The king makers

The king makers

Mkuu kuna shida ya kuipata sehem ya tatu....
Sijui kwa wenzangu mie nimejitahidi sna kuipata lakin holaa
 
The Bold mkuu wangu nimekukosea nini naomba unisamehe kwa ubaya wowote niliokutendea mana sipati reply yoyote kutoka kwako nimekufata inbox nimeona kimya.
 
Mkuu The bold nashauri uwe unaendelea na mtindo wa "SEHEMU YA TATU BOFYA HAPA" yaani ukiweka kuwa sehem ya 3 na 4 bofya hapa wengine tunakuta kuna sehem moja tu. Sijui tatzo linakuwa ni nn hapo.
 
Kwa sasa nimeweka sehemu tmya kwanza hapa na muendelezo sehemu ya pili na ya Tatu kwenye tovuti yangu.. Kuanzia sehemu ya nne itaendelea wiki kadhaa zijazo
Zote tatu nimezipitia nilikuwa naulizia za mbele mkuu ......Pamoja sana.

Kwenye wiki kadhaa zijazo ndio shida mkuu.
 
BOB Bold,,,,nitag na mie kwenye udambwi dambwi wako.
 
Mkuu The bold labda nikufate huku huku nashindwa kusoma post ya kuanzia episode 9 kwenye post ya vipepeo weusi. Pamoja na post hii ya THE KING MAKERS sehemu ya tatu sijaipata.
 
Back
Top Bottom