Karibu chit chat.
nimekuja........... Nani huyo anagawa likes?
like za hovyo hovyo si ni kama kuingia kwenye mtihani na kibomu,hazina uzito kabisa bora nizikose.anataka like
Natumia simu hapa...vipi mkuu una-like chache ehh...
najua wote tunazipenda LIKE za JF ili kukuza reputation,na kupendezesha profile,sasa naomba kuweka hili wazo mbele ya wanachit-chat kama linafaa,tunafanya kama network marketing,unanigongea LIKE,na mimi ninakugongea,yani kila mtu anampa like mwenzake,at the end of the day unakuwa na likes kibaaao......ni kawazo changu tu cha leo nimeamka nacho,,,,let the show GO ON.......
mi nimeshampa like Ruttashobolwa mpaka nimechoka ye hajawahi kunipa hata moja sijui ndio bado ana hasira na mimi..??
mleta uzi ana karai la likes anagawa bure kama T-shirt za Chagua CCM
huhuhuhuuuuuu!!! Iihihiihihhiiiiiiiii!!! Kwi kwi kwiiii' umenchekesha wee! Si umuombe radhi tu yaishe!
mbona hanigongeiiiiiiii? Nasubiria 'like' hapa
Mwaaah, mwaaah, mwaaah.... Msiri wangu.
Hv unakumbuka deni langu ninalokudai?
Tafuta basi njia m-badala ya kunilipa kama pesa huna.