Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,672
- 40,549
Jioni ya leo yawezekana the biggest showdown since the resignations of the former Premier Edward Lowassa is to take place in Dodoma. Very reliable sources vimeiambia KLHN kuwa baada ya Bunge kurudi baada ya mapumziko ya mchana (kuanzia saa kumi na moja) Bunge litatoa kauli yake kuhusu matokeo ya uchunguzi wa mambo ya kishirikina na uhalifu yaliyodaiwa kutokea Bungeni hapo karibu mwezi mmoja uliopita.
Naibu Spika anatarajiwa kutoa kauli ya kufunga mjadala huo na kukubali matokeo ya Polisi. Hata hivyo Bunge linaweza kuwageuka Polisi na kutaka kuanzisha uchunguzi wake yenyewe wakiwa na wasiwasi kuwa the evidence was tampered with. Kama Bunge halitafanya hivyo na kukubali maelezo ya Polisi na Mkemia Mkuu the looming showdown would be set. Against who?
The Agenda 21, the entity that was created soon after the government collapse following the Richmond Scandal earlier this year. Kwa wale wanaokumbuka the exclusive report ya KLHN juu ya formation ya hili kundi watakumbuka kuwa imeundwa na mtandao wa watu wenye maslahi mengi wakiongozwa na wale waliotajwa kwenye ripoti ya Kamati Teule na ndani yake wakiwemo baadhi ya viongozi ambao walijikuta wakitupwa nje ya serikali katika uundwaji wa Baraza Jipya la Mawaziri.
Agenda 21 walitaka kutoa taarifa yao mapema leo lakini inaonekana wameamua kusubiri kusikia Bunge litasema nini ili wajue nini cha kufanya. Kinachoendelea wapendwa watazamani ni kama mchezo wa chess ambapo kuna kila dalili kuwa Spika Sitta yuko karibu sana kuwekwa Checkmate na Agenda 21 na hivyo kulazimisha kuondolewa kwake katika kiti hicho cha Uspika.
The new alignment of the political heavyweights kutoka CCM ndani ya Bunge ni dalili wazi ambayo inatuonesha wachambuzi wa mambo ya kisiasa kuwa when all is said and done, watu wataitwa kufanya uamuzi, uamuzi ambao siyo tu unaweza kusababisha tuingie kwenye uchaguzi mdogo au hata mkubwa bali ambao kwa hakika utaifungua demokrasia ya vyama vingi nchini kuliko wakati mwingine wowote ule.
Meanwhile.... we are waiting to see nani atavunja jungu! Wengine yetu macho na masikio..... kuna vinzi vingine viwili vimeongezwa Dodoma to give you the exclusive scoop of what is transpiring.... stay tuned!