikali ya muungano,yamenyanganywa yako kwenye serikari ya mafisadi,na kibaya zaidi hatuwezi fanya chochote.yani unapanga unapangua nini ufanye hamna.
la muhimu tusikate tamaa kufichua uoza uliopo nchini mwetu,wanasikia kelele zetu hata kama si sisi tutakaoishi tanzania tunayoitaka hiwe,basi nina imani vizazi vyetu vitakuja kuvuna haya tuyapandayo.
 
JK aonekani kushtuka na kitu chochote sio mafisadi wala malalamiko ya wananchi, yeye bora kapanda ndege zake basi katimiza majukumu ya urais
 
Pamoja na kwamba mara nyingi huwa napingana na Jmushi lakini kwenye hili nakubalina naye . Hoja ya unga siyo ya kijinga kama watu wanavyoilabel , mbunge kukutwa ndani ya bunge akifanya vitu vya ajabu baada ya bunge kuisha sio jambo dogo kama watu mnavyotaka kusema !

Kuna maswali mengi ya kujiuliza kabla ya kukurupuka na kukubali kila kitu kilichosemwa na polisi . Jee tunaweza kuona hiyo form inayoonyesha Chain of Custody ? Jee ni Laboratory gani waliyofanya hiyo analysis ? Which kind of analysis was done ? Nadhani tunatakiwa tujiulize haya maswali kabla ya kurukia bandwagon ya polisi !

Kwa sababu hapa naona assumption watu wengi waliochukua ni kuwa hii kesi ilikuwa fabricated na Bunge ili kushift public attention . Lakini ni lazima tuwaulize kuhusu chain of custody ....

Kuna wengine humu hatuna vyama na hivyo tunauliza maswali ambayo hatuogopi kama yatamuudhi mwenyekiti ama katibu wa chama chochote.

Kwa wale wenye vyama ni wazi wana mipaka.

Nimeshasema kuwa ni heri tupingane tu kwa hoja badala ya kulazimishia character assasination.

Hapa kama alivyosema ndugu Rufiji..Tunakubaliana na kutokukubaliana.
Lakini ndio maana Watanzania wanaiheshimu forum hii kwani at last tuko pamoja...UJENZI WA NCHI...

Na pia nawaomba wale wenye kutaka kukata tamaa wasifanye hivyo eti kwasababu hatutapata manufaa yanayoonekana sasa...Ndugu zangu hii ni HISTORIA INAANDIKWA HAPA..Ya Dunia...Si ya Tanzania na Afrika tu.

Na hivyo basi...Tuache kejeli za kutaka kuzua malumbano ili tu kumfanya mtu flani aonekane mbaya ama hajui anachoongea nk.

Kwa maana hiyo basi...Narudia tena...Nitamuheshimu yule atakayekuwa anafanya hivyo kwa kila member na si watu flani flani tu.

Ahsanteni.
 
Je ulitowa USHAURI KUWA CHIFUPA AKAMOMBEWE KWA KAKOBE AMA LWEKATARE KAMA UNAVYOTAKA WAFANYE KWANGU?

AMA AT LEAST KWANINI HUKUTAKA ZITTO AKAOMBEWE NA MKA MPELEKA MUHIMBILI?
Naomba majibu na tuache UNAFIKI!

Jamani haya mambo ya kuingiza Chifupa kwa masuala yasiyomhusu ni kumkosea Yeye ingawa hatunaye hapa duniani. Siamini kama tunamtendea haki Marehemu Chifupa, yaani hausiki kabisa hapa. Jmushi, sometime jaribu kuwa na utu na ustaarabu. Siamni ungependezewa kama ungekuwa aidha mzazi au ndugu wa Chifupa halafu mnaanza kuingiza personals zenu hapa mkiingiza utambulisho wa marehemu Chifupa. SIO USTAARABU, TUWE NA UTU JAMANI.
 
mwenzetu kila siku unataka kurudi nyuma kama vile FBI sisi wengine uwezo huo hatuna.
Ukimfumania mkeo mkuu jishughulishe na kesi ya fumanizi usitake kujua jamaa alikuwa akifanya nini? mkeo alikuwa vipi (position) na kadhalika...mkuu utazidi kuchanganyikiwa wewe sio mfumaniwa...
Mambo kwa mbele mkuu...

Mkandara,
Hivi wewe una utani wa kijadi na Jmushi1? Kwi kwi kwi. Be careful maana kuna warrant imekuwa issued kwako kwa kusababisha watu kuvunja mbavu bila kukusudia.
 
Jamani haya mambo ya kuingiza Chifupa kwa masuala yasiyomhusu ni kumkosea Yeye ingawa hatunaye hapa duniani. Siamini kama tunamtendea haki Marehemu Chifupa, yaani hausiki kabisa hapa. Jmushi, sometime jaribu kuwa na utu na ustaarabu. Siamni ungependezewa kama ungekuwa aidha mzazi au ndugu wa Chifupa halafu mnaanza kuingiza personals zenu hapa mkiingiza utambulisho wa marehemu Chifupa. SIO USTAARABU, TUWE NA UTU JAMANI.

Indume acha spin!
Mtu akifa tunapenda sana UNAFIKI!
Sasa Chifupa alipokuwa mzima mlimwita majina mengi tu na hata watu walipojaribu kusema matatizo aliyoyonayo watu waliendelea na soga tuu!

Mimi nilikuwa najibu mapigo kutoka kwa kada wa chadema lakini kwasababu wewe unajuwa kuwa utavutia wenye vyama kusema kitu basi na wewe huwa bendera fata upepo.

Usipende kurudisha watu nyuma...Kama ulikuwa mahali pengine ukashindwa kujoin mjadala wakati unaofaa...Usisubiri na kuibua mjadala huu again kinanma kwani kuna mtu aliniambia kuwa natakiwa nikaombewe kwasababu ya hoja zangu hapa jf na mimi nikasema kuwa kwanini hakuwakutoa maoni hayo pale walipokuwa wakidai kuwa Amina karogwa?

Swali langu la msingi lilikuwa ni kujibu mapigo kuwa mimi nahitajika kupelekwa kwa kina Lwakatare na Kakobe.
Sasa wewe unata kuni chagulia jibu?
 
Back
Top Bottom