The king makers

The king makers

vip mkuu inaendelea king makers episod ya nne?ikiwa au hata inbox theboss hata bila kuntag we tupia sehemu inayofuata mkuu
 
Ahsante kwa makala, nazani wabongo waje kujifunza, wale wanataka Manji asibuguziwe sababu ameajiri watu wengi.. Wanataka avunje tu sheria
 
Duuh
Nwdayz namizigo mingi
Ya osama sijamaliza
Kipepeo sijui niliishia wapi..
Bado na.hii tena,na kaz.zimebana ila hakuna nitamaliza tuu

Thanks nimeipata sana
 
Japokuwa leo ni siku ya pili,
But sijachelewa story ndio inaanza ,
Nimewahi siti za katikati kisha nakunja nne naifuta miwani yangu na kuiweka vyema,
Naanza kutoa like kwanza kama apreciation,
Mwisho naanza kuperuzi taratibu huku nikiwa nashushia juisi ya ukwaju.
 
Mkuu the bold nimekufata PM sijapata majibu yoyote hasa kuhusiana na ile vipepeo weusi :mkakati 0034 naomba nigawie sehemu ya utukufu wako kidogo.
 
The bold nina maswali kadhaa ambayo ni privacy zako.... nlitaka niyajue......

Sa cjui km unanipa go ahead hapa hapa au utanichek inbox.

Its about.
Carrier.
Education.
Plans.
Residing.
E.t.c
 
Japokuwa leo ni siku ya pili,
But sijachelewa story ndio inaanza ,
Nimewahi siti za katikati kisha nakunja nne naifuta miwani yangu na kuiweka vyema,
Naanza kutoa like kwanza kama apreciation,
Mwisho naanza kuperuzi taratibu huku nikiwa nashushia juisi ya ukwaju.
Karibu sana Mkuu.. Pamoja
 
Back
Top Bottom