bless on
JF-Expert Member
- May 22, 2026
- 750
- 1,745
Samsung ni kampuni ya simu? ndio nje ya Korea sio ndani ya Korea, ukiulizwa kuhusu kampuni ya Samsung utajibu haraka haraka kwamba inahusika na utengenezaji wa simu Ila ukifika Korea kusini Mambo ni tofauti kabisa kwa Korea.
Samsung ni kama nchi ndogo ambayo Ina operate hapo Korea.
Mwenyekiti wa Samsung ana nguvu kubwa kuliko hata rais wa nchi hiyo, unashangaa?
acha nikujuze Samsung Ina control asilimia 23 ya GDP ya Korea kusini, kwa mwaka kampuni hii inaingiza Dola bilioni 140. Hizo ni pesa nyingi sana ni zaidi ya mapato ya nchi 150 hapa Duniani.
Kuhusu simu?
Hiyo ni biashara ndogo sana inayofanywa na Samsung, yaani ni kama ice cream kwa bakhresa. Hawa Samsung kwanza ndio wanatengeneza display panels na memory chips ambazo hizo hizo wanawauzia apple na kuziweka kwenye simu zao za Iphone. Samsung pia wanahusika na ujenzi wa majengo makubwa mengi tu hapa Duniani.
Unalijua jengo la Burj khalifa? Hilo lilijengwa na kampuni hii ya Samsung.
Unalijua jengo la Taipei? walilijenga Hawa majamaa.
Ukiachana na hayo wamefanya ujenzi wa majengo mengi sana. Samsung haishii hapo anashirikiana na watu wa nchini mwake, how?
Watoto asilimia sitini nchini humo wanazaliwa katika hospitali zinazomilikiwa na Samsung. Wananchi wengi wanaishi katika nyumba zilizojengwa na kumilikiwa na Samsung.
Wanafunzi wengi wanasoma katika shule zilizojengwa na kumilikiwa na Samsung. Watu wengi Wanafanya kazi katika kampuni ya Samsung, watu wengi wanaishi katika hotel za Samsung, watu wengi wanatumia vifaa vya kampuni ya Samsung kama televisheni, mafriji na mengine mengi.
Samsung Ina wafanyakazi laki Tano kinachofurahisha kampuni hii ilianzishwa miaka 87 iliyopita kwa kuuza samaki tu.
Walikuwa wanavua samaki na kuuza sokoni Ila Leo Ina wafanyakazi hao wote.
Wafanyakazi hao wote Wanafanya kazi katika makampuni zaidi ya 80 ambayo yapo chini ya Samsung Duniani kote.
Ikitokea siku Samsung kafirisika basi ujue na uchumi wa Korea kusini utakuwa umeanguka vibaya sana.