The Looming Showdown in Dodoma

Kitila,

Could it be possible kwamba hata JF sasa inaelekea huko huko. Maanake baada ya kupitia post zingine humu ndani nabaki tu kinywa wazi. Ni kweli kuna mawazo yanatolewa yenye nguvu ya hoja, lakini ukurupukaji unaanza kutawala mijadala na hii inaanza kunitia hofu. Kuna watu ama hawasomi na kuelewa kinachoendelea au kwa makusudi mazima wanaleta upotoshwaji wa mada. Mimi sikushiriki kabisa kwenye mjadala wa sakata la unga bungeni kwa sababu mantiki yake haikuweza kuniingia akilini, la hasha. Lakini wako wengi wasiotambua kuwa kunyamazia jambo usilolielewa kimsingi ni bora kuliko kurukia bila mpangilio halafu unabaki unaonekana ama juha au mwehu.

Kuna hoja zimejificha na inabidi uzisome mara mbili kama wewe ni mzito kiakili kama mimi, kabla hujakurupuka. Ninao rafiki zangu wengi wanaosoma JF na hivi sasa wanasononeka na kiwango cha majadiliano humu ndani. Mambo mazito hayashupaliwi kama ilivyo kwa mambo yasiyo na umuhimu wowote. Ukipitia humu ndani utakuta tulivyo wepesi katika kuchangia mada za ovyo. Hali hii inatisha.

Mada hii si ya HOVYO LABDA WEWE NDIYO HOVYO!

NA WEWE NDIO UMEKURUPUKA!

Kama umekiri HUKUFUATILIA MJADALA WA UNGA UNGA TOKA MWANZO THEN KAA KIMYA NA USOME MJADALA UNAVYOKWENDA NA SI KUJA NI VIJIMANENO VYA KUJIDAI WEWE UNA BUSARA!

Watu wanauliza maswali kutokana na KAULI ZILIZOWAHI KUTOLEWA NA PANDE ZOTE..IWE YA KUMTETEA CHENGE AMA SPIKA.
Kweli UNATISHA!
 
Nilshasema kuwa MCHAWI NA MIMI MBALI MBALI NA SASA NIKO HAPA USA HOPEFULLY HAUVUKI BAHARI.

Mkandara Kila mahali DUNIANI KOTE HATA FBI WENYEWE...MTU ANAHUKUMIWA KWA MOTIVE!

Ndio maana hata kuna kesi za mauwaji ya kukusudia ama kutokukusudia!

Je aliyeweka vumbi/unga bungeni kusudi lake nini?

Wakisema alikuwa anacheza tu ama anatania then waje na sababu za kutu convince hivyo!

Na si kutoa kauli ambazo zinawafanya waonekane ni wasanii na kutufanya kuwa ni WOTE TUMEROGEKA!

Most likely ulikuja kutibiwa maradhi ya kichwa ukaingia mitini. Ulipate US Visa? Ulifanya interview kweli?!
 
Mada hii si ya HOVYO LABDA WEWE NDIYO HOVYO!

NA WEWE NDIO UMEKURUPUKA!

Kama umekiri HUKUFUATILIA MJADALA WA UNGA UNGA TOKA MWANZO THEN KAA KIMYA NA USOME MJADALA UNAVYOKWENDA NA SI KUJA NI VIJIMANENO VYA KUJIDAI WEWE UNA BUSARA!

Watu wanauliza maswali kutokana na KAULI ZILIZOWAHI KUTOLEWA NA PANDE ZOTE..IWE YA KUMTETEA CHENGE AMA SPIKA.
Kweli UNATISHA!

Jmushi,

Wapi nimesema hii mada ni ya ovyo.
 
Ndiyo ujengaji hoja huo.
 
Mimi nimekaa pembeni...Tunasubiri SHOWDOWN...Sasa Kuna hoja inajengwa hapa...Hivi kweli Jmushi ni mtu mmoja anayewasumbuwa vichwa kiasi hata mnabakia kumjemgea hoja?
Wengine wanajiita peasants...Am i a FARMER?
 
your avatar reflect it all! hahahahaha!
 
Jmushi,

Wapi nimesema hii mada ni ya ovyo.

Kuna watu ama hawasomi na kuelewa kinachoendelea au kwa makusudi mazima wanaleta upotoshwaji wa mada. Mimi sikushiriki kabisa kwenye mjadala wa sakata la unga bungeni kwa sababu mantiki yake haikuweza kuniingia akilini,

Umesema kuna watu wanaleta upotoshwaji wa mada...Sasa kama mada imepotoshwa haiwi ya HOVYO?
Na pia umekiri kuwa hukufuatilia mada a unga unga toka mwanzo...Je ni nini hasa kilichokufanya wewe kujuwa kipi ni upotoshaji na kipi ni sawa?
 
Mimi nimekaa pembeni...Tunasubiri SHOWDOWN...Sasa Kuna hoja inajengwa hapa...Hivi kweli Jmushi ni mtu mmoja anayewasumbuwa vichwa kiasi hata mnabakia kumjemgea hoja?
Wengine wanajiita peasants...Am i a FARMER?

You must have forgotten to take your pills bro! Would you mind to go and take some right now?
 
your avatar reflect it all! hahahahaha!

NO PROBLEM..ITS THE AUDACITY OF HOPE WHENEVER YOU REALISE THE PURPOSE DRIVEN LIFE IS POSSIBLE.
FYI...HUYO NI MR OBAMA AKIWA NA BIBI YAKE HUKO KENYA...MR OBAMA AMBAYE NI FARMER KAMA UNAVYOSEMA...ANAWEZA AKAWA RAIS WA DUNIA..!
What about you PEASANT?
 
Jmushi1,

mwenzetu kila siku unataka kurudi nyuma kama vile FBI sisi wengine uwezo huo hatuna.
Ukimfumania mkeo mkuu jishughulishe na kesi ya fumanizi usitake kujua jamaa alikuwa akifanya nini? mkeo alikuwa vipi (position) na kadhalika...mkuu utazidi kuchanganyikiwa wewe sio mfumaniwa...
Mambo kwa mbele mkuu...

Hapa umeniacha hoi!!
 
Kitila,

Could it be possible kwamba hata JF sasa inaelekea huko huko. Maanake baada ya kupitia post zingine humu ndani nabaki tu kinywa wazi. Ni kweli kuna mawazo yanatolewa yenye nguvu ya hoja, lakini ukurupukaji unaanza kutawala mijadala na hii inaanza kunitia hofu. Kuna watu ama hawasomi na kuelewa kinachoendelea au kwa makusudi mazima wanaleta upotoshwaji wa mada. Mimi sikushiriki kabisa kwenye mjadala wa sakata la unga bungeni kwa sababu mantiki yake haikuweza kuniingia akilini, la hasha. Lakini wako wengi wasiotambua kuwa kunyamazia jambo usilolielewa kimsingi ni bora kuliko kurukia bila mpangilio halafu unabaki unaonekana ama juha au mwehu.

Kuna hoja zimejificha na inabidi uzisome mara mbili kama wewe ni mzito kiakili kama mimi, kabla hujakurupuka. Ninao rafiki zangu wengi wanaosoma JF na hivi sasa wanasononeka na kiwango cha majadiliano humu ndani. Mambo mazito hayashupaliwi kama ilivyo kwa mambo yasiyo na umuhimu wowote. Ukipitia humu ndani utakuta tulivyo wepesi katika kuchangia mada za ovyo. Hali hii inatisha.

Seconded. Tumeanza kupoteza wanachama makini nafikiri kwa sababu kama hizi. Simuoni Game Theory. Simuoni Mwafrika wa Kike. Simuoni Augustine Moshi, na wengine wengi. Tujirekebishe.
 
Jioni ya leo yawezekana the biggest showdown since the resignations of the former Premier Edward Lowassa is to take place in Dodoma. Very reliable sources vimeiambia KLHN kuwa baada ya Bunge kurudi baada ya mapumziko ya mchana (kuanzia saa kumi na moja) Bunge litatoa kauli yake kuhusu matokeo ya uchunguzi wa mambo ya kishirikina na uhalifu yaliyodaiwa kutokea Bungeni hapo karibu mwezi mmoja uliopita.

Naibu Spika anatarajiwa kutoa kauli ya kufunga mjadala huo na kukubali matokeo ya Polisi. Hata hivyo Bunge linaweza kuwageuka Polisi na kutaka kuanzisha uchunguzi wake yenyewe wakiwa na wasiwasi kuwa the evidence was tampered with. Kama Bunge halitafanya hivyo na kukubali maelezo ya Polisi na Mkemia Mkuu the looming showdown would be set. Against who?

The Agenda 21, the entity that was created soon after the government collapse following the Richmond Scandal earlier this year. Kwa wale wanaokumbuka the exclusive report ya KLHN juu ya formation ya hili kundi watakumbuka kuwa imeundwa na mtandao wa watu wenye maslahi mengi wakiongozwa na wale waliotajwa kwenye ripoti ya Kamati Teule na ndani yake wakiwemo baadhi ya viongozi ambao walijikuta wakitupwa nje ya serikali katika uundwaji wa Baraza Jipya la Mawaziri.

Agenda 21 walitaka kutoa taarifa yao mapema leo lakini inaonekana wameamua kusubiri kusikia Bunge litasema nini ili wajue nini cha kufanya. Kinachoendelea wapendwa watazamani ni kama mchezo wa chess ambapo kuna kila dalili kuwa Spika Sitta yuko karibu sana kuwekwa Checkmate na Agenda 21 na hivyo kulazimisha kuondolewa kwake katika kiti hicho cha Uspika.

The new alignment of the political heavyweights kutoka CCM ndani ya Bunge ni dalili wazi ambayo inatuonesha wachambuzi wa mambo ya kisiasa kuwa when all is said and done, watu wataitwa kufanya uamuzi, uamuzi ambao siyo tu unaweza kusababisha tuingie kwenye uchaguzi mdogo au hata mkubwa bali ambao kwa hakika utaifungua demokrasia ya vyama vingi nchini kuliko wakati mwingine wowote ule.

Meanwhile.... we are waiting to see nani atavunja jungu! Wengine yetu macho na masikio..... kuna vinzi vingine viwili vimeongezwa Dodoma to give you the exclusive scoop of what is transpiring.... stay tuned!

..kuondoka kwa lowassa kuliangusha serikali, kumbe.
 
Seconded. Tumeanza kupoteza wanachama makini nafikiri kwa sababu kama hizi. Simuoni Game Theory. Simuoni Mwafrika wa Kike. Simuoni Augustine Moshi, na wengine wengi. Tujirekebishe.

..nadhani ni suala la mpito tu,mambo yatakaa sawa.

..mambo ya kuchanganya watu akili yametokea sana mwaka huu,hasa hili la uchawi bungeni!
 
Seconded. Tumeanza kupoteza wanachama makini nafikiri kwa sababu kama hizi. Simuoni Game Theory. Simuoni Mwafrika wa Kike. Simuoni Augustine Moshi, na wengine wengi. Tujirekebishe.

Ni kweli kabisa Mkuu Kitila, kuna watu naona wanahitaji permanent ban, au wawekewe limit ya posts kwa siku, ili mawaidha yao yasiyo na mtiririko waweze kuya compound na kuyafit ndani ya allowance. Kila thread inakuwa inaharibika wakiidandia.

By the way, sidhani kama GT ameondoka kutokana na sababu hii, naamini ameondoka kwa sababu nyingine kabisa. Wengine sina uhakika nao.

SteveD.
 
Back
Top Bottom