The Looming Showdown in Dodoma

Kikao kimeridhika na taarifa ya kipolisi .
wajumbe wameagiza kuwa mapendekezo yaliyotolewa yafanyiwe kazi,
wanampongeza spika kwa hatua za haraka.
kikao kimempongeza kwa tabia yake ya uwazi na hatua ya kulitaarifu taifa mapema.
Kikao kimempongeza kwa kuwataka vyombo vya usalama kufanya kazi mapema .

Kikao tajwa ni cha kamati ya uongozi ya bunge.
 
Hiyo kamati ya uongozi ya Bunge tunataka majina yao hapa tafadhali.
Ahsante.

Na pia...

Tunataka kujuwa hao walioshiriki hichi kikao.

Na pia tunataka kujuwa kama wabunge wataruhusiwa kulijadili hilo swala la hao mwera wanaotakiwa kusimamia sheria zilizotungwa na wabunge hao wazalendo wenye kujali maslahi ya TAIFA!

Ni wakati wa wabunge kuwafundisha polisi NIDHAMU na MISINGI YA DEMOKRASIA YA KWELI KWANI POLISI YETU SI POLISI YA WANANCHI TENA.... HILO LIKO WAZI!
 
Bunge limefunga rasmi mjadala husika kwa mujibu wa kanuni za bunge hii ni njia ya kumfanya Chenge asiseme?

Kwani kanuni sasa zitakuwa zinambana , pia wamelaumu vyombo vya habari kuwa vilipotosha ukweli juu ya jambo hilo.

Kazi ndio kwanza imeanza kama Mkjj alivyoweza kudokeza kuwa hawa wengine nao wanajipanga kuitisha press conference.
 
Jioni ya leo yawezekana the biggest showdown since the resignations of the former Premier Edward Lowassa is to take place in Dodoma. Very reliable sources vimeiambia KLHN kuwa baada ya Bunge kurudi baada ya mapumziko ya mchana (kuanzia saa kumi na moja) Bunge litatoa kauli yake kuhusu matokeo ya uchunguzi wa mambo ya kishirikina na uhalifu yaliyodaiwa kutokea Bungeni hapo karibu mwezi mmoja uliopita.

Naibu Spika anatarajiwa kutoa kauli ya kufunga mjadala huo na kukubali matokeo ya Polisi. Hata hivyo Bunge linaweza kuwageuka Polisi na kutaka kuanzisha uchunguzi wake yenyewe wakiwa na wasiwasi kuwa the evidence was tampered with. Kama Bunge halitafanya hivyo na kukubali maelezo ya Polisi na Mkemia Mkuu the looming showdown would be set. Against who?

The Agenda 21, the entity that was created soon after the government collapse following the Richmond Scandal earlier this year. Kwa wale wanaokumbuka the exclusive report ya KLHN juu ya formation ya hili kundi watakumbuka kuwa imeundwa na mtandao wa watu wenye maslahi mengi wakiongozwa na wale waliotajwa kwenye ripoti ya Kamati Teule na ndani yake wakiwemo baadhi ya viongozi ambao walijikuta wakitupwa nje ya serikali katika uundwaji wa Baraza Jipya la Mawaziri.

Agenda 21 walitaka kutoa taarifa yao mapema leo lakini inaonekana wameamua kusubiri kusikia Bunge litasema nini ili wajue nini cha kufanya. Kinachoendelea wapendwa watazamani ni kama mchezo wa chess ambapo kuna kila dalili kuwa Spika Sitta yuko karibu sana kuwekwa Checkmate na Agenda 21 na hivyo kulazimisha kuondolewa kwake katika kiti hicho cha Uspika.

The new alignment of the political heavyweights kutoka CCM ndani ya Bunge ni dalili wazi ambayo inatuonesha wachambuzi wa mambo ya kisiasa kuwa when all is said and done, watu wataitwa kufanya uamuzi, uamuzi ambao siyo tu unaweza kusababisha tuingie kwenye uchaguzi mdogo au hata mkubwa bali ambao kwa hakika utaifungua demokrasia ya vyama vingi nchini kuliko wakati mwingine wowote ule.

Meanwhile.... we are waiting to see nani atavunja jungu! Wengine yetu macho na masikio..... kuna vinzi vingine viwili vimeongezwa Dodoma to give you the exclusive scoop of what is transpiring.... stay tuned!

Hakutakuwa na jipya lolote ndani ya hili Bunge uchwara. Nilishaandika hapa ukumbini kwamba Bunge hili lililoanza June 10, 2008 tulipe siku 10 tu kuweza kutathmini kama kweli limebadilika na kuanza kutetea maslahi ya Tanzania na Watanzania badala ya yale ya chama cha mafisadi. Siku hizo 10 zimeshakatika siku nyingi zilizopita na hakuna jipya lolote.

Ngeleja anauliza maswali bungeni anakataa kujibu. Hivi bunge amabalo lina maslahi ya nchi linaweza kukubali kunyanyaswa kiasi hiki na huto bwana mdogo Ngeleja? :confused:
Wangemuondolea shilingi ili kuzuia bajeti ya wizara yake mpaka ajibu maswali ambayo Wabunge wamemuuliza. Kwa hiyo basi ni usanii ti hakuna agenda 21 wala 22 ni usanii tu kama kazi!!! :(:(:(
 
Nimebaini kwamba tatizo si la polisi waliotoa taarifa, tatizo ni la waandishi/media zetu. Siamini kwamba mwandishi wa habari anajua fika kwamba polisi, usalama, mkemia mkuu hawana mamlaka wala vifaa vya kuchunguza ushirikina na ukisoma maelezo ya RPC, Omar Mganga, utaona anasema, "hakuna sumu iliyoonekana" lakini mwandishi anaandika kwamba hakuna uchawi
 
Halisi lakini swali la kuzingatia ni kuwa... hivi vitu vilionekana Jumanne, taarifa imetokea Alhamisi ndani ya siku hizo mbili Bunge limetumika na kufanyiwa usafi.. sasa Polisi wanapokuja ile Ijumaa kufanya uchunguzi na kuchukua vumbi vumbi.. walikuwa wanachukua vumbi vumbi la lini?
 
Uko sahihi mzee, lakini pia naangalia na upande wa wanataaluma. Kwanini wanateleza? ama wanatelezeshwa? Je, Watanzania wanaliona hilo? Hapa kuna tatizo, ndio maana hata Ana Kilango, alipomuuliza Serukamba, kuhusu kumtaja katika mchango wake ndani ya NEC, tena kwa kauli ya kistaarabu na bila kitisho, Serukamba alipowaambia jamaa zake, wakamwambia alivalie njuga na waandishi wakaelekezwa waandike kwamba "kilango amemtisha Serukamba" na wao wakaandika kwa ushabiki. Hii ni hatari sana. Agenda 21 inakuja kwa kasi na njaa za watu wetu zinatumika vibaya
 
Walikuja kuchukuwa vumbi vumbi ambalo spika aliwaambia waje kulichukuwa..Mambo ya usafi wa bunge tuwaachie cleaning department...Hapa twende kwa kauli za wazito wote waliozitoa mara baada ya sakata zima la UNGA UNGA lilipojiri.
Spika alitowa kauli na wengino pila walitoa kauli...Sasa ni The kauli and unga unga Trail hapa...Tu stick pale kwenye issue yenyewe nzima...MOTIVE.
 
Ndio maana nimeamua kubadili mkakati... adui yako akiwa hatua moja mbele hakikicha unachupa hatua mbili zaidi yake. Mkakati wa kutumia magazeti kujenga hoja kwa wananchi unakabiliwa na hili tatizo na njia pekee naamini ni kwenda nje ya mfumo wa kawaida wa magazeti.
 
Nataka pia nitowe kauli moja kwa Polisi na viongozi wengine kama mnaufuatilia mjadala huu..Hapa ni JF.

Na si kwenye magenge yenu hayo mnayopiga soga kila siku!

Hapa ni issue zinakatwa kwa mwendo wa mbele na kuna inedependent minds humu!

Kwa hiyo mtoke kwenye TOPE LA UJAMAA!

Viongozi wetu ni wale wale toka enzi za mwalimu!

Wao wanatetea chama tu..Wote ni MAKADA!

Tatizo chama sasa mali ya mtu ama watu binafsi na pia chama hicho kinamiliki mali za umma kwa kutumia kigezo cha kushika HATAMU(UTAMU KWA NJIA ZA UNYONYAJI)

Hivyo basi ninawaomba muwe makini mnapokuja na kauli kama hizi.

Kwanza mwanzo ilikuwa ni Unga unga..Then sasa ni vumbi vumbi.

Sasa kwanza kabisa kuna TOFAUTI KUBWA SANA KATI YA VUMBI NA UNGA.

PILI...Kama ni Vumbi vumbi...Kwanini liliingizwa wakati wa kutafuta kiti cha kukaa na wakati ni WAZI kabisa kuwa kiti cha SPIKA CHENGE HAWEZI KUKIKALIA? (Once again..MOTIVE YA VUMBI VUMBI HILO)

TATU...Lets assume kuwa kauli ya mwanzo kuwa ule ni unga..Je ni unga wa vitumbua ama wa SEMBE?

NA KAMA NI WA SEMBE AMA HATA VITUMBUA NA CHAPATI...NANI ALIUTOA KABATINI MWA CHENGE NA KUUPELEKA KWENYE SITI ZA WABUNGE HADI SPIKA MWENYEWE? (Once again..Tunataka MOTIVE YA UNGA KUWEKWA KWENYE SITI)

Tunataka MAELEZO YA KINA YA KUWATOSHELEZA WATU WENYE AKILI TIMAMU.

Ila we mtu kwa kweli hujatulia........! watu wako serious unaleta mambo ya sembe
 
Jmushi.. inabidi uelewe, hakukuwa na tukio lolote lile lililosababisha maneno ya unga unga. So, hakukuwa na mtu akitafuta kiti, hakukuwa na mbunge kuingia na kuruka ruka viti, there was nothing, nyeti! Maswali yako yanassume kuna kitu kilitokea. Polisi wanasema hakuna ushahidi wowote, hata walipowauliza watu waliotakiwa kuangalia hakuna aliyeona kitu chochote kile.

Basically, that was just a "legend" ...
 
Kuna kazi kubwa zaidi kuliko suala hi;li linavyotazamwa hapa sasa.

Kuna haja ya kujua nini kinaendelea kwenye upande wa pili kwani hawa jamaa tangu RA akumbwe na mtikisiko wa kukataliwa sadaka yake hawajaonekana bungeni ,,wapo kwenye mikakati ya kupanga ama wameamua kwenda kupumzika?
 
Jmushi.. inabidi uelewe, hakukuwa na tukio lolote lile lililosababisha maneno ya unga unga. So, hakukuwa na mtu akitafuta kiti, hakukuwa na mbunge kuingia na kuruka ruka viti, there was nothing, nyeti! Maswali yako yanassume kuna kitu kilitokea. Polisi wanasema hakuna ushahidi wowote, hata walipowauliza watu waliotakiwa kuangalia hakuna aliyeona kitu chochote kile.

Basically, that was just a "legend" ...

Sasa MANTIKI YAKO YA SHOWDOWN NI YA NINI?
It doesn't make NO sense kama unataka tukubali ripoti ya polisi na huku ukidai SHOWDOWN.
Pli kauli kuwa hawa watu walikuwa wakitafuta viti zilitolewa na nani?
Kauli kuwa ni unga unga? Vipi kuhusu kauli zako za msisitizo za vumbio vumbi?
Vumbi na unga wapi na wapi?

Ila we mtu kwa kweli hujatulia........! watu wako serious unaleta mambo ya sembe

Wewe JONGOROMERO Tulia...Usipapatikewatu wanapoulizwa maswali.
We umefuatilia hii issue toka mwanzo ama unakurupuka tu!
Ama na wewe una yako?
Kama huna majibu ama hutaki yabiwe tafuta hoja na si kuanza kusema wenzako ni vichaa na ama hawajatulia.
 
Sasa MANTIKI YAKO YA SHOWDOWN NI YA NINI?
It doesn't make NO sense kama unataka tukubali ripoti ya polisi na huku ukidai SHOWDOWN.
Pli kauli kuwa hawa watu walikuwa wakitafuta viti zilitolewa na nani?
Kauli kuwa ni unga unga? Vipi kuhusu kauli zako za msisitizo za vumbio vumbi?
Vumbi na unga wapi na wapi?

Wewe JONGOROMERO Tulia...Usipapatikewatu wanapoulizwa maswali.
We umefuatilia hii issue toka mwanzo ama unakurupuka tu!
Ama na wewe una yako?
Kama huna majibu ama hutaki yabiwe tafuta hoja na si kuanza kusema wenzako ni vichaa na ama hawajatulia.

Eti kwani wewe jmushi uliwahi ama na au kuugua maradhi ya kichwa? Nami nimeuliza swali tuu.
 
Mi nakwambia kuna corraboration hapa na ndio maana wanadai mpaka kieleweke!

Wengine kishaeleweka mnawadanganya wananchi!

HAPA KUNA WATU HURU WENYE MAWAZO HURU WATAKAOULIZA MASWALI HURU TU.

Wewe unaesema KIELEWEKE NA HUKU UKIMTETEA MBOWE..

KIELEWEKE KWA NANI?

KWA MBOWE AMA WANANCHI?

NA KATI YA WANANCHI NA MBOWE..NANI HAKIJAELEWEKA?

MNALETA KIZUNGU ZUNGU MTAKIPATA.
 
Back
Top Bottom