kadada wa pili
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 201
- 108
SamahaniWhy umequote story nzima? Unajua unaleta usumbufu wa wasomaji wengine?
SamahaniWhy umequote story nzima? Unajua unaleta usumbufu wa wasomaji wengine?
Usiwe una quote habar ndefu namna hiyo, unasumbua na kukera watu![]()
![]()
tukana tu Kama ni suluhisho
Sirudiiii tn bahati mbayaUsiwe una quote habar ndefu namna hiyo, unasumbua na kukera watu
Duh hii Kali sana
Wewe ni sheeeeda...Saluti kwako mkuu.. Juzi kati nilikua maeneo yangu ya kujidai hapa kitaani. Kama kawaida nikishakula utirio huku nawaweka chini natoa lecture. Basi mzee mmoja akanifuata nimfahamishe chuo nilichosoma ili ampeleke mwanawe maana najua vitu vingi. nikamwambia ni THE BOLD UNIVERSITY Uganda.
plz usiache kuni tag.
5000tshs nimemsaidia kujibuThebold huko watsaap ni kiasi gani kujiunga?
ONYONauza viwanja..vipo Chanika majumba sita-homboza @3.5Milion..viko vitano..size 20kwa 20...vyote vina barabara..mtu akichukua kwa jumla vyote ni million 13 vyote.mawasiliano.Dr.Lyimo Innocent.phone no;0758317999.Watsup na SMS za kawaida plus cals utanipata.<br />Nb;kumejengeka mno..na maji yapo ,ila havijapimwa..ukitaka hati ile ya kijiji unaenda ofisi za kijiji wanakuprocesia hazina shida.Ni Mali yangu mwenyewe haina udalali
Dah mkuu.. Kichina sikijui kabisa yaniThe Bold ulakoze chane
