The "LIKE"' bank

wekeza post zaidi upate likes zaidi,,,,bila riba yoyote,na usiwe mchoyo humu ndani,,,,kwa mtindo huu Madame B lazima uwe moderator mwaka huu.....
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwanini dislike hazipo ili angalau watu wajipange kabla ya kuandika

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
wakati nikiwa na miaka kumi ndo walianza kujenga kanisa pale kotela.

Sasa mbona anataka Like halafu anaingia mitini..?? Halafu ujue Mamndenyi mi napenda sana kujua umri wako,we nitajie tu wakati ukiwa na miaka miwili kulikuwa na tukio gani kubwa nchini au hata duniani nitakuelewa.Kwa mfano mimi wakati nikiwa na miaka Mitano ndio kulikuwa na Mkole wa Nyamayao kule Vijibweni..
 
Back
Top Bottom