The "LIKE"' bank

nachindundu

Member
Aug 6, 2012
17
17
najua wote tunazipenda LIKE za JF ili kukuza reputation,na kupendezesha profile,sasa naomba kuweka hili wazo mbele ya wanachit-chat kama linafaa,tunafanya kama network marketing,unanigongea LIKE,na mimi ninakugongea,yani kila mtu anampa like mwenzake,at the end of the day unakuwa na likes kibaaao......ni kawazo changu tu cha leo nimeamka nacho,,,,let the show GO ON.......
 
peri nadhani hujaelewa mchezo unavyoenda,,,,una-LIKE kila comment iliyoko juu yako,ungetakiwa kunipa mimi LIKE na kumpa snochet LIKE,atakayekuja chini yako naye atakupa LIKE,ukipata nafasi ya kurudi utawapa wenzako LIKE pia....mimi nakudai LIKE moja.......let the fun go ON
 
Last edited by a moderator:

yaani unataka tu LIKE just for the sake of it!? No way mkuu, nitagonga LIKE nitakapoona inafaa tu, tena ningependekeza kuwe na kitufe cha DISLIKE pia ili tuende sawa
 
Last edited by a moderator:
najua wote tunazipenda LIKE za JF ili kukuza reputation,na kupendezesha profile,sasa naomba kuweka hili wazo mbele ya wanachit-chat kama linafaa,tunafanya kama network marketing,unanigongea LIKE,na mimi ninakugongea,yani kila mtu anampa like mwenzake,at the end of the day unakuwa na likes kibaaao......ni kawazo changu tu cha leo nimeamka nacho,,,,let the show GO ON.......

Natumia simu hapa...vipi mkuu una-like chache ehh...
 
Back
Top Bottom